Le Mutuz ulingoni

32348_4820843478200_1475254971_n.jpg
Tokalini Diploma ikatoa Mhandisi, au hapendi kuitwa Fundi mchundo (Technician)?
 
32348_4820843478200_1475254971_n.jpg

Le Mutus hapa ni kuwa yupo Jumuiya ya Wazazi CCM (Nembo ya juu kulia picha ya mtu akisoma kitabu ) ni kuwa anagombea nafasi ya kuingia Mikutano ya UVCCM na sijui km ataipata maana hii ni ya mwisho kwa kipindi hiki cha 2012 - 2017Ukiacha Mkutano Mkuu wa Taifa
Kuhusu Elimu hapo katuchanganya kwani hakuna Diploma ya Enginner wa Meli tena Belgium? labda angesema Marine tena Technician wa eneo fulani km Injini, umeme, uundaji katika Ngalawa, Boti, Merikebu nk

Le Mutus fafanua najua bado upo JF kwani hii Elimu ni tofauti na ile uliyoidadavua katika kinyang'anyiro cha Jumuiya ya Afrika Mashariki
 
Mgombe Uwakilishi wa Wazazi! Sio Mchezo!

View attachment 69166

Sijui ni kitu gani ataweza kufanya huyu bwana. Haya ndiyo maisha yake, kutwa kukesha kwenye makasino na maclub ya usiku.Sijui huo uongozi anaomba wa nini.Matendo yake na anachokiomba vitu viwili tofauti. Status zake facebook, blog yake na picha anazobandika ni sababu tosha ya kumpiga chini.Kweli uongozi sasa umeshushwa hadhi sana
 
Anguko la Musiba, Happi, Anne Kilango and the likes linamsubiri walifikiria Nape ndo kila kitu kumbe naye ni abiria aliyepewa lifti akaanza kupiga horn mkafikiri ni dereva huku dereva alikuwa kimya!
 
Le mutuzi 51 yeaz old in kijana UVCCM? Khaaa!! Babu hili!! Aliyeuliza kama ana watoto ni Yec wako wawili ninaowafahamu kiume na kike!!! Cute children kama mama yao/zao!!! ha ha ha ha . Le bahariaaaaaaaa, le mutuzzzzzzzzzzzzzzzz. Unatia huruma!!! Ulienda ughaibuni hukujiandaa kuzeeka!!! Ponda ujana kufa kwaja!!! Mzee na dadaze mna kazi na huyo!!
 
Mkuu una shule fupi nini?
Cheki hata dictionary: "Engineer-One skilled in the construction and maintainance of works of public utility"

Mkuu hakuna degree hapo!
Sasa basi nenda ERB na diploma yako uombe kusajiliwa kama Engineer. MaEngineer tupo hapa tumesota na degree halafu wewe technician unachukua definition ya dictionary! Nenda ERB hapo Pamba Road kaombe registration tuone!
 
Sasa basi nenda ERB na diploma yako uombe kusajiliwa kama Engineer. MaEngineer tupo hapa tumesota na degree halafu wewe technician unachukua definition ya dictionary! Nenda ERB hapo Pamba Road kaombe registration tuone!
Mkuu Jabu, it all comes down to what is an acceptablr definition.
Engineer wa meli-Belgium na Engineer by definition ya Pamba House!
Sijui!!!
 
Hata kama mimi ningekuwa baba yake , lazima ningepatwa na uchungu! LOL:pound:
 
William mbulula wa kizazi cha zamani, hana hiyo elimu, hajawahi kukaa darasani labda kama alisoma ile elimu ya Bwana Lyatonga miezi sita Shahada ya Kwanza, hahahaaaaah huyu hajiwezi , hawezi na wala hana ufahamu wa kutosha hata kuongoza watoto wa chekechea namaana kuwa IQ
 
E T I U C H U N G U W A M W A N A A U J U A M Z A ZI !

HAHAHAHHAHAHAAH kuna maneno angejizuia hata kuyaandika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom