LATRA kuna utata mkubwa mitaani kati ya abiria na daladala juu ya nauli mpya

Mrisho com

JF-Expert Member
May 2, 2015
3,903
3,937
Nimepanda gari na kwenda sehemu tofauti tofauti nimeona mizozo mingi sana kwenye gari juu ya nauli mpya. Sasa inawezekana ni uelewa wa watu juu ya mabadiriko haya mapya ya nauli au mambo yakawa miso missondo.

Mfano,nauli kutoka buza mpaka kariakoo gerezani, zamani ilikuwa 500 na sasa nauli mpya ni 600. Sasa wale waliokuwa wanalipa nauli 600 sasa hivi wanalipa 800 hii nimeshuhudia leo huu mzozo.

Ni vyema LATRA wakaja na elimu ya kushiba au wachore kabisa kwenye mbao za gari ili kuondoa mzozo huu,watu wanahisi makonda wanapita na pesa za watu

Ni hayo tu,babu wa kigambo kwa sasa nipo mvuha napalilia mahindi
 
Ni ujinga abiria kugombana na daladala, abiria(raia) angegombana na serikali yake ambayo ndio imeleta upuuzi wote huu.

Wanaopanga gharama za mafuta, nauli etc hawajui bei zake wao wanatembelea magari ya bure na mafuta ya bure.

Nchi ya kisenge saana hii.
 
Waacheni
 

Attachments

  • Screenshot_20231210-022247_1.jpg
    Screenshot_20231210-022247_1.jpg
    35.2 KB · Views: 5
Sina cha kusema lkn hii nchi raia wenu nmba 1 yupo tuuu

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Hapa sio raia namba moja yupo tuu ila tatizo sisi sote kwa ujumla wetu akili zetu ndo zipo tuu hadi raia namba moja anashangaa kama anaongoza watu au midoli. anayetembelea usafiri wa V. I. P unataka afanyaje kama wanaosafiri kama mifugo hawaonyeshi kutoridhika.In short wabongo wamezoea shida kunakochagizwa na uoga.
 
Back
Top Bottom