LEMA anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa faida ya nani?!

Status
Not open for further replies.
Lema ana kidploma tu,lakini Akili ndogo kutawala akili kubwa hapo ni mabavu tu!! Lema A.town limebaki jina.
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo siku hizi kila kukicha chadem wanafyatua muvi mpya, mara Mwigamba kapigwa kitofali mara Zitto kavuliwa uongozi na sasa viongozi wa chadema mikoa nao wanajiuzuru.

Haya yote ukiangalia kwa makini yanasababishwa na Lema ambae ndio mshauri mkuu wa Dr na askari mtiifu wa Mbowe. Wote wanaoondoka ni wale waliotofautiana nae.

Chadema mnatafuta virusi wakati mna bonge la kirusi linawatafuna

JITAMBUE!

Lema anakujambisha ushuziii ni kiboko ya waraka wetu wa kukiua chama cha ukombozi wa watanzania mtatia adabu na mapandikizi yenu yanayo jivua sasahivi.
 
Yaani wewe no wonder una akili za kutuma vipicha na suti za funeral homes ktk michuzi na ushamba wenu eti mmevunja kabati...!! Wewe upo huko kwa wezi wenzio sasa ya chama kingine yanakuuma nini ??? Kila siku unamlilia Lema lkn enzi zile unatembeza mkia kabla hawajakushtukia na kukutimua ulikuwa unamwagia masifa kila kukicha.... !!

Ulinzi wa tembo sasa umeimarishwa na jeshi linawakongoroa bila kujali ni msaidizi wa waziri au ndg ya mbunge. Sitashangaa wazee wa kazi za kifisadi soon mtakuwa manamba wa sunday market..... ha ha ha
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo siku hizi kila kukicha chadem wanafyatua muvi mpya, mara Mwigamba kapigwa kitofali mara Zitto kavuliwa uongozi na sasa viongozi wa chadema mikoa nao wanajiuzuru.

Haya yote ukiangalia kwa makini yanasababishwa na Lema ambae ndio mshauri mkuu wa Dr na askari mtiifu wa Mbowe. Wote wanaoondoka ni wale waliotofautiana nae.

Chadema mnatafuta virusi wakati mna bonge la kirusi linawatafuna

JITAMBUE!

Ukweli ni kwamba Lema anaamini sheria na hii ni ngumu kwenye siasa. Lema kama tunavyosema ana "keep it real" mazuri, mabaya yote anaanika hakuna hata mtu mmoja ambaye kasema kwa ushahidi hapa kwamba Lema anadanganya!
 
Ndugu zanguni,

Kama mjuavyo siku hizi kila kukicha chadem wanafyatua muvi mpya, mara Mwigamba kapigwa kitofali mara Zitto kavuliwa uongozi na sasa viongozi wa chadema mikoa nao wanajiuzuru.

Haya yote ukiangalia kwa makini yanasababishwa na Lema ambae ndio mshauri mkuu wa Dr na askari mtiifu wa Mbowe. Wote wanaoondoka ni wale waliotofautiana nae.

Chadema mnatafuta virusi wakati mna bonge la kirusi linawatafuna

JITAMBUE!

Kati ya watu wanaongoza kwa ujuha you are in the top 3, huwezi kila siku kazi kukaa na kumjadili mwanaume mwenzako kiasi hiki, Kama Mtoto wa kike Bwana, Khaaaaah!!!!!
 
Yeah yeah lema nikirusi kibaya sana kinafaa kipigwe vita nawapenda mageuzi woote nchini bt kilipojichimbia kitatumaliza
ni kweli mkuu, ila nikurekebishe kidogo, inafaa kipigwe vita na maccm na wapenda ufisadi wote nchini!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom