Leicester city kushuka daraja .

Hii ni baada ya kudhihirisha wazi kwamba ni timu ya msimu mmoja , baada ya leo kutandikwa na timu KIBONDE ya Man U kwa kapu la magori 4 - 1

Mwenendo wa mabingwa hawa watetezi ambao wamegeuka kuwa wasindikizaji unasononesha wengi , mpaka sasa haifahamiki wanatumia fomesheni gani , hawaeleweki kabisa , style yao ni moja tu ya KOMA KUMWANYA , hii ni style ya kinyakyusa ikimaanisha piga mpira juu ili uende mbele , Tukuyu stars waliitumia sana miaka ya nyuma lakini walipostukiwa wakashuka daraja.

Hivi mchezaji muhimu wa timu hii alikuwa N'GOLO KANTE pekee ?
Mkuu umenichekesha sana.
 
Hapana Mkuu kuporomoka hawaporomoki, pamoja na kipigo cha 4-1 leo lakini bado wana timu nzuri sana, labda wawe na majeruhi ya nyota wao kwa kipindi kirefu lakini hii ni top 5 team kwa msimu huu.
May be top 5 but otherwise very disappointing team.
 
Back
Top Bottom