Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,344
- 219,709
Mkurugenzi wa LATRA amesema kwamba kabla ya kupandisha nauli za mabasi walipokea maoni ya wananchi kwanza na kuyafanyia kazi.
Amesema kwamba siku ya kikao hicho Walikuwa Mubashara dunia nzima, na kwamba kila mtu aliona na wengine walishiriki na kutoa maoni yao.
===
“Nauli haitolewi kwa kuangalia mafuta tu, kuna vitu vingi na tuliwashirikisha [wananchi]. Tunapoletewa maombi tunaitisha kikao cha wadau [...] Siku tunafanya kikao hiki tulikuwa live [mubashara] dunia nzima na watu wanatoa mapendekezo yao halafu tunapokea maoni ya wananchi.” – Habibu Suluo, Mkurugenzi Mkuu LATRA