Landcruiser V8 au Hammer!!.

Sheikh vipi? Landcruiser v8 aina gani na hiyo hummer aina gani weka spec zako vizuri...............
 
Lazima ujue kampuni ya hammer imeuzwa kwa Tata ya India hivyo quality siyo kama ya zamani!!
 
Sheikh vipi? Landcruiser v8 aina gani na hiyo hummer aina gani weka spec zako vizuri...............

Spec gani unaongea tena mjomba. Mi nataka kujua ipi inafaa kwa masafa, na haisumbuisumbui.
 
kwa hammer? sijui lakini V8 ni bomba sana. ziko stable , comfortable na unywaji wa mafuta ni mzuri kwa GX V8. sijui kwa VX V8 unywaji mafuta wake ukoje ila nasikia ni more comfortable:juggle::juggle:
 
Inategemea unataka kufanyia nini. Kama ni kujifurahisha tu nunua Hammer (Kwanza ningekushahuri uangalie Land Rovers), ila kama ni kwa ajili ya kazi au masafari kwenye mud roads, Landcruiser mambo yote!
Mi naendesha bicycle kupunguza carbon footprint lakini...
 
Tokeni hapa kama levo zako ni hizo si hata marafiki zako madon pia au wafanyakazi/biashara wenzako si waombe ushauri we kuwa ndotoni mchana.
 
Chukua Hammer, specifically, Hummer H2.
V8 za vibopa wa serikalini hizo hazina dili. Au kama mshiko unaruhusu chukua Evoque (Vogue mpya zilizotoka)


Il Gambino.
 
Tokeni hapa kama levo zako ni hizo si hata marafiki zako madon pia au wafanyakazi/biashara wenzako si waombe ushauri we kuwa ndotoni mchana.
Aaaah aaah kuwa tajiri sio dhambi...........sio wote tuliopo JF tupo sawa kimaisha.
 
Ipi safi hapo, anayezielewa vizuri. Nataka kununua.

Mfanye GOOGLE rafiki. Kuna forums zenye watumiaji wazuri wa haya magari, acha hizi longolongo za watu wasiokuwa na haya magari.
 
Chukua Hammer, specifically, Hummer H2.
V8 za vibopa wa serikalini hizo hazina dili. Au kama mshiko unaruhusu chukua Evoque (Vogue mpya zilizotoka)


Il Gambino.

Kama hii? Mbona sasa wanaiga BMW X-series, Nyundai, Kia, Harrieer, rav 4, Suzuki na zinginezo?
Mimi nadhani wangeendelea na style yaso hilehile ilikuwa bomba!

range_rover_evoque_2012_5.jpg
Land-Rover-Range-Rover-Evoque-2011-widescreen-06.jpg
 
Kama hii? Mbona sasa wanaiga BMW X-series, Nyundai, Kia, Harrieer, rav 4, Suzuki na zinginezo?
Mimi nadhani wangeendelea na style yaso hilehile ilikuwa bomba!

range_rover_evoque_2012_5.jpg
/QUOTE]



Ni Kweli mkuu, ila chata lake bado liko juu, kulinganisha na Hyundai/kia/harrier/rav4/suzuki




Il Gambino
 
Nafikiri V8 ni nzuri coz hata upatikanaji wa spares ni rahisi kuliko ukinunua hummer spare zake ni ngumu halafu bei iko juu.
All the best mkuu
 
chukua v8 mkuu ...kwa safari ndefu hata mjini poa tuu .spare zipo kama walivyosema wadau juu ....wese linakula vizuri ....alafu ukifunga na tanki la gesi pale chuo kikuu mchezo umekwisha unakula maisha ....
 
huyu mchizi pengine hata bodaboda hana yupo ndotoni kuendesha hammer, 20% alisema achana na ndoto za kujenga ghorofa angani. we mtu unashindia ugali wa kurumangia unaota v8/hammer!!!!!!!!!!! ao mzee wa upako kawaambia mchague maana siku hizi kaanza mchezo wa kuwaambia shika funguo endesha gari, mnaishia kugongana vichwa kanisasni
 
Nenda kwa wauzaji wa hayo magari na watakuambia sifa zake,hapo utapata jibu la gari gani ununue,hapa unapata sifa tu bila kujua mambo muhimu ambayo ndiyo unayoyataka.
Mimi sikupi hongera ila nakupa tahadhari ya kuwa ukinunua kati ya hayo magari ina maana umekaribisha majambazi ambao watajua una mshiko wa kutosha hivyo jiandae na uwe makini.
 
Back
Top Bottom