Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,421
Copy and Pest from lemutuz

PART 1
Safari yangu ya USA ulikua ni uamuzi wangu mgumu wa kuacha Ubaharia nikiwa Melini "MV. Luxemburg"ICMB Belgian Shipping Line tukiwa South China Sea tunatokea Shanghai/China tunarudi Singapore kazi yangu Melini nilikuwa Assistant Engineer au 0fisa wa Meli ndani ya Meli.

Maisha ni kwa grade and class Maofisa mnaishi sehemu maalum na mnakula sehemu maalum na mna hang out sehemu maalum sheria za Meli hamtakiwi kuchanganyikana na Crew yaani Mabaharia wa kawaida infact hata Chakula ni tofauti Maofisa mnakula vizuri sana kuliko Mabaharia ...

l was a lucky man cause nilikuwa i ninasama Chuo Kikuu Cha Ubaharia Zeeman Marine Engineering College/Antwerpen, Belgium ambako nilijiunga nacho Miaka 4 na huu ulikua Mwaka wa Tano ninamalizia Leseni ya Uinjinia wa Meli ambayo ni Equivalent to Degree cause Melini zamani hakukuwa na Degree ila Leseni Only na Masomo ya Meli ni kila Miezi 6 Darasani na Miezi 6 unasafiri kufanya kazi Melini so by Mwaka wa Tano nilikuwa Baharia wa Ukweli nimetumia like 3 Years Baharini ambayo Practically katika Ubaharia inaitwa "SEA TIME" ambayo inaheshimika sana unapoamua kuomba kazi mpya ya Ubaharia Kampuni nyingine ndani ya Meli.

Nilikuwa na Bosi wangu Engineer Feyerick Mzee aliyekuwa anavuta Cuban Cigar all the times binafsi nilikua sinywi Pombe wala kuvuta sigara hii ilinifanya kuwa Baharia maarufu sana ndani ya ile Melicause kila ljumaa tulikuwa tunapewa mgao wa Meli Katoni 5 za Beer, Katoni 2 za Sigara na Chupa 2 za Pombe Kali bure mimi nilikuwa always nabadilishana na Maofisa wengine wao wananipa Juice na Soda ...

Mzee Feyerick alikuwa na tabia ya kukaa chini na kunipa darasakuhusu Maisha nilikua kijana mdogo sana infact nilikuwa nimeichezea Miaka yangu kwenye makaratasi nikisaidiwa sana na Mwili Mkubwa lakini hata hivyo sura yangu ilikua inani betray always kuwa ni mdogo so nilikuwa natembea na Kitambulisho all the times ...

Kama kawaida Mzee Feyerick my Bosi wa Engine Roomalinikumbusha sana kwamba Kijana mdogo achana na hii kazi ya Ubaharia haikufai i Nchi Kavu kasome utafute maisha bora ya kisasa", maneno mazito yalinigusa sana

From le Mutuz

PART 2

My Boss Mbelgiji Feyerick alikua ananiambia the bitter truth kua niachane na mambo ya Meli akaniambia "Hii ni kazi ya Wazee na watu wasiokuwa na Maisha sio kwa kijana kama wewe" in all my childhood

Nilikuwa naulilia Ubaharia nilianza nikiwa Jamhuri Primary School nilipokutana na "MABAHARIA WA NCHI KAVU" yaani Wanafunzi wenzangu Darasani kina Juma Jagan Burr (now in Canada) na Marehemu Raja Kaka hawa ndio Wanafunzi 2 walionipa the idea ya Ubaharia cause walikuwa na ndugu Mabaharia ambao walikuwa wakiwasaliana nao sana kutoka Nje l was in yaani "BAHARIA NCHI KAVU" Baba yangu mzazi then alikuwa Waziri wa Kilimo he was stunned kusikia kua nina mawazo ya kua Baharia alianza kusikia kutoka kwa marafiki zake ambao nilikuwa nawasumbua sana

Kwa pembeni wanisaidie na ndato yangu nikimaliza tu Darasa la Saba they were all shocked that nitakuwaje Baharia at darasa la Saba tu? Baba yangu siku moja akanikalisha chini na akaniambia kuwa nisahau mambo ya Ubaharia its not for me settle kisaikolojia kuwa siwezi kuwa Baharia Darasa la Saba so nilichaguliwa kusoma Sekondari nikaendelea na masomo isipokuwa nikaanza Biashara ya kuuza Siagi

Nikishirikiana na Rafiki yangu aliyenifundisha biashara hii Marehemu Koi Margai Mungu Amuweke Pema Peponi kila Jumamosi tunaruka na ndege ya Air Tanzania mpaka Musoma tunanunua siagi Kiwanda Cha Maziwa Musoma na kuirudisha Dar kuwauzia Wahindi tu hii mitaa ninayoshi sasa ndio maana ninawafahamu sana

Mpaka leo kwenye kila safari tulikua tunapata faida ya at least Tsh, 20,000 wakati huo USD 1 ilikuwa Tsh, 10 tu nauli ya ndege kwenda Musoma na kurudi Dar ilikua Tsh, 950 tu Cargo tunalipia like Tsh. 3,000 kuileta Siagi kwa ndege na pia nikaingia biashara ya kuuza Dola za Kimarekani mtaani kwa bei ya ujanja.

Officially nikawa a "MIDLLEMAN" mtu wa kati yaani mtu ukitaka kuuza anything hapa mjini ninakuuzia unanipa Kamisheni na Ninayemuuzia naye ananipa cha Juu Double kamisheni by the time namaliza High School nilikuwa na karibu Tsh. 1M Cash na USD 10,000 Cash Money nikaanza mipango ya kwenda Majuu ..

PART 3

By the time nimefika Form Two I was a Super Street Smart nikaamua kuanza kuishi mwenyewe nikapata Studio Chumba kikubwa pale YMCA! pembeni ya Holidays In Hotel Downtown so nikahama kutokea lkulu kwa my Uncle Balozi Lusinde ambaye then alikuwa Waziri wa Mawasiliano

Tulikuwa tunaishi nyumba ambayo sasa ni ofisi ya TAMWA tulikuwa kati kati ya Waziri wa Habari Marehemu Mwakawago na Waziri Mkuu Marehemu Kawawa na mabele yetu ni nyumba za Waziri wa Sheria Bomani na Waziri wa Fedha Jamal sijasahau mpaka leo the Good Life and the Bad life niliyoishi utotoni.

But all and all it was a good life after YMCA nilihamia Sido Hostel kati kati ya CBE na Maktaba ya Taifa hapa Kisutu Downtown so ni FACT that I have lived in Downtown almost all my life mpaka leo bado nipo Downtown

Baada tu ya kumaliza Shule nikaenda JKT 0ljoro Arusha Mwaka mmoja kwa mujibu wa Sheria l was a Soccer Star na nilikuwa na Vijisenti so kila siku nilikuwa Dar naendelea na biashara zangu huku nipo JKT hahahaha nikirudi Camp nawapiga Chai Maafande no problem na nikicheza Soka timu ya Kikosi ninafunga magoli hakuna kelele za kwa nini sionekani Kambini...

Wazo langu lilikuwa kwenda kutafuta Ubaharia lakini wa kusomea Shule 30 nika settle na idea ya kwenda Belgium Bongo enzi hizo ilikua huwezi kununua tiketi ya ndege kwa pesa za Tanzania mpaka uwe na kibali maalum kutoka kwa Gavana wa BOT wakati alikuwa Marehemu Nyirabu so nikaenda kuomba kumuona ofisini kwake kwa kisiingizo cha mtoto wa Waziri

Nikaruhusiwa nukamuona lakini nikawa naomba Mungu asimpigie Baba yangu kumuuliza kama ameniruhusu so nilipokaa naye uso kwa uso nikaanza kumpiga porojo ili kumfanya asikumbuke a Baba yangu akaanza kucheka sana kufumba na kufumbua alishanipa Kibali cha kununua tiketi ya ndege kwa hela za Tanzania wakati huo USD 1ilikua Tsh. 16 na risiti ninazo mpaka leo

Akaniambia niende kwa Mama Kimbe mama mzazi wa my Friend Matare Joseph Nyerere aliyekua 0fisa wa BOT ndiye aliyenimalizia paper work zote za kibali nikaenda Sabena Airways pale Samora Avenue ambapo sasa ni NHC Bulding nililipa Tsh. 120,000 nauli ya return to Brussels/ Dar

PART 4: "MY AMERICAN EXPERIENCE"


Niliamua kuonana na Captain na kumfahamisha kua nimemua kuacha kazi ya Ubaharia for Good tukiwa njiani kutoka Shanghai/China to Singapore sheria za Meli ni Baharia akisema ameamua kushuka Meli hakuna mjadala so Captain akamfahamisha Agent wa Meli Nchi kavu aliyenipokea tulipofika tu na kunipeleka Five Star Furama Hotel ambapo nilipewa mapumziko ya siku 5 kabla ya kuruka na Singapore Airlines to Bombay niliko connect na Ethiopian Airlines to Bongo ambapo nilikaa miezi 2 na kuruka tena

KWANINI NILIACHA UBAHARIA? baada ya kukaa Baharini niligundua kuwa maisha ya Baharini yalikuwa ni madogo sana honestly no life na sikujua kua Binadam ukikaa wiki nzima unaona maji tu bila nchi kavu akili zinacheza kidogo na all and all nikagundua Mabaharia wanaorudi Bongo walikuwa na mbwembwe nyingi ambazo ni uncalled and unfounded for as opposed na uhalisia na ugumu wa kazi na maisha ya Baharini waliyoyaishi ...

Sawa kulikuwa na pesa ambazo ukijinyima zinakuwa nyingi ila tatizo ni matumizi yake hasa baada ya kupewa hela nyingi kwa wakati mmoja so binafsi nina conclude my mission at Ubaharia as an adventure ya kupanuka Akili na Kusafiri almost Robo tatu ya Dunia ...

THE BERMUDA TRIANGLE ni safari za Meli kutoka Europe kwenda Brazili au Latin America ni sehemu ya baharini ya hatari sana that Kampuni ya Meli inakupa option ya kubadilisha Meli ili usiende na ukiamua kwenda unalipwa Mshahara mara 2 ya kawaida binafsi niliwahi kupita mara 3 huwezi kua a Real Seamen kama hujapita hapo na Meli ...

Ni kwamba Meli ikifika hapo tu inachukuliwa na Maji ambayo yanazunguka kwa kasi kubwa sana na kuifanya Meli kupoteza Control na kuishia kuwa Controlled na Maji sasa mnakuwa mnaelea tu na ni Maji yenye uamuzi mzunguke kwa siku ngapi kwa kawaida hua ni siku 3 mpaka 5 then one day Maji yanawaachia mnaondoka but kivumbi cha kuzungushwa bila kupenda ni balaa na hasa kwenye kulala mnapewa mito maalum na kuipanga pembeni na kulala kati kati kama kwenye jeneza siku 3 au 5 za kukosa usingizi ni hatari sana kwa binadam.... Brussels/Belgium one week nikaruka tena to Montreal/Canada to Ottawa nikachukua basi Greyhound to New York City/USA!

PART 5: "MY AMERICAN EXPERIENCE"


Maisha yamenifundisha somo moja muhimu na chungu kwamba "MUNGU HAWEZI KUTUPA BINADAM AMBACHO HATUJAMUOMBA" yaani toka nikiwa mdogo nilikuwa namuomba Mungu just a "COMFORTABLE LIFE" kumbe sijawahi kumuomba niwe "SUPER BILIONEA" ndio maana sijawa cause kwa njia za safari ya maisha yangu nilimopitia nilitakiwa kuwa by now lakini simlaumu Mungu cause huenda kutokuwa kwangu na mapesa mengi ndio kumenisaidia kuendelea kuishi mpaka leo kwa raha na Amani ya ajabu so ninaendelea kumuomba Mungu aendelee kunipa a Comfortable life yaani maisha ya kula vizuri na kulala vizuri na pesa kidogo mfukoni na kufanya lolote ninalotaka ambalo lipo chini ya uwezo wangu kama kusafiri popote Duniani kwa ndege na kukaa Mahoteli mazuri ya kisasa I love that.

Niligundua siku nyingi sana toka nikiwa mdogo kwamba I was born different nilizaliwa Mwanaume tofauti sana Mama yangu mzazi na Mama yangu wa Kambo originally walikuwa ni marafiki wa damu walioishia kuzidiana Akili na kugeuka kuwa maadui wa Ajabu na mimi nikawa caught up in the middle ya Uadui wao na the worst is Mama yangu wa Kambo was very educated as opposed na Mama yangu Mzazi ingawa wote leo ni Marehemu lakini kivuli cha Vita yao ninapigana nacho mpaka leo na ndipo Mange anapoingia in my picture cause ni agent tu wa hicho kivuli cha Shetani anayenisumbua toka utotoni kutokana na Vita kali ya Urithi wa Mali za Baba yangu ni Vita ya ajabu na ya kitoto sana inayowahusisha watu wengi mpaka waliosoma lakini wamefunikwa na Chuki dhidi yangu ambayo ni purerly Foolish and unfounded just UNCALLED FOR ....

Mange alianza rasmi kunishambulia baada ya kurudi Bongo Miaka 6 iliyopita alianzia Facebook na mashambulizi ya yake ya kwanza aliongelea urithi wa Baba yangu kwamba nimerudi Bongo kutafuta urithi ninayo quote yake mpaka leo so I hope nimewasaidia wale mnaojiuliza sana Chuki ya Mange kwangu inatokea wapi? ni kwamba Mange anawawakilisha baadhi ya Maadui zangu wa Maisha ambao wangependa kusikia nimekufa kwa sababu wana wasi wasi kua nitawadhulumu urithi wa Baba yetu ambaye bado yupo hai na huenda hata tukaondoka sisi tukamuacha ....hahahahha....there I was ndani Basi Greyhound to New York City/USA...


BOFYA HAPA KUSOMA PART 6,7,8 NA 9

BOFYA HAPA KUSOMA PART 10 NA 11

BOFYA HAPA KUSOMA PART 12 NA 13

BOFYA HAPA KUSOMA PART 14

BOFYA HAPA KUSOMA PART 15

BOFYA HAPA KUSOMA PART 16

BOFYA HAPA KUSOMA PART 17 NA 18

BOFYA HAPA KUSOMA PART 19

BOFYA HAPA KUSOMA PART 20

BOFYA HAPA KUSOMA PART 21

BOFYA HAPA KUSOMA PART 22

BOFYA HAPA KUSOMA PART 23

BOFYA HAPA KUSOMA PART 24, 25, 26, 27 NA 28

BOFYA HAPA KUSOMA PART 30

BOFYA HAPA KUSOMA PART 31

BOFYA HAPA KUSOMA PART 32

BOFYA HAPA KUSOMA PART 33
BOFYA HAPA KUSOMA PART 34

BOFYA HAPA KUSOMA PART 35

BOFYA HAPA KUSOMA PART YA 36, 37, 38 NA 39

BOFYA HAPA KUSOMA PART 40

BOFYA HAPA KUSOMA PART 41

BOFYA HAPA KUSOMA PART 42

BOFYA HAPA KUSOMA PART 43

BOFYA HAPA KUSOMA PART 44, 45, 46, 47, 48 NA 49

BOFYA HAPA KUSOMA PART 50, 51, 52, 53, 54 NA 55

BOFYA HAPA KUSOMA PART 56 NA 57

BOFYA HAPA KUSOMA PART 58, 59, 60, 61, 62 NA 63

BOFYA HAPA KUSOMA PART 64, 65, 65, 66, 67, 68 NA 69

BOFYA HAPA KUSOMA PART 70
 
Story bila kapicha hainogi
IMG_20180204_115724_309.jpg
 
Anasema zamani kulikua kilikuwa hakuna digree ya leseni ok


Lemutuzi mwisho wa hayo ma digree ilikuwa miaka ya 1972

Kwa hiyo hadi umalize standard 7 na secondary kisha chuoni kwa hiyo umezaliwa mwaka 1956

Huyu jamaa ni babu wa miaka 57 kutokana na story yake ya chuo cha ubaharia


Swissme
 
Back
Top Bottom