Lcd screen for nokia n8

inawezekana hizi simu zina tatizo la screen ama, maana yangu pia imefunjika (yenyewe) kutokea juu kushoto kwenda kulia, japo inafanya kazi au ni mchina?
 
inawezekana hizi simu zina tatizo la screen ama, maana yangu pia imefunjika (yenyewe) kutokea juu kushoto kwenda kulia, japo inafanya kazi au ni mchina?
Mchina huyo,hizi cm zilikuja nyingi sana na wengi walifikiri ni original nokia
 
Hai,msaada wa kupata LCD SCREEN FOR NOKIA N8 mpya kwa kununua nipo Dodoma.
Mkuu hiyo cm nadhani ni ya mchina na kama ni ya mchina nakushauri ununue cm nyingine tu wala usijaribu kutafuta screen yake,nasema kama mtaalam wa hivi vitu
 
Back
Top Bottom