Latest: Asha-Rose Migiro the new UN Deputy General Secretary

Mswahili,
Usemayo yote ni sahihi kabisa.Mkapa hakuwa na uzalendo wa nchi. Aliwatanguliza wageni (makaburu) badala ya kuwawezesha wananchi. Lakini asemayo Kichwamaji ni kweli. Nilimsikia Mkapa kwa masikio yangu akisema "over my dead body" juu ya JK kuwa rais. Sasa next time nikikutana naye nina swali moja tu: what happened, Mr. President?

Jasusi, was it on JK or SAS the "over my dead body" statement?
 
Hongera sana Dr. Migiro, ni mtu makini, miongoni mwa watu wachache sana makini ndani ya CCM!

Ni Heshima kwa taifa kwa yeye kuteuliwa na ni heshima sana kwake kuondokana/kuwa mbali na CCM.

EO,

Let me correct you. Makini sana katika Serikali na si CCM. Those are two different entities in same body!
 
Naamini mkapa kusema maneno ya kipuuzi namna hiyo. akili zake za kipumbavu hajui yeye ile nafasi aliyokuwa nayo ilikuwa mali ya JK?
ndio maana utawala wake ulikuwa na mikosi sana mara mv victoria imezama mara bus imeanguka mto wami. kila balaa alituletea kobe yule. kazi kubwa pombe tu.
 
In what sense ametutoa Aibu? Kuteuliwa kuwa kiongozi? how can that erase the embarrasment of Richmond and other ills that have been done by the Serikali? Common man, that can be an individual achievemtn and I congratulate her. But stating that her new position will give Tanzania a new outlook is pure nonsense!

Rais anadai, tuombe dua tupate umeme, what about a shaddy and sheety deal with IPTL, Richmond, and others like Madini? how do we cherish the nomination/selection on a political forum while we do no have enough energy to sustain our economy due to incompetence of the elected government?



kwa hiyo REV KISHOKA

naamini ukisoma post zangu kuhusu hii topic hapo yuma tutakuwa on the same boat
 
Karibu tena Rev Kishoka, na heri ya mwaka mpya. Tuendelee kukata issues
 
Rev Kishoka,
Karibu mkuu, karibu sana...

Sasa naanza kuiona picha kwa nini JK safari zilikuwa nyingi USA na mama Migiro alipitisha matumizi... haaa haaa haaa!..
Ndio matunda ya safari, mpeni JK pia sifa zake maanake lazima Bush alimpa kitimoto!
 
mswahili vipi ? unataka kusema maafa yaliyotokea enzi ya mkapa[mv victoria] ni kwa sababu hakumpenda ,jk!! damn! na maafa ya mwaka jana,njaa na umeme yanatokana na nini,......tuache kutafutana uchawi,tufanye kazi!!!!

the lady has been appointed because she is capable and definately due to tanzania records in world peace ,africa and great lake region in whole.....
 
Mikael

Kama ni uwezo pekee ndiyo kapewa nasema hapana . Tanzania peace etc pia nasema hapana . Angalai the way wapinzani wanavyo teseka Tanzania na si JK wala Mkapa wako tayaru kutumia nguvu za jeshi kuzima move halali ya wananchi kama kuingia mtaani nakueleza hisia zao. Nasema Mama ana shule na Hongera sana lakini appointment yake nasisitiza ni Takrima .Kuna move kibao zilifanywa USA na Kores S na kumbuka Moon alikuja Dar na kusema nitalipa fadhila . Nani mjinga hapa wa kudanganywa ? Pongezi ziende kwa Mahiga kule UN maana tulikuwa Mwenyekiti by that time .
 
hili la watu wa mataifa kusema kuwa korea wanahonga ili mgombea wao apite sio siri na mkumbuke mwezi wa kumi karibu viongozi wote afrika walikutana china kwenye sino africa economic forum....baada ya hapo wengi walipita korea na moon alpata muda wa kampeni..any way si kosa unapomsaidia mtu kwenye kampeni kupewa cheo...dunia nzima viongozi wanawateua watu walio kwenye kampen team yao kwenye uongozi..
waliokuwa kwenye upande wa korea wapo wengi na mkumbuke hii ilikuwa zamu ya asia kutoa katibu...so kwanza alipitishwa na asia kama mgombea wao then akaendelea kuunda blocs za kampeni kila bara ...sasa ndugu zangu lazima muone fahari kuwa katika wote waliokuwa wakimpigia moon kampeni yeye ameona Tanzania inafaa kutoa ktibu mkuu...tunashukuru pia kwa uwanashama uliofanikiwa wa tanzania kwenye baraza kuu lakini nao uligombewa na majirani zetu wengi ,tukaonekana tunafaa ,haipingiki kuwa mwalimu nyerere aliweka misingi imara ya siasa ya nje ya tanzania fikiria mwaka 1981 tayari tanzania ilishafikiriwa kutoa katibu mkuu un ,bahati mbaya marekani wakamkataa dr salim wakampa perez de cuellar wa Peru,tuiendeleze hadi vizazi.sasa kuna umuhimu wa kuyatumia mafanikio ya diplomasia ya siasa kiuchumi.....jirani zetu kenya nawasifu kwa diplomasia ya uchumi na kama wangepata hata ile nafasi ya ujumbe wa baraza kuu[aliyotuwakilisha mahiga],mngeona namana diplaomasia ya uchumi inavyofanya kazi...........
 
Mlalahoi

Unafahamu maana ya breaking news?

Hiyo story ambayo umeweka ya BBC na CNN haikuwepo jana at 9:48 GMT wakati hizi habari zilitangazwa na UN about an hour earlier. Kwa hiyo hukuwa na sababu yaku-quote. Wewe ungeiweka tu as a story from those organisations.

Nime-quote BBC na CNN ku-counter arguement yako kwamba "... Angalia BBC, CNN na SKY News nimesearch hawajaiweka lakini angekuwa ni raia wa UK au US ungeiona..."Breaking news or not cha muhimu ni kwamba wameweka habari hiyo kwenye websites zao.By the way,why had it to be a breaking news?
 
Mimi siwalamu maana muwamba ngoma huvutia kwake . Hawana maslahi na utezi huo sasa ulitaka wafanye nini ? Wanajiandaa kupambana naye akiwa UN hawataki kumwaga sifa sasa iloi baadaye washindwe kumpinga . Asha ni Mtanzania wacha sisi tupige kelele za furaha japokuwa najua sasa Upinzani na hasa CUF ndiyo mwisho watauawa kwa risasi za moto na Migiro atazima issues kwa manufaa ya CCM huko UN na si Tanzania .
 
The bottom line is that this lady is capable of undertaking the job she has been entrusted with. How she got it, we can continue with conspiracy theories, which is part and parcel of this forum.

It is not unusual for CCM to take credit for things they do not deserve. They can even claim credit for the coming of the rains that filled up Mtera and other electricity generating dams. This is a party of gimmicks and maniputors; they can manipulate anything to their advantage. The good news is that they can only fool the fools. It will only be bad news if there are many fools even in this forum to be fooled by CCM's gimmicks!
 
Mwanasiasa,
Cheo alichochukua mama huyu huwa kina kampeni kubwa sanaa! si mchezo mdogo kwa sababu dunia nzima kuwa watu millioni wenye uwezo na elimu kushinda huyu Bi. Mkubwa. Sijui kama unakumbuika ya Salim A. Salim
Ni sifa kwetu kuipata nafasi hiyo lakini pia inashangaza tu kuwa pale Americans have investment na interest zao ndiko wanakotoka hawa wakuu wa UN.
Jaribu kutaza historia ya viongozi hawa kwa wakati wake!
 
The bottom line is that this lady is capable of undertaking the job she has been entrusted with. How she got it, we can continue with conspiracy theories, which is part and parcel of this forum.

It is not unusual for CCM to take credit for things they do not deserve. They can even claim credit for the coming of the rains that filled up Mtera and other electricity generating dams. This is a party of gimmicks and maniputors; they can manipulate anything to their advantage. The good news is that they can only fool the fools. It will only be bad news if there are many fools even in this forum to be fooled by CCM's gimmicks!



refer to my earlier post here:

http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=1238&page=6
 
Calls change Migiro’s career

Two Calls one from President Jakaya Kikwete and another from UN Secretary-General Ban Ki-moon changed Dr. Asha-Rose Migiro life.

Read More @ http://www.asharosemigiro.com/CallschangeMigiroscareer.html

Dr. Migiro reacts to her UN Appointment.

The newly appointed UN Deputy Secretary General, Dr. Asha-Rose Migiro has said that her appointment signifies respect to Tanzania’s foreign policies.

Read More @ http://www.asharosemigiro.com/Dr-Migiro-reacts-to-her-UN-Appointment..html
 
Migiro keshapata chake sasa Foreign Policy ipi tena ? Kuuza kila kitu chetu na kuwaruhusu wageni kuwapiga watanzanai risasi kila wamenunue ardhi yetu yeney madini yetu ?
 
Jamani kuna taarifa kuwa,Mzee anapitia baadhi ya Profile za watumishi wake kwa ajili ya Teuzi mbalimbali,pamoja na shughuli nyingi za Msiba wa Ndg yetu Akukweti na simu nyingi kutoka kwa marafiki kuhusu Uteuzi wa Dr Migiro bado alipata muda wa kuzungumza na PM kuhusu Uteuzi wa Foreign Minister kabla ya safari yake ya UK na Scandinavia wiki ijayo.Vyanzo vyetu vya Habari vinamtaja Mama Mwanaidi Maajar Sinare kuwa yupo miongoni mwa wanaotajwa,wazalendo wengine ambao ma-file yao yanaangaliwa ni la Prof.Idris Mtulya, Anna Makinda, Abdulrahman Kinana,Dr Rose Lugembe ,Martin Lumbanga na Dr Augustine Mahiga.Jamani hizo ni habari za mwanzo,tutataarifiana itakavyokuwa na kama kuna mwenye habari zaidi naomba aziweke hapa,ili nasi tupate kuwajadili hawa watu!
 
Back
Top Bottom