Lema 'aichana' Idara ya Usalama wa Taifa

Status
Not open for further replies.
Ukisoma hii attached file, hapa ni moja kwa moja Lema kavunja sheria kumtaja agent kwa jina lake na anastahiri kufikwa kwenye vyombo vya sheria. Maana imeandikwa mtu kutoka idara hii anayeweza kutajwa waziwazi ni DG tu. Sasa Lema kama mbunge na mtunga sheria hakulijua hili?
Jack Nzoka alivyoitisha mkutano na waandishi wa habari alikuwa anatumia sheria gani?

Hili genge la wahuni tena wengi darasa la saba waliopelekwa kwenye hiki kinachoitwa usalama wa taifa na magodfadher wao. Hawa sii hata kidogo usalama wa taifa. Hawa ni vibogoyo wa taifahili. Nchi imeibiwa imebaki mfupa mtupu wenyewe wanaelekeza nguvu zao kwenye uchaguzi wa diwani. Idd Amini alimtumia maliyamungu kuwaua raia wasio kosa lakini mwisho wake ni nini kiimpata Idd amini? Hakupata hata hadhi ya kuzikwa nyumbani kwake mauti ilipomfika. Na hawa watawala wetu mufilisi kama wameona njia nzuri ya kuwatishia watu wanaotetea raia ni kuwatumia kina Maliamungu wa kitanzania, ngoja tutauona mwisho wao. Wataishia kwa kujuta ni kwa nini walizaliwa Tanzania

Sheria za chombo chetu hiki cha Usalama wa Taifa zipitiwe upya ili waweze kuendana na mazingira ya sasa, kupendeka kwa walipakodi na KUTUMIKIA MASLAHI YA WALIPAKODI tu na wala si maslahi hata ya CHADEMA pindi watakaposhika madaraka hapa nchini.

Jack Nzoka alivyoitisha mkutano na waandishi wa habari alikuwa anatumia sheria gani?

ja-main-4.jpg

Don't hold information. let us make them responsible.

Mh. Lema tuko nyuma yako mbunge wetu, mwanaharakati wetu na mtetezi wetu... Arusha aah Arusha, songa mbele eeh songa mbele
Naupenda sana wimbo wa Mh Lema.. mwenye nao please aupost hapa tuu download

Tegemez la ccm ni vyombo vya dola ila chadema wana mtaji wa uma(people's power)ulegev,urafiki,makundi ndani ya viongoz(watawala )wa ccm soon it'll cost of Tanzanian who are'nt able to be under this tired governance of JK!he must change formation of his gvt before chadema take their place under Dr Slaa(true president)before hawajachakachua.go get up all people ofTZ,Replacing constitution soon chadema we are the part fitted us

Tegemez la ccm ni vyombo vya dola ila chadema wana mtaji wa uma(people's power)ulegev,urafiki,makundi ndani ya viongoz(watawala )wa ccm soon it'll cost of Tanzanian who are'nt able to be under this tired governance of JK!he must change formation of his gvt before chadema take their place under Dr Slaa(true president)before hawajachakachua.go get up all people ofTZ,Replacing constitution soon chadema we are the part fitted us

Kinachoendelea Arusha hivi sasa ni sehemu tu ya mkakati wa kutafuta kuhakikisha kwamba mgombea mtarajiwa, Fisadi Edward Lowassa, hapatwi na kwi kwi yoyote ya kitu kambi ya upinzani kukamata jiji zima anakozaliwa huko.

Sehemu kubwa zaidi ya mkakati huo ni aina ya TIKITAKA ambayo CCM inapanga kufanya nduguyetu huyu kwa kusaidia kumzikia mbali kashfa za mwaka za kutakiwa avuliwe gamba na chama chake na badala yake sinema nzima itakayomfanya abakie STERINGI tena katika hii misakata yote ni kule kuandaliwa kutumia SAKATA LA UFISADI WA MEREMETA kama jiki kujisafishia.

Ewe unayesoma hapa hivi sasa ukae ukijua ya kwamba yote haya ni TRELA tu kwa CHADEMA na wana A-Town kuendelea kuhujumiwa kwa manufaa na faida binafsi ya mwenyekiti huyu wa kamati ya mambo ya nje, ulinzi na usalama, Mzee Ngoyayi Lowassa.

Wenye
uhakika kukomesha kabisa maigizo yote haya ni PEOPLE'S POWER kote nchini.

Yote haya ni sehemu tu ya matokeo ya KILIO CHA WALAZWAHOI nchini pindi wanapoona genge la mafisadi nchini wakiingia Igunga kwa mbwembwe, mikogo na ufedhuli wa kujitutumua na mali ya wizi wa mali za umma kwenye kampeni zao.

Ni sharti Mafisadi wote wamrudie Mungu nchini, kutubu na kurudisha mali zote hazina ya taifa; la sivyo zahama huenda usiishe kwao tangu sasa. Mambo yataendelea KI-GUNDU GUNDU KWA CCM kila kona wasipotubu hadharani kwa umma wa Tanzania.

Hakika nchi inaelekea kubaya kama usalama wa taifa wamejigeuza usalama wa viongo tena wa ccm je tutafika?

Jack Nzoka alivyoitisha mkutano na waandishi wa habari alikuwa anatumia sheria gani?

Matola,
Weka ushabiki pembeni, Jack Zoka ni public figure na ukisoma kwenye attached file, anayeruhusiwa kuongea ni mpaka amepewa ruhusa ya kimaandishi na DG.
Kwa hili LEMA kachemsha si vizuri kabisa kwa nini asijifunze kwa wenzie akina DR Slaa, Mbowe, Zito na Mnyika?

Tanzania hii ina wenyewe, wazalendo wa kweli ambao hatuko tayari kuona inachezewa.

Wana-Arusha tumechoshwa na vitisho na pumba za huyu Mbunge. Thubutu kulianzisha uone jinsi wananchi watakavyoungana na vyombo vya dola kuwaweka sawa. Hatujasahau jinsi wewe na wasanii wenzako mlivyosababisha watu kufa na baadaye kutumia maiti zao kujinadi kisiasa. Hamtapata nafasi nyingine ya kufanya huo ufedhuli.

Tuacheni tuchape kazi tujenge nchi yetu, Hatuna muda wa kupoteza vijiweni kama machalii na masela wako.

Ngebe za kisiasa zisubiri 2016.

MKUU KISHONGO...
KUNA KITU HUELEWI BOSI WANGU, NA SI WEWE TU NI PAMOJA NA WATU WOOTE WANAOFIKIRI KAMA WEWE.
ISHU NI KWAMBA HIZI HARAKATI SI ZA CHADEMA KAMA CHAMA BALI NI HAEAKATI ZA VIJANA WA KARNE HII. ANGALIA YANAYOTOKEA PANDE ZOTE ZA DUNIA ALAFU CHANGANYA ZA ****** NA ZAKO. WANA WA ARUSHA A.K.A R-CHUGGA NI WANAMAPINDUZI NA DAIMA HAWAPENDI KUPELEKWAX2 KIZOBA, HILO FAHAMU KWANZA. MAPINDUZI YA NCHI HII YALISHAANZIA HUKOX2 NA SASA NI MUENDELEZO TU! Kaa mkao wa kukacha tu mkuu, manake likilipuka hutaamini..

Tegemez la ccm ni vyombo vya dola ila chadema wana mtaji wa uma(people's power)ulegev,urafiki,makundi ndani ya viongoz(watawala )wa ccm soon it'll cost of Tanzanian who are'nt able to be under this tired governance of JK!he must change formation of his gvt before chadema take their place under Dr Slaa(true president)before hawajachakachua.go get up all people ofTZ,Replacing constitution soon chadema we are the part fitted us

you are not serious, let the ballot box decide in 2015

Huyu Bwana wa usalama wa taifa anaitwa Mombo nasikia leo kahojiwa na mabosi wake , kwani ni mtu mwenye kiburi na unyanyasaji wa hali ya juu na kazi yake kutishia wafanyabiashara wa madini na kunywa pombe ktk baa moja ya first and left hata hivyo pia ni mtu anayemiliki magari mengi ya kifahari na anayo range rover ambayo kwa taarifa hii gari inasemekana alimdhulumu bwn mmoja anaitwa Hamad mfanya biashara wa magari mjini arusha.
kuna taarifa kutoka Tra ambazo tunazipokea kesho kuhusu ni jinsi gani huyu mtu anatumia cheo chake kuonea wananchi mjini arusha. kaeni mkao kesho tunaweka uozo wote wake hapa mpaka na mtu aliyekuwa anatembea na mke wake huko nyuma anayo mambo mengi yakutueleza
tupe hizo taarifa siku imefika na ndo inaishia

Nchi hii inahitaji watu wengi wenye mwelekeo chanya na kujenga hoja na kuleta changamoto za maendeleo bila athari kwa taifa kama Zitto Kabwe, Mnyika, Mdee, Ole Sendeka na siyo kutoa vitisho kama G. Lema utafikiri anajilinda kwa tuhuma za ujambazi anaodiwa kuufanya huko arusha

Machalii kote nchini hebu kasomeni taarifa za CCM na viongozi wake wanavyoiuza nchi kwa thamani ya suti kwenye maduka ya Ulaya n huku HAKI ikitoweka kwa jengo na vijana kuongezeka vijiweni kote nchini.

Maskini Wa-Tanzania kura tulipiga vizuri sana na kama si huyu Baba Makame wala fedheha hizi zisingetupata kupitia huko WIKILEAKS!!!!!!!!!!!

Ndugu Wananchi, Napenda kumpa Big up, Kamanda / Mhe Lema ninakukubali bwana. Kaza buti mpaka kieleweke...

Mheshimiwa Lema alipopigia kele ukosefu wa HAKI kila mahali nchini na matumizi mabaya ya watu binafsi kutafuta kwa nguvu kuhodhi vyombo vya walipa kodi kama vile usalama wa taifa kuwasaidi kulinda maslahi binafsi badala ya kulinda maslahi mapana ya umma na taifa letu kwa ujumla, ndugu Lema alitajwa kama mtifua vumbi bila sababu za msingi sasa kwa hii scandle ya kufa mtu kule wikileaks je watu tutaenda kumuomba radhi huyu mbunge???????????

Ndugu Wananchi, Napenda kumpa Big up, Kamanda / Mhe Lema ninakukubali bwana. Kaza buti mpaka kieleweke...

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom