Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!



Taarifa zilizothibitishwa kutoka kwa watu wa karibu yake zinabainisha kuwaMhe. William Vangimembe Lukuvi Mbunge wa Isimani na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge),amesikitishwa sana na Uamuzi wa Mahakama ya Rufaa iliyompa Ushindi Mhe. God bless Lema. Labda hii inatokana na mtazamo binafsi aliyonayo Mhe Lukuvi juu ya Lema ambao amekuwa akiuonyesha mara kwa mara Bungeni hasa ambapo Lema alipokuwa akichangia hoja au kuwasilisha taarifa fulani ......Sina shaka Lukuvi ataongea tu ya moyoni very soon...
 
Hongera sana kamanda hongera CDM kwa kupambana ili haki ionekane imetendeka.Hongera sana majaji,haki haipotei bali huchelewa kupatikana. peoples power!
 
Vipi mh zzk kesha wasili? Nakuusu ulinzi? Vipi wale wazee wa2nguli hawakuji penyeza?
 
Wadau tunaomba mtusaidie sisi tulio huku Arusha kupata nakala ya Hukumu ya Mahakama ya Rufaani kuhusu Mheshimiwa Mbunge wetu wa Ar, ili tuweze kuona jinsi nuru ilivypishinda giza. Itakuwa ni ukombozi kwetu na watoto wetu.
 
Kila la kheri kamanda Lema.Mahakama ya rufaa imeonyesha ukweli wa jambo na umakini. Jopo lilitulia na vichwa sana.Nawapongeza sana majaji kwa kuongeza imani ya mahakama yetu ya Rufaa.
 
Mingoi yuko njema Mingoi yuko imara mikandamizo inaendelea,naona leo mmepata kwa kupumulia teh! teh !tehh!!! lakini kifo cha CDM kiko pale pale mgonjwa wa ICU kuomba chakula sio kwamba atapona.

Tatizo hujui hata maana ya ICU Kwa faida yako Intesive care unit.kwa hiyo mgonjwa anaweza kupona vile vile.
 
Back
Top Bottom