BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,177
- 2,281
Wadau wa screen printing ni wapi ninaweza kupata materials kwa Bei ya jumla kwa Dodoma.
Msaada tafadhali hasa wadau wa Dodoma.
Msaada tafadhali hasa wadau wa Dodoma.
Material gani unataka?Wadau wa screen printing ni wapi ninaweza kupata materials kwa Bei ya jumla kwa DODOMA.
Msaada tafadhali hasa wadau wa DODOMA.
Kwa DODOMA ipo mtaa ganiVuta Subira Utapata Uelekeo Ila Jaribu Victory Bookshop
Nahitaj mesh, rangi(PLASTISOL na ya maji hasa Opaque), screen cleaner, retarder, nkMaterial gani unataka?
Nyerere square.Kwa DODOMA ipo mtaa gani
Asante sanaNyerere square.
Nyerere Square JKwa DODOMA ipo mtaa gani
Sawa nitajaribu kufanya hivyoKwa nn usiagize mzigo unaoleweka Toka Dar au Mwanza?