Laptops and Mobile phones for sale

Söny vaio,3gb ram,320gb hdd. Inauzwa na mim nipigie 0719373606

Wacha usaniii wa kishuleshule wewe, ulinipigia na kunieleza unayo Toshiba Laptop tukaelewana bei,nikakuambia uniletee hapa kitega uchumi hukutokea na kila nikupigia hupokei simu, sijui ulikuwa unavizia ya mtu uipige, halafu dili likabumbuluka,kama auko makini na unachokitangaza kwanini usikae kimya kama wengine showoff ya nini???.
 
Laptos emachine 500gb,3gb ram..core i3, hp dv6 6gb ram,640gb hdd..cor i5..sony vaio 320gb hdd,3gb ram....tohiba satelite i3,320gb harddisk,3gb ram....nakupa na antvirus linsenced 1 year....cal 0719373606..
 
Bei n maelewano kati yangu m na mteja..wenye nia siku zote wananitafuta nawauzia.
 
Weka bei ili tuweze kuku tafuta sio watu wote tuna weza kununua kitu bila kuuliza bei ujue mtu mpaka azichange kwanza ndio ana nunua
 
Laptos emachine 500gb,3gb ram..core i3, hp dv6 6gb ram,640gb hdd..cor i5..sony vaio 320gb hdd,3gb ram..cal 0719373606..

Mkuu thejosec, samahani kama nitakuwa nakosea, ila naomba kuuliza kitu hapa....Hizi kitu ni mpya au ni used! Nway, nimeichukua no yako na will check on u japo sijui kama stock ni kubwa maana mwisho wa mwezi ndo huwa mambo yanajipa..Samahani kwa usumbufu...
 
pia ipo toshiba i3,320gb hard disk,3gb ram...mpyaaa...cal my no to have it....kumbuka nei ni maelewao ya watu wawil...pia nakupa na kaspersky antvirus...1year lisense
 
Wesern digital Extenal hard disk 1 terabite inauzwa bei 220,000
0719373606
 
pia ipo toshiba i3,320gb hard disk,3gb ram...mpyaaa...cal my no to have it....kumbuka nei ni maelewao ya watu wawil...pia nakupa na kaspersky antvirus...1year lisense
kuna mtu anaitwa marty anatafuta i3
mcheki ufanye biashara( tangazo lake lipo humu humu)
 
Back
Top Bottom