PRO 90
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 270
- 512
Habari,
Kuna dogo wangu anazama chuo soon tu.
Sasa anahitaji laptop kwa ajili ya kusomea na kufanyia kazi zake, ikiwemo ku design vitu kama picha, pia anapenda editing video na mambo mengi ya namna.
Sasa nataka nimnunulie laptop itayoweza tumika kwa mambo hayo, bila kumpa shida.
Qn, laptop yenye specification zipi ni nzuri kwa hizo task? Ni wapi naweza pata ikiwa mpya na gharama zake? Naomba ushauri wa kitaalamu tafadhari Mwl.Ict n wengine