Lawama juu ya CCM zitaisha lini?

king zamunda

New Member
May 10, 2012
3
0
Tatizo watanzania tumekuwa tukiona mabaya tu ya ccm ila mazuri yake hatuyaoni, tusitupie lawama tu kwa serikali sometime inabidi na sisi tujitume. Hakuna nchi yoyote duniani inayoendelea bila wananchi kujituma, vijana walio wengi wanapenda kushinda magengeni kupiga story wakisahau kuwa nguvu kazi yao inahitajika katika kuendeleza nchi. Hivyo basi tuache lawama zaidi na tuzidishe jitihata zetu binafsi...... huo ni wangu mtazamo tu.
 
Pole bwana mdogo king zamunda umesahau usemi usemao "kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza" labda nikujibu swali lako, 2015 ndipo kifo chenu hata viongozi wako wamesha lijua hilo wengine wameanza kujihami kusimika sheria yakupinga matokeo ya rais mahakamani
 
Last edited by a moderator:
Tatizo watanzania tumekuwa tukiona mabaya tu ya ccm ila mazuri yake hatuyaoni, tusitupie lawama tu kwa serikali sometime inabidi na sisi tujitume. Hakuna nchi yoyote duniani inayoendelea bila wananchi kujituma, vijana walio wengi wanapenda kushinda magengeni kupiga story wakisahau kuwa nguvu kazi yao inahitajika katika kuendeleza nchi. Hivyo basi tuache lawama zaidi na tuzidishe jitihata zetu binafsi...... huo ni wangu mtazamo tu.

mtazamo wa mwanafunzi wa darasa la tatu. Lawama dhidi ya ccm zitaisha siku ccm itakapokuwa imezikwa kama KANU
 
Tatizo watanzania tumekuwa tukiona mabaya tu ya ccm ila mazuri yake hatuyaoni, tusitupie lawama tu kwa serikali sometime inabidi na sisi tujitume. Hakuna nchi yoyote duniani inayoendelea bila wananchi kujituma, vijana walio wengi wanapenda kushinda magengeni kupiga story wakisahau kuwa nguvu kazi yao inahitajika katika kuendeleza nchi. Hivyo basi tuache lawama zaidi na tuzidishe jitihata zetu binafsi...... huo ni wangu mtazamo tu.

Kwa nini vijana wanashinda magengeni?
Na unaposema tuache lawama na tuzidishe jitihada zetu binafsi, kwa vipi? Mfano nikienda hospitali naambiwa hakuna dawa, nalazwa chini, hapo unataka nifanye jitihada binafsi ipi? hongo? kwa nini serikali inapokea kodi?
 
uclalamike,yote inamaanisha mabaya ya ccm ni meng kuliko mazur yke,istoshe ayo mazur machache pia hayaonekanwi,

kwa iyo wambie ao magamba wenzio wazidishe mazuri yao uone km italaumiwa
 
Back
Top Bottom