Mamaya JF-Expert Member Jul 4, 2011 4,798 3,733 Oct 23, 2012 #1 Wakuu heshima mbele,nahitaji laptop aina ya dell au hp iwe na hd ya kuanzia 80gb or 120 na kuendelea,hela iliyopo ni 300,000.
Wakuu heshima mbele,nahitaji laptop aina ya dell au hp iwe na hd ya kuanzia 80gb or 120 na kuendelea,hela iliyopo ni 300,000.
Mamaya JF-Expert Member Jul 4, 2011 4,798 3,733 Oct 23, 2012 Thread starter #2 Wakuu kimya? Hamna mwenye laptonga aliyoichoka anaisukuma kwa huo mkwanja?
Mamaya JF-Expert Member Jul 4, 2011 4,798 3,733 Oct 23, 2012 Thread starter #4 baba junior said: ongeza pesa. Click to expand... saidia maskini,hapo ndipo mkono ulipoishia.