Landrover 110 for sale

Gari hiyo ni gari ya kazi haswa. . . .ila watu badala ya kuuliza kama ilifanyiwa overhaul, gear box uzima wake, pump, diff na mengineyo mnauliza roof????!!!

Wanunuzi watakuja
 
Hizi ni zile zilizokua za research naliendele,zililua mpya nikiwa na miaka 6 now im 30.
 
wacha kukatisha tamaa wenzio wanaotaka kununua kama huna hela kaa kimya ,imeibiwa msumbiji umethibitisha? au unalopoka tuu na wewe uonekane umecoment

Be transparent! Au unataka kuuzia watu Mbuzi kwenye gunia!
 
Toa detail zaidi broo ... Hii inafaa sana kule milima ya upareni na nazikubali sana maana kwa Moshi spea zake ni nyingi na rahis sana.
 
Bukoba boy sio kila mzungu ni padre nikiwa na maana kuwa sio kila landrover 110 iliyoko Mtwara imetoka naliendele. Hii gari niliinunua University of Dar es Salaam wakati huo.
 
Habarini za jioni wadau. Nashukuru kwa wale mlioonesha nia ya kutaka kununua gari yangu niliyotangaza kuiuza na pia nawashukuru wale wote waliokuwa wanatoa comment za kejeli. Kwa sasa imekodiwa hivyo haiuzwi tena. Na kwa alieuliza ni cc ngapi ina cc 2394.
 
Back
Top Bottom