Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,518
- 13,002
Bibi upo na huku..Ni "body language" siyo kama ulivyoandika.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Sisi shule tulienda kusomea kutafuta hela na sio lugha ya kingereza
Bibi upo na huku..Ni "body language" siyo kama ulivyoandika.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kwani mpaka Leo una kero Gani, mbona zote tumeshamaliza. Sema keto yako tuje usigeneralise kero zako ukazifanya ziwe za wote. Kama kero yake hujala toka asubuhi lakini wengine wanakula kila wakijisikia je?Hiyo lugha itadhihirika zaidi nyakati za uchaguzi 2025
Rais anao mawaziri wengi, ila kati ya hao, wengi hawamtaki ila kwa sababu ya desturina mila zetu za kiafrika, mtu hutakiwi kumpinga mkubwa wako hadharani, unachoruhusiwa ubakie na chuki zako moyoni
Mh Rais, anasukuma gurudumu lenye matopè mengi, na hivyo kufanya safari yake kusukuma grudumu la maendeleo kuwa ni kazi ngumu sana!
Huwezi kuwa na wizara karibu zote hazitatui kero za wananchi kama si mgomo ni nini?
Miongoni mwa wizara zote, kama mtanzania, ni wizara ipi angalau inafanya vema?
Wizara zisipofanya vema, tafsiri yake ni nini kama si kutoambatana na kila anaagiza mkuu wao?
2024 inapoanza, namshauri mama, iwapo angependa kubaki kiongozi wa kukumbukwa, afanyie marekebisho uongozi wake, ima aanze kufwatilia wizara moja hadi nyingine ili kuhakikisha viongozi wa mawizara wanamsaidia kweli
2024, ni heri akubali kulaumiwa na wachache ili wengi wapone,
Yeye Boss anajali hilo?Hiyo lugha itadhihirika zaidi nyakati za uchaguzi 2025

Shule za kata we unadhani kuna Elimu gani hukoo !!???Ni "body language" siyo kama ulivyoandika.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kusomea ujinga tu.Shule za kata we unadhani kuna Elimu gani hukoo !!???
Mkuu kuna kero kuu na sugu tatu - 3, ambazo ni maradhi, ujinga na umasikini.Hiyo lugha itadhihirika zaidi nyakati za uchaguzi 2025