Latest: Asha-Rose Migiro the new UN Deputy General Secretary

Tafiti,
Mama TIBAIJUKA hajasaidia mbongo yeyote zaidi ya wanyambo wenzake hiyo wote wanajua na wala si siri tena.

Huyu mama tuna imani hana huo utoto wabongo watafurahi, Mzee Jasusi kaa mkao wa kula sasa, mzee mwenzio nasikia katangaza maulid una taarifa hii?
 
Kabla sijakupa data [naendelea kuzitafiti on top ya nilizonazo] niambie hao 'wanyambo' unaowaita ni raia wa nchi gani kama sio watanzania, nahisi unazungumzia wahaya hawa sio watanzania?!

Unajua namna Tanzania ilivyonufaika na Mama Tibaijuka? Kama hujui kaa kimya au uliza sio kurukia, huyu ni mhaya mchapa kazi..ala/ wabonaki?
 
FOR THE FIRST TIME napingana na TAFITI katika hili


Huhitaji kutangaza nchi kupitia kuwa na mjumbe ngazi ya juu toka Tanzania.In this day and age nchi haisifiwi kuwa na wanasiasa au wajumbe machachari bali ni kuwa at par na global economic development na kuwa na mazingira mazuri ya kuwa na FOREIGN DIRECT INVESTMENTS ambazo zitatoa ajra kwa wazawa

Asha rose migiro hakuweza kuweka balozi BRAZIL mwaka mzima ataweza kweli kutoa maamuzi au kumshauri BAN KI MOON kuhusu nini kifanyike huko Somalia?


On a flip side bado nina question foreign policy ya Tanzania maana tumekuwa ma flip flops .... bila kuzingatia National Interest

but at what PRICE?
 
Kama mtanzania atachaguliwa popote pale ulimwenguni hata kwa njia ambazo hazikubaliki mimi binafsi nitamsupport maana nchi za magharibi ndio wametuibia vya kutosha hivyo inabidi tuanze kurudisha mali walizoiba. Na wao ndio chanzo kikubwa cha rushwa zinazoendelea.
Naam!!

Kwanza naanza kwa kumpongeza huyu M bongo na wabongo wote, kwani kwa njia moja au nyingine TZ itafaidika!!, Pili iwe takrima au isiwe sis tunatakiwa tufurahie huo uteuzi kwani usingeletwa bongo ungeenda nchi nyingine!!! Siasa ndivyo zilivyo iwe afrika, ulaya au amerika lazima pasi za hapa na pale ziwepo!

Tatu jamanie acheni roho za korosho..... huyu mbongo mwenzetu ameula kwa nini roho zinauma wengine???kumbukeni kuwa ukimchunguza kuku sana hutaweza kumla!!
 
Phillemon Mikael,

Mjomba we don't need security analysts to run FOREIGN hebu elewa hilo

Tunahitaji damu mpya na wako wengi tuuu

Whats next utataka Hasim Mbita achaguliwe?

Asasa hiyo Ari Mpya iko wapi?
 
sasa kwa kuwa JAMBO FORUM mnapenda kuleak mambo ya SERIKALI sasa je, NANI ATAZIBA PENGO LAKE PALE FOREIGN maana pamejaa uozo mkumbwa sana pale

Let me take a wild guess.
Jina: withheld for the moment,
gender mwanamke (mwenye "mahusiano ya karibu" na JK),
dini: 101% MUSLIM,
political affiliation:absolutely 1000% CCM from Mtandao.
Marital status:
married with kids (but rumours has it that one of the kids is JK's)
 
Mlalahoi.

bado una udini kama ule wa Mengi vs Nssf?
karibu sana mzee wa kinyakyusa.

Mama Migiro
kutesa kwa zamu huu ni wakati wako endelea kuteza umetutoa mrithi hawa wajinga achana nao ni njaa kali tupu.

Ukifika UN fanya makamuzi heavy kama Mzee Koffi Aliyejaza Waghana kila kona.
nakubali wa mbili havai moja ni baraka za mzee Shaaban Mtengeti yaani kutoka shule ya kiislam mnazi mmoja hadi UN? ndio maana akina Mlalahoi chupi zinawabana.

Ni mavumba ya mzee JK.
 
DRWHO,
In this day and age nchi haisifiwi kuwa na wanasiasa au wajumbe machachari bali ni kuwa at par na global economic development na kuwa na mazingira mazuri ya kuwa na FOREIGN DIRECT INVESTMENTS ambazo zitatoa ajra kwa wazawa

Basi baba umefunga janvi!...
Kama huyu mama hajakamilisha lolote hapo juu... bado tumeliwa!
 
Jamani,
Wooote mmenvunja mbavu. Wabongo kweli Nyerere alizaa! Yombayomba, nimeshaakaa mkao. DrWHO, Wacha, wote points zenu zimenikuna.
 
personally i wont get carried away na hili lakini kama nilivyosema hapo awali n kuwa its a good career move kwake binafsi na what i am more worried about is how she will fit into MARK MALOCH BROWN's shoes.

Unajua Maloch nilijua ataondoka baada ya kutoa soe controvesial remarks about a year ago,na pili the man knew how to woo the media na la muhimu zaidi ni kuwa alikuwa kiungo muhimu zaidi na UN specialized agencies na haswa jamaa wa UNDP ambao wanahusiana moja kwa moja na maendelea sehemu mbali mbali

Challenge nyingine itakayo atakayo kutana nayo huyu mama pale NY ni kumsaidia BAN KI MOON lakini vile vile itamsaidia kama akiweza kumpiku BAN kwa sababu Ban comes across as a typical Asian diplomat ambao wanastyle ya pekee ya kuresolve issues based on Asian tradition of silent diplomacy japo kaika sherehe ya kujitambulisha kwa waandishi wa habari alijariu kuonyesha kuwa ana charisma kwa kutoa some cheap jokes

Mama migiro itabidi ajaribu kubuild some good relationship na jamaa wa STATE DEPARTMENT under CONDI RICE wakati huo huo na jamaa wa WHITE HOUSE na hii inakuwa tamu zaidi kwa sababu the current US ambassador to UN bwana JOHN BOLTON anaondoka kwani hukutokwepo uwezekano wa kupitishwa na ma democrats ambao wamechukua both houses in recent elections....JOHN BOLTON alikuwa UN's worst nightmare kwani anatoka katika radical radical school of thought in International Relations ya REALISM ambao kwa kifupi hawaamini non -state actors kama UN ni viable na vile vile wana hiyo doctrine of GO-IT ALONE na hiii imekuwa ni mwamba toka kwa FOREIGN RELATIONS SENATE COMMITTEE amako ma doe na hawks hawaonani ana kwa ana na mara mbili walikataa uteuzi wa Busha mara mbili lakini kwa veto ya rais akaenda UN hivyo hivyo na alikuwa KOFI ANNAN's worst nightmare wakati wa FOOD FOR AID scandal na Maloch Brown naye alilalamikiwa sana kuhusu skendo hili

Vile vile Mama Migiro ashukuru kuwa Bush amemunominate balozi mpya bwana ZALMAY KHALIZAD kuwakilisha US ambaye japo atakuwa anafuaa doctrine ya neo-conservatives lakini huyu bwana sio JOHN BOLTON

Jamaaa kwanza ni MUSIALM pili hakuzaliwa USA jamaa alizaliwa AFGHANISTAN na nadhani hii ni fundisho kubwa kwetu ambao tunaogopa wageni na hatuishi kuquestion uraia wa watu ambao wako Tanzania na wa ana contribute kwetu

In the meantime naamini hii challenge Mama Migiro ataiweza tuu lakini huko juuu bibile its another ball game
 
DRWHO,


Basi baba umefunga janvi!...
Kama huyu mama hajakamilisha lolote hapo juu... bado tumeliwa!

Mind you siyo kazi yate kua attact FDI kwenda Tanzania bali ni kazi ya wizara ya viwanda na biashara,Tanza trade na kwa kiasi fulani jamaa wa foreign lakini huyo mama kuwepo UN hakutusaidii kupata FDI kwani siyo kazi yake. sasa jiulize kwa nini Tanzania Investment Centre wamekuwa slow katika kufanya shughulizao? na hii unajua inafanya kazi ya jamaa wa TANZA TRADE LONDON inakuwa ngumu zaidi....nadhani its time tukarevamp foreign policity yetu iwe tailored based on facts kuwa tunahitaji investments za maana na siyo kutangaza nchi kama destination ya kutazama WANYAMA tuu

Mama miiro alichemsha kutosor out la kufunua Ubalozi Brazil as soon as possible na tusingetakiwa kusubiri this long...lakini inawezekana kuwa kuna watu kule Foreign hawakuliona hili kama ni Muhimu
 
Niliwahi kufanya kazi na huyu mama pamoja na mme wake pale UDSM miwshoni mwa miaka ya themanini. Wakati huo alikuwa bado ni kijana na wote wawili walikuwa na mambo ya ujana. Hata hivyo nakumbuka alikuwa ni mmoja wa watoa hoja nzito nzito kwenye mikutano ya UDASA ikiwa ni pamoja na Marehemu Chachage. Kwa hiyo nadhani atatuwakilisha vizuri huko UN; she is a serious woman.
 
jamani this wont make any difference

hiii ni nzuri kwa career yake

hii mko dunia gani?
 
Well all said: Hongera sana Dr Asha Migiro.......Very Good News to start Year 2007.


Ukweli upo kuwa uteuzi huu una harufu ya Takrima, ila ukweli pia ni kuwa kama CCM wangekuwa wanatoa Takrima lakini wanachagua watu wenye uwezo na kazi zao basi sidhani kama leo hii tungekuwa hapa tulipo. Sasa uteuzi huu umezingatia jambo la msingi ambalo ni UWEZO WA MTEULIWA. Nina imani Mrs A. Migiro kazi ataiweza, jambo ambalo ni zuri sana kwa heshima yake binafsi na kwa kiasi fulani Taifa..nasema Taifa kwa kiasi fulani kwani sidhani kama Ghana ilinufaika kwa kiasi kikubwa na Koffi Annan kuwepo pale UN kwa miaka yote ile.

Hapa tunaweza kujifunza kuwa pamoja na kuwa siasa ni mwendo wa kulipana fadhila; ila JK/CCM amelipa/wanalipana fadhila kwa mgongo wa maslahi ya Taifa. JK amelipa fadhila for the sake ya kulipa fadhila wala hata hakuangalia nani ataweza kazi na nani hatoweza, tena wizara hazikutosha akaongeza idadi ili alipe fadhila kwa wote. Kwa hili amedharaulika sana tu.


Upande mwingine; mimi naona JK amenyanganywa waziri pekee ambaye kwa kiasi kikubwa ni msafi. Hii kwa kiasi ni huzuni kwa Taifa, natumai ataangalia kila kona ya nchi na hata huko ngambo kutafuta Mtanzania mwingine safi wa kuziba pengo la Dr A. Migiro (kama litazibika..!!).

Ni matumaini yangu kuwa hii itakuwa changamoto kwa Watanzania wote hasa WASICHANA kuwa ELIMU ina uwezo wa kutufikisha mbali na kwamba kila mmoja wetu kwa elimu, jitihada na busara zake anauwezo wa kujiwekea alama yake mahali fulani hapa Dunia. Tuache sababu za kitoto (cheap excuses) na badala yake tufanye kweli.

Namtakia Dr A. Migiro kila la Kheri.
 
I cant believe i am reading this in 2006

Guys looks at the bigger picture ...yaani bado mko katika cheap politics

I cant believe this

Its like people have been sedated by this

It wont make any difference kama ambavo Kofi hakumake any difference to Ghana wala Boutros Ghali kwa Egypt
 
I cant believe i am reading this in 2006

Guys looks at the bigger picture ...yaani bado mko katika cheap politics

i cant believe this

its like people have been sedated by this

it wont make any difference kama ambavo Kofi hakumake any difference to Ghana wala Boutros Ghali kwa Egypt


DrWHO

Wananchi wana imani ya uzalendo ... wacha wajisikie vizuri na kujifurahisha japo kidogo ... wadhifa mkubwa huu ndugu yangu...!!
 
Kwa kuwa ni mzalendo tunasema Hongera. Lakini takrima grrrrrrrrrrrr. CCM msije anza kutumia uteuzi huu kama ushindi wa CCM. Hii ni Tanzania ndiyo maana tunaweka neno takrima ili mjue kwamba mkianza kusema ichagueni CCM kwa kufanya vyema hadi Migiro kaenda UN hapa itakuwa issue kubwa.
 
Back
Top Bottom