Language body ya mawaziri wengi, wanapenda nafasi walizopo, ila hawamtaki kiongozi wao!

Kuna Wizara juzi imezindua Miongozo ya Elimu kwa wanafunzi wenye Mahitaji Maalum. Mpaka sasa hakuna update namna ya utekelezaji katika shule.
 
Hiyo lugha itadhihirika zaidi nyakati za uchaguzi 2025

Rais anao mawaziri wengi, ila kati ya hao, wengi hawamtaki ila kwa sababu ya desturina mila zetu za kiafrika, mtu hutakiwi kumpinga mkubwa wako hadharani, unachoruhusiwa ubakie na chuki zako moyoni

Mh Rais, anasukuma gurudumu lenye matopè mengi, na hivyo kufanya safari yake kusukuma grudumu la maendeleo kuwa ni kazi ngumu sana!

Huwezi kuwa na wizara karibu zote hazitatui kero za wananchi kama si mgomo ni nini?

Miongoni mwa wizara zote, kama mtanzania, ni wizara ipi angalau inafanya vema?

Wizara zisipofanya vema, tafsiri yake ni nini kama si kutoambatana na kila anaagiza mkuu wao?

2024 inapoanza, namshauri mama, iwapo angependa kubaki kiongozi wa kukumbukwa, afanyie marekebisho uongozi wake, ima aanze kufwatilia wizara moja hadi nyingine ili kuhakikisha viongozi wa mawizara wanamsaidia kweli

2024, ni heri akubali kulaumiwa na wachache ili wengi wapone,
Kwani mpaka Leo una kero Gani, mbona zote tumeshamaliza. Sema keto yako tuje usigeneralise kero zako ukazifanya ziwe za wote. Kama kero yake hujala toka asubuhi lakini wengine wanakula kila wakijisikia je?
 
Hiyo lugha itadhihirika zaidi nyakati za uchaguzi 2025

Rais anao mawaziri wengi, ila kati ya hao, wengi hawamtaki ila kwa sababu ya desturina mila zetu za kiafrika, mtu hutakiwi kumpinga mkubwa wako hadharani, unachoruhusiwa ubakie na chuki zako moyoni

Mh Rais, anasukuma gurudumu lenye matopè mengi, na hivyo kufanya safari yake kusukuma grudumu la maendeleo kuwa ni kazi ngumu sana!

Huwezi kuwa na wizara karibu zote hazitatui kero za wananchi kama si mgomo ni nini?

Miongoni mwa wizara zote, kama mtanzania, ni wizara ipi angalau inafanya vema?

Wizara zisipofanya vema, tafsiri yake ni nini kama si kutoambatana na kila anaagiza mkuu wao?

2024 inapoanza, namshauri mama, iwapo angependa kubaki kiongozi wa kukumbukwa, afanyie marekebisho uongozi wake, ima aanze kufwatilia wizara moja hadi nyingine ili kuhakikisha viongozi wa mawizara wanamsaidia kweli

2024, ni heri akubali kulaumiwa na wachache ili wengi wapone,
Yeye Boss anajali hilo?
 
Mkuu kuna kero kuu na sugu tatu - 3, ambazo ni maradhi, ujinga na umasikini.

Naomba ututajie Rais yupi na baraza lake la mawaziri lipii aliyeweza kutatua na kumaliza kabisa hizo kero tajwa katika kipindi chake kwa miongo sita sasa - 6.

Mkuu zingatia kuwa kwa miongo hiyo sita - 6 hakuna mabadiliko yoyote ya chama!
 
Back
Top Bottom