Lema amvaa Ridhiwani Kikwete, Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

Status
Not open for further replies.
wewe huna unachokizungumza yaani ungejua nchi za mangaribi zilivyo kerwa na tukio la Lema wala usingejirisha na vijicent unavyopewa kwa kuwalaghai watz time will tell Mungu hayuko mbali ngoja tuone. Kwani Ghadafi na wanae wako wapi?
Lema taingia mahakama huru ifanya kazi yake kwa umakini wa hali ya kukuvua ubunge kila siku unakuja na stori za vijiweni.
 
tIME WILL TELL, WALIKUWEPO AKINA kONGOLO mOBUTU, WATOTO WA GHADAFI SSA WAKO WAPI, PEOPLES POWER ITAWAKAMATA WOTE HAWA NA KUWAWEKA NDANI. VIVA G LEMA ENDELEZA MAPAMBANO SIE TUPO NYUMA YAKO

lakini hadi wawekwe ndani watakuwa wameshakula sana
 
I believe soon or later the gambaz will crumble. tuwalaani wezi wakubwa hawa wa mali ya nchi hii
 
Haka katoto mbona ni mali yetu siku nyingi. Kila mtanzania ana hisa kwenye haka kamgodi kanaitwa Ridhwani lazima watanzania wote tugawane haka katoto coz baba yake hafai ameshakuwa scraper. Imeshakuwa mbaya na iwe mbaya
wabongo ni mabingwa wa kuongea,mnachonga saaana!kama mmemshindwa chenge,rostam,maige aliyesafirisha twiga,mkapa aliyenunua mgodi akiwa ikulu,riz ndiye mtamweza?acheni hizo kelele bana!!
 
sikuwa nafahamu kwamba ukiwa mtoto wa raisi basi unakosa hata fursa ya kununua hisa popote.........
 
Hakuna wakati wowote ambapo serikali ya watu wasioruhusu kuwajibika na kuhojiwa wanaweza kuwa na viongozi wenye hofu ya kuwaibia wananchi wao.
haya yataendelea hadi nchi hii itoke mikononi m wa CCM
 
wewe huna unachokizungumza yaani ungejua nchi za mangaribi zilivyo kerwa na tukio la Lema wala usingejirisha na vijicent unavyopewa kwa kuwalaghai watz time will tell Mungu hayuko mbali ngoja tuone. Kwani Ghadafi na wanae wako wapi?
he nilikuwa sijui kumbe nyiwe ni watu wa nchi za Magharibi nilifikiri ni Watanzania. Hongereni. Maana nilifikiri utasema ungejua Watanzania walivyokerwa...............
 
ana chuki binafsi kama ana ushahidi wa kweli asingeweka katika facebook.Maneno ya facebook ni kama ya kwenye kanga tu,ni umbea,majungu,uzushi na chuki.Mtu aliyewahi kuwa mbunge na umri mkubwa hawezi kuwa na maneno ya kike kiasi hicho.Suala kubwa na nyeti kama hilo huwezi ukaweka ktk facebook kama ndo ushahidi.Huu ni ujinga mtupu,na ajabu wapo wanaona huu ni kama ushahidi kamili.
Hii nime'copy na ku'paste toka kwenye facebook page ya kamanda Lema...........

Naomba hili liwe wazi kwa Watanzania, Ridhiwan Jakaya Kikwete, chini ya kampuni ambayo wanaharakati tutaleta ushahidi wake kwa wananchi wanaotaka ukombozi, wiki hii alikuwepo Jijini Arusha na tayari ana mkataba wa umiliki wa zaidi ya hisa asilimia 45 za kampuni ya Tanzanite One. Hii ni biashara ya Rais wa nchi. Ametumia madaraka yake kwa siri kupisha umiliki huu kupitia mtoto wake. Linaweza kukanushwa na kupingwa lakini muda unafika ambapo umma wa Watanzania utaamua. Hata wakishinda kesi za mahakamani, hawataushinda uamuzi wa umma. CCM inakufa, iko hatua za mwisho kabisa.
 
Si majulikana kwa kuzuwa, wekeni ushahidi, wacheni uongo, juzi ilikuwa Simbachawene leo Rizwan. Kesho nani?

Halafu watanzania wawape nchi muongoze kwa uongo?

Mkuu usjali basi Nchi tutawapa Uamsho na shehk ponda ndio atakuwa Rais.
 
m4c.jpg only time will tell
siku moja atajuta kuzaliwa kwenye ukoo huo

jana nilifurahi wananji walivyompopoa babake mawe
safi sana .inawezekana hata hicho kituo cha mafuta ni cha huyo
huyo riz moko

tIME WILL TELL, WALIKUWEPO AKINA kONGOLO mOBUTU, WATOTO WA GHADAFI SSA WAKO WAPI, PEOPLES POWER ITAWAKAMATA WOTE HAWA NA KUWAWEKA NDANI. VIVA G LEMA ENDELEZA MAPAMBANO SIE TUPO NYUMA YAKO
 
ana chuki binafsi kama ana ushahidi wa kweli asingeweka katika facebook.Maneno ya facebook ni kama ya kwenye kanga tu,ni umbea,majungu,uzushi na chuki.Mtu aliyewahi kuwa mbunge na umri mkubwa hawezi kuwa na maneno ya kike kiasi hicho.Suala kubwa na nyeti kama hilo huwezi ukaweka ktk facebook kama ndo ushahidi.Huu ni ujinga mtupu,na ajabu wapo wanaona huu ni kama ushahidi kamili.

Hivi Facebook Na Jamiiforums upi mtandao mkubwa wa kijamii?? Mi nahisi Facebook...ila inategemea na Mtu. Istoshe kule watu wanaonyesha uhalisia wao. Kama wewe hapa Unajiita DO SANTOS.....kule jamaa kajiita wazi wazi Godbless Lema, na kayaandika haya kwenye page yake.

Acha ukilaza usifananishe kabisa hii mitandao miwili...utaonekana CHIZI!!!! fananisha Member Mmoja mmoja, na sio mtandao mzima.
Istoshe kwa lema, atakuwa anamaanisha...mbona Dr. Slaa alipowataja pale Mwembe yanga mlitukana hivi hivi....mbona tena baadae ikawa ni sera yenu. magamba????

Mwisho wa siku mtafuata upande wake.

Alafu tambua Lema ni mtu makini....hawezi kuja kujikweza leo pale facebook, kwa hoja kama hiyo. Nahakika atakuwanao ushaidi, au anauweka katika mazingira ya kueleweka.

SUBIRI
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom