Poleni na majukumu wadau. Ninauza gari yangu Landrover 110 station wagon, diesel engine, inatembea ila inadaiwa kwa miaka mitatu kiasi cha tsh 930,000/= Bei ni tsh 5,000,000/= Gari ipo Mtwara na inauzwa kama ilivyo. Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane.

tunaojua magari hiyo ndio yenyewe najua ina miaka si chini ya 20 lakini kwa bei hiyo ni sawa kabisa hiyo defender matata sana ,ngoja nikipata hela kama bado ipo ntakutafuta
Hilo dari likoje wakati wa masika?
Poleni na majukumu wadau. Ninauza gari yangu Landrover 110 station wagon, diesel engine, inatembea ila inadaiwa kwa miaka mitatu kiasi cha tsh 930,000/= Bei ni tsh 5,000,000/= Gari ipo Mtwara na inauzwa kama ilivyo. Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane.
Maneno haya yana ukakasi;
1. Dancing floor vs Dance floor
2.plate number vs number plate!?? Kipi ni sahihi:what:¿
Msala; mpaka imefichwa namba; imekwapuliwa msumbiji hii; hatudanganyikiiii!