lazima uijue

haaaaaaaaaaa,....
kumbe ndo siri ya kutuibia eh?
hebu soma signature yangu,ntakwambia siri ni nini!
TiGO ni waizi waizi yaani wanaiba balaaaa
 
Duh si mchezo baba hako ka jamaa kakifa ushindani utakuwa umekufa maana kalijitahidi sana kushusha bei kumbe ndo kanakufa natural death
 
wanabadili jina tu jamani,coz hili la sasa limekua na maana nyingi,so linawachanganya wateja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom