Language body ya mawaziri wengi, wanapenda nafasi walizopo, ila hawamtaki kiongozi wao!

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,956
4,146
Hiyo lugha itadhihirika zaidi nyakati za uchaguzi 2025

Rais anao mawaziri wengi, ila kati ya hao, wengi hawamtaki ila kwa sababu ya desturina mila zetu za kiafrika, mtu hutakiwi kumpinga mkubwa wako hadharani, unachoruhusiwa ubakie na chuki zako moyoni

Mh Rais, anasukuma gurudumu lenye matopè mengi, na hivyo kufanya safari yake kusukuma grudumu la maendeleo kuwa ni kazi ngumu sana!

Huwezi kuwa na wizara karibu zote hazitatui kero za wananchi kama si mgomo ni nini?

Miongoni mwa wizara zote, kama mtanzania, ni wizara ipi angalau inafanya vema?

Wizara zisipofanya vema, tafsiri yake ni nini kama si kutoambatana na kila anaagiza mkuu wao?

2024 inapoanza, namshauri mama, iwapo angependa kubaki kiongozi wa kukumbukwa, afanyie marekebisho uongozi wake, ima aanze kufwatilia wizara moja hadi nyingine ili kuhakikisha viongozi wa mawizara wanamsaidia kweli

2024, ni heri akubali kulaumiwa na wachache ili wengi wapone,
 
Ni "body language" siyo kama ulivyoandika.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Nasubiri haya mafataki yatolewe na JF moderators ili nije kusoma huu uzi,yanakera na kuziba content.
 
Hiyo lugha itadhihirika zaidi nyakati za uchaguzi 2025

Rais anao mawaziri wengi, ila kati ya hao, wengi hawamtaki ila kwa sababu ya desturina mila zetu za kiafrika, mtu hutakiwi kumpinga mkubwa wako hadharani, unachoruhusiwa ubakie na chuki zako moyoni

Mh Rais, anasukuma gurudumu lenye matopè mengi, na hivyo kufanya safari yake kusukuma grudumu la maendeleo kuwa ni kazi ngumu sana!

Huwezi kuwa na wizara karibu zote hazitatui kero za wananchi kama si mgomo ni nini?

Miongoni mwa wizara zote, kama mtanzania, ni wizara ipi angalau inafanya vema?

Wizara zisipofanya vema, tafsiri yake ni nini kama si kutoambatana na kila anaagiza mkuu wao?

2024 inapoanza, namshauri mama, iwapo angependa kubaki kiongozi wa kukumbukwa, afanyie marekebisho uongozi wake, ima aanze kufwatilia wizara moja hadi nyingine ili kuhakikisha viongozi wa mawizara wanamsaidia kweli

2024, ni heri akubali kulaumiwa na wachache ili wengi wapone,
Anayeongoza mawaziri ni dhaifu sana, ndio hayo matokeo unayoyaona
 
Hili siyo likiongozi la kuombea liendelee madarakani.nikuliombea litoke kwa fedheha
 
Hujiona kabisa kuwa we ni mpumbavu? Kinyago cha mpampure km wewe unajihangaisha na rais wa nchi? Tena nchi kubwa inayoheshimika km Tanzania. Ur just rubbish. Hilo genge lenu la kisukuma mtahangaika hamtafanikiwa lolote sanasana mtaharakisha kumfuata mshamba mwenzenu. Bwege kweli.
 
Mshamba + limbukeni
 
Na wewe k.... la mamako kila akipingwa huyo mamako ni wasukuma. Kwani huyo mama aliupata urais Kwa kugombea na Msukuma Gani akamshinda?
 
Hujiona kabisa kuwa we ni mpumbavu? Kinyago cha mpampure km wewe unajihangaisha na rais wa nchi? Tena nchi kubwa inayoheshimika km Tanzania. Ur just rubbish. Hilo genge lenu la kisukuma mtahangaika hamtafanikiwa lolote sanasana mtaharakisha kumfuata mshamba mwenzenu. Bwege kweli.
Kwamba wasukuma wataharakishwa kumfuata mshamba mwenzao..? Hapo sjakuelewa aisee
 
Back
Top Bottom