dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,403
- 55,604
na bajaji ni za viongozi hao wa halmashauri
mji mchafu ni ule uliotapakaa bajaji kwenye barabara kubwa

Stendi kama imetelekezwa hiv. Stendi ya makumbusho sí wangehamishia hapo?Haya ni maajabu,
Wanazuia mabasi yasiyo na namba D au E kuingia lakini wameruhusu Bajaji na bodaboda kuingia..
Tena wanasema madereva na wasaidizi wao wavae sare kama za shule, sufuali dark blue na shati jeupe kisa kituo kipya..
Latra sio akili zao zinawaza nini?
Kama hawana mambo ya kufanya watusaidie kuongoa bajaji ambazo sasa zimejimilikishia njia kama daladala.
Njia ya mbezi to makumbusho wamesimamisha kutoa leseni kwa daladala lakini wameachia bajaji zifanye hiyi route.
Ushauri wangu latra ifutwe, maana hakuna kazi inafanya..
Hizo bajaji nazo ni mpya? Tupo wengi tusiopenda kupanda bajaji kutokana na muundi wake kuwa si wa kubeba abiria kama daladala.Simply LATRA wanataka gari mpya ndio ziingie kituo kipya.
Same mentality waliyoitumia kwenye uniform za madereva na makondakta wao.
Kituo kipya, mabus mapya, uniform mpya.
Bajaji zinaongeza msongamano lakini pia hawana leseni ya njia kama daladala.. sasa hivi wanapiga route kama daladala , wao ni usafiri wa kukodishwa kama tax..Kwanini una chuki na bajaji?
Mwenye nacho anadharau asienacho, na mwenye Cheo anadharau asiye na CheoHaya ni maajabu,
Wanazuia mabasi yasiyo na namba D au E kuingia lakini wameruhusu Bajaji na bodaboda kuingia..
Tena wanasema madereva na wasaidizi wao wavae sare kama za shule, sufuali dark blue na shati jeupe kisa kituo kipya..
Latra sio akili zao zinawaza nini?
Kama hawana mambo ya kufanya watusaidie kuongoa bajaji ambazo sasa zimejimilikishia njia kama daladala.
Njia ya mbezi to makumbusho wamesimamisha kutoa leseni kwa daladala lakini wameachia bajaji zifanye hiyi route.
Ushauri wangu latra ifutwe, maana hakuna kazi inafanya..
Bajaji si public transport, highway unakuta bajaji kama 200, vituoni hata njia ya kuoita hamna.. njiani zilizo zima kibaoHizo bajaji nazo ni mpya? Tupo wengi tusiopenda kupanda bajaji kutokana na muundi wake kuwa si wa kubeba abiria kama daladala.
Tunazubgumzia sheria, tukiacha kila kitu kqa sababu ya njaa,hatuta fika.. hapa mjini kulikua na hiace zamani ila kwa sababu ya kupunguza msingamano zikaongolewa zote..Mwenye nacho anadharau asienacho, na mwenye Cheo anadharau asiye na Cheo
Ajira hamna, waacheni vijana wapambanie kula wakuuBajaji si public transport, highway unakuta bajaji kama 200, vituoni hata njia ya kuoita hamna.. njiani zilizo zima kibao
Empty brainLatra Wana akili za kisukuma
Kuna magari number A na B au C ni mazima na mazuri kuliko hayo ya E na mengine ni E lakini mabovu yamefanyiwa re registrationWanazuia mabasi yasiyo na namba D au E kuingia lakini wameruhusu Bajaji na bodaboda kuingia..
Tena wanasema madereva na wasaidizi wao wavae sare kama za shule, sufuali dark blue na shati jeupe kisa kituo kipya..
Haya ni maajabu,
Wanazuia mabasi yasiyo na namba D au E kuingia lakini wameruhusu Bajaji na bodaboda kuingia..
Tena wanasema madereva na wasaidizi wao wavae sare kama za shule, sufuali dark blue na shati jeupe kisa kituo kipya..
Latra sio akili zao zinawaza nini?
Kama hawana mambo ya kufanya watusaidie kuongoa bajaji ambazo sasa zimejimilikishia njia kama daladala.
Njia ya mbezi to makumbusho wamesimamisha kutoa leseni kwa daladala lakini wameachia bajaji zifanye hiyi route.
Ushauri wangu latra ifutwe, maana hakuna kazi inafanya..
Kituo ni cha LATRA? siku hizi wanajenga vituo vya mabasi? nilijua hio ni kasi ya Jiji au Manispaa make ndio wana own hivyo vituo.
Huu ujinga uko Tanzania pekee
Ukikusanya magari namba E utakutana na magari mabovu katikati ya magari yenye hali nzuri.Kuna magari number A na B au C ni mazima na mazuri kuliko hayo ya E na mengine ni E lakini mabovu yamefanyiwa re registration
Kweli hao akili matope
Hii inashangaza sana kama kigezo ni kusema magari ni mabovu swali langu ni hili.Haya ni maajabu,
Wanazuia mabasi yasiyo na namba D au E kuingia lakini wameruhusu Bajaji na bodaboda kuingia..
Tena wanasema madereva na wasaidizi wao wavae sare kama za shule, sufuali dark blue na shati jeupe kisa kituo kipya..
Latra sio akili zao zinawaza nini?
Kama hawana mambo ya kufanya watusaidie kuongoa bajaji ambazo sasa zimejimilikishia njia kama daladala.
Njia ya mbezi to makumbusho wamesimamisha kutoa leseni kwa daladala lakini wameachia bajaji zifanye hiyi route.
Ushauri wangu latra ifutwe, maana hakuna kazi inafanya..
Mungu akusamehe,hujui ulichoandika.Latra Wana akili za kisukuma😁
Hivi namba ndio inaonesha upya(brand new)wa gari?.au ni chasses namba au hatua hiyo Ina maana ganiiii.Kuna njia nyingi sana hapa dar sasa hivi hawatoi leseni na wanakuka na kigezo cha gari liwe na namba fulani wakati kuna vibajaji vimechoka ukiviona vitatembea utadhani mlevi wa mbege.
Wananchi tunahitaji kusafiri na sio namba za magari, kjna magari yana namba E lakini ni mabovu kuliko hayo namba A.
Latra ingesema mabasi yanayo takiwa ni yale yenye seat kuanzia 40 na kuendelea tungewaelewa, tungejua wanalengo la kuounguza foleni
Tunaomba wizara husika ilitazame hili, jiji linapitia wakati mgumu sana kwenye usafiri kwa sababu ya taasisi isiyo na maoni kama latra.