Kwanini wafanyakazi wa wilaya wanapewa V8

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,609
8,753
Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Yaani mfanyakazi wa wilaya ndogo kuna sababu gani ya kupewa V8 ya kutumia wilayani? Wilaya yenye lami kweli inahitaji gari kubwa la juu tena V8 engine? Wilaya hiyo hiyo haina ambulance za kutosha?! Wakati wangeweza kununua gari la kawaida na ambulance hata mbili!
 
We unajuwa tabu wanazopitia katika kutuhudimia?
Acheni Viongozi wetu wafanye kazi wanajitoa sana kutuletea maendeleo.
 
Mama alisema wale kwa uwezo wao,wale mpaka wavimbiwe.
10 tamu
 
We unajuwa tabu wanazopitia katika kutuhudimia?
Acheni Viongozi wetu wafanye kazi wanajitoa sana kutuletea maendeleo.
Unakuta Jengo na Fenicha zote za ndani na nje hazifikii thamani ya Land Cruiser moja.
 
Mpaka kuwepo na muongozo maalumu, utakaoeleza nafasi hizi n.k zitatumia magari aina fulani; ila kwa kutegemea utashi tu wa mtu, kila mmoja atajipendelea tu.
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Yaani mfanyakazi wa wilaya ndogo kuna sababu gani ya kupewa V8 ya kutumia wilayani? Wilaya yenye lami kweli inahitaji gari kubwa la juu tena V8 engine? Wilaya hiyo hiyo haina ambulance za kutosha?! Wakati wangeweza kununua gari la kawaida na ambulance hata mbili!
Tatizo siasa imepewa kipaumbele kuliko chochote kile.
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Yaani mfanyakazi wa wilaya ndogo kuna sababu gani ya kupewa V8 ya kutumia wilayani? Wilaya yenye lami kweli inahitaji gari kubwa la juu tena V8 engine? Wilaya hiyo hiyo haina ambulance za kutosha?! Wakati wangeweza kununua gari la kawaida na ambulance hata mbili!
Jamaa wanajipendelea wao tu kwani kuna haja gani ya mbunge kupewa 300M baada ya miaka 5!!?

Wananchi tuamke tuidai Nchi yetu
 
Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Yaani mfanyakazi wa wilaya ndogo kuna sababu gani ya kupewa V8 ya kutumia wilayani? Wilaya yenye lami kweli inahitaji gari kubwa la juu tena V8 engine? Wilaya hiyo hiyo haina ambulance za kutosha?! Wakati wangeweza kununua gari la kawaida na ambulance hata mbili!
Ni ufujaji tu wanafanya kwa kuwa Katiba chakavu iliyopo haiwapi wananchi sauti.

Hata kama kuna ubovu wa barabara, gari kama Toyota Hilux 4WD ingekidhi
 
Back
Top Bottom