Le Mutuz ulingoni

Anaweza kutueleza kwa nini ajali za meli hapa tanzania zinatokea mara kwa mara? kuna njia gani za kujiepusha na ajali hizo kutokea tana. Kuna umuhimu wowote wa kuunda tume ya watu wasio professional kuchunguza ikiwa ajali za meli imetokea?
 
32348_4820843478200_1475254971_n.jpg

anahangaika kweli huyu baba
 
Atafutae hachoki,akichoka keshapata.Eti uchungu wa mwana mbona kawaacha wanae newyork?
 
Huu uchaguzi ulishafanyika na huyu Le Kibonge alidondokea pua na sasa yuko kinyerezi anajiuguza.
Le Kibonge nakushauri tafuta ujumbe kwenye kamati ya miss Tanzania.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kumbe wataalam wa maswala ya polisi tunao !!
Sasa kwa nini asingeenda kuwa polisi ??
Yaani tunaye mtu aliye-master maswla ya polisi, halafu tunaajiri polisi wasio na taaluma ya kazi hiyo !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom