Layout hii ya jf na ya zamani ipi nzuri?

maishapopote

JF-Expert Member
May 28, 2009
3,277
5,514
Vp wakuu?
Nimeuliza tu nijue opinion za watu...mi binafsi naona kam ile ya zamni ilikua nzuri sana ukianzia kwenye layout rangi na pia hata urahisi wa kupata vitu mbalimablai hasa new post hapa ziko slow na zinaingia taratib sana..mimi hsa rangi ya hii layout mpya ndo sijaipenda nyie mnaonaje...
 
Na ndio maana inakuwa kazi sana kuindoa CCM madarakani kwa sababu mmeishaizoea. Life changes!
 
Vp wakuu?
Nimeuliza tu nijue opinion za watu...mi binafsi naona kam ile ya zamni ilikua nzuri sana ukianzia kwenye layout rangi na pia hata urahisi wa kupata vitu mbalimablai hasa new post hapa ziko slow na zinaingia taratib sana..mimi hsa rangi ya hii layout mpya ndo sijaipenda nyie mnaonaje...

Kusema ukweli hata mimi inanipa shida.
 
hii inazingua flani kimatumizi lakini ndo changes zenyewe hamna jinsi ila pia ikumbukwe si mabadiliko yote yatapokelewa vizuri na wala si yote ni mazuri ila tupo pamoja wadau
 
Mtaizowea tu...kwani ya kwanza mlizaliwa nayo?
Ila hata wakongwe kiaina wanateseka kuitunia hii!
Quotation bars za hii si nzuri kama za mwanzo, halafu kunakuwa na linafasi kuuubwa unnecessarily!
 
Hata yangefanyika mabadiliko mazuri kiasi gani bado wote wasinge ridhika. Kwangu mimi hii mbona safi tu!
 
this is wat is called moving forward and upwards
and not backward and downward!!!

hatuwezi kuridhika wote cha msingi tufahamu mabadiliko ni muhimu.............take it or spit it!!!!
 
Ingekuwa vp kama kungekuwa na Ada au malipo yeyote ili kuwa member wa JF?
Watu wangetukana mitusi mizito mizito.
Turudi kwenye mada. Ya zamani tuliizoea ila hii ya sasa ni ya kisasa zaidi lakini tatizo ni kuizoea tu.
 
Back
Top Bottom