Leicester city kushuka daraja .

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,600
218,004
Hii ni baada ya kudhihirisha wazi kwamba ni timu ya msimu mmoja , baada ya leo kutandikwa na timu KIBONDE ya Man U kwa kapu la magori 4 - 1

Mwenendo wa mabingwa hawa watetezi ambao wamegeuka kuwa wasindikizaji unasononesha wengi , mpaka sasa haifahamiki wanatumia fomesheni gani , hawaeleweki kabisa , style yao ni moja tu ya KOMA KUMWANYA , hii ni style ya kinyakyusa ikimaanisha piga mpira juu ili uende mbele , Tukuyu stars waliitumia sana miaka ya nyuma lakini walipostukiwa wakashuka daraja.

Hivi mchezaji muhimu wa timu hii alikuwa N'GOLO KANTE pekee ?
 
Hapana Mkuu kuporomoka hawaporomoki, pamoja na kipigo cha 4-1 leo lakini bado wana timu nzuri sana, labda wawe na majeruhi ya nyota wao kwa kipindi kirefu lakini hii ni top 5 team kwa msimu huu.

Kufungwa na timu mbovu Man U kumenikera sana .
 
Mkuu kwa maoni yangu MANU si timu mbovu, ina wacheza wazuri sana ila Mounriho hajajua starting 11 yake. Akishaijua tu MANU ni moto wa kuotea mbali Mkuu.

Kufungwa na timu mbovu Man U kumenikere sana .
 
Mkuu kwa maoni yangu MANU si timu mbovu, ina wacheza wazuri sana ila Mounriho hajajua starting 11 yake. Akishaijua tu MANU ni moto wa kuotea mbali Mkuu.
Umeandika kiuanamichezo wengine wapo kwenye u coconut ni vitu viwili tofauti.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Leo mambo yooote ni safi...mnyama Simba kapiga 4 ...haya wazee wa Arsenal mtu ameshakula 3 hapa nakata kiroba cha 9...
 
Back
Top Bottom