LATRA kuruhusu daladala zenye namba E na D pekee kuingia kituo cha mabasi Mwenge wanafikira nini?

Haya ni maajabu,

Wanazuia mabasi yasiyo na namba D au E kuingia lakini wameruhusu Bajaji na bodaboda kuingia..

Tena wanasema madereva na wasaidizi wao wavae sare kama za shule, sufuali dark blue na shati jeupe kisa kituo kipya..

Latra sio akili zao zinawaza nini?

Kama hawana mambo ya kufanya watusaidie kuongoa bajaji ambazo sasa zimejimilikishia njia kama daladala.

Njia ya mbezi to makumbusho wamesimamisha kutoa leseni kwa daladala lakini wameachia bajaji zifanye hiyi route.

Ushauri wangu latra ifutwe, maana hakuna kazi inafanya..
Kuhusu uniform, ni wazo, zuri, hata BOT wafanyakazi, huvaa sare,suruali, nyeusi na shati jeupe, hii inapendeza, piga suti saafi kama mwijaku,
Shabiby wanavaa suti, au, sio lazima suti, kadet, shati, koti, kipapaa
 
Haya ni maajabu,

Wanazuia mabasi yasiyo na namba D au E kuingia lakini wameruhusu Bajaji na bodaboda kuingia..

Tena wanasema madereva na wasaidizi wao wavae sare kama za shule, sufuali dark blue na shati jeupe kisa kituo kipya..

Latra sio akili zao zinawaza nini?

Kama hawana mambo ya kufanya watusaidie kuongoa bajaji ambazo sasa zimejimilikishia njia kama daladala.

Njia ya mbezi to makumbusho wamesimamisha kutoa leseni kwa daladala lakini wameachia bajaji zifanye hiyi route.

Ushauri wangu latra ifutwe, maana hakuna kazi inafanya..
Hivi Latra inamiliki na kuendesha vitu vya stendi?

Sidhani
 
Haya ni maajabu,

Wanazuia mabasi yasiyo na namba D au E kuingia lakini wameruhusu Bajaji na bodaboda kuingia..

Tena wanasema madereva na wasaidizi wao wavae sare kama za shule, sufuali dark blue na shati jeupe kisa kituo kipya..

Latra sio akili zao zinawaza nini?

Kama hawana mambo ya kufanya watusaidie kuongoa bajaji ambazo sasa zimejimilikishia njia kama daladala.

Njia ya mbezi to makumbusho wamesimamisha kutoa leseni kwa daladala lakini wameachia bajaji zifanye hiyi route.

Ushauri wangu latra ifutwe, maana hakuna kazi inafanya..
wako sahihi kabisaa!kuna madaladala mabovu sana barabarani yanatishia maisha ya watu
 
Hii inashangaza sana kama kigezo ni kusema magari ni mabovu swali langu ni hili.

Je kama gari ina namba E au D lakini ukitizama kwa macho unaliona kabisa choka mbaya watakubali liingie kwa kigezo hicho cha namba D au E? Maana kigezo wamesema ni E au D. na wakikataa kwa kusema ni bovu je C kama lipo vizuri kwanini walikatae?

Hayo magari tatizo ni nini kuingia kituoni? wanajua kero za wananchi magari ni machache? nani anatoa liseni za usafiri? walikuwa wapi na kwa nini sasa walete utaratibu huu sasa.
Hawa hawana tofauti na wale wanaopima UKIMWI kwa macho
 
Haya ni maajabu,

Wanazuia mabasi yasiyo na namba D au E kuingia lakini wameruhusu Bajaji na bodaboda kuingia..

Tena wanasema madereva na wasaidizi wao wavae sare kama za shule, sufuali dark blue na shati jeupe kisa kituo kipya..

Latra sio akili zao zinawaza nini?

Kama hawana mambo ya kufanya watusaidie kuongoa bajaji ambazo sasa zimejimilikishia njia kama daladala.

Njia ya mbezi to makumbusho wamesimamisha kutoa leseni kwa daladala lakini wameachia bajaji zifanye hiyi route.

Ushauri wangu latra ifutwe, maana hakuna kazi inafanya..
Watanzania watumie hii kama fursa ya kuagiza magari mapya
 
Simply LATRA wanataka gari mpya ndio ziingie kituo kipya.

Same mentality waliyoitumia kwenye uniform za madereva na makondakta wao.

Kituo kipya, mabus mapya, uniform mpya.
Gari kupewa namba D au E haina maana kwamba hiyo gari ni mpya.

Gari iliyotengenezwa mfano mwaka 1975 na ikaletwa Dar leo kutoka Japan inapewa namba E.
Haya ni maajabu kweli kweli.
System hii ya kutoa number plates kwa vifaa vya moto inafaa marekebisho.
 
Haya ni maajabu,

Wanazuia mabasi yasiyo na namba D au E kuingia lakini wameruhusu Bajaji na bodaboda kuingia..

Tena wanasema madereva na wasaidizi wao wavae sare kama za shule, sufuali dark blue na shati jeupe kisa kituo kipya..

Latra sio akili zao zinawaza nini?

Kama hawana mambo ya kufanya watusaidie kuongoa bajaji ambazo sasa zimejimilikishia njia kama daladala.

Njia ya mbezi to makumbusho wamesimamisha kutoa leseni kwa daladala lakini wameachia bajaji zifanye hiyi route.

Ushauri wangu latra ifutwe, maana hakuna kazi inafanya..
Toeni mikweche yenu road
 
Gari kupewa namba D au E haina maana kwamba hiyo gari ni mpya.

Gari iliyotengenezwa mfano mwaka 1975 na ikaletwa Dar leo kutoka Japan inapewa namba E.
Haya ni maajabu kweli kweli.
System hii ya kutoa number plates kwa vifaa vya moto inafaa marekebisho.
Upo sahihi kabisa
 
Na kwa kiutafit changu kidogo nilichofanya, Kuanzia Miaka ya 2012 kurud nyuma Watu wengi walikuwa wananunua magari mapya kuliko hivi sasa. Ni rahis kuikuta gar namba C ila imetengenezwa 2011 na ukakuta namba EFZ imetengenezwa 1990
Upo sahihi kabisa, wangekuja na sera kwa maeneo ya mjini mabasi yanayo ruhusiwa yawe na seat 40+ ningewaelewa ili kuounguza foleni
 
Back
Top Bottom