Elections 2010 Lala salama Igunga: Mgombea wa CUF azipiga kavukavu na wanavijiji

Kipindi hiki cha lala salama huyu mgombea hakutakiwa kuonyesha upande wake mwingine. Huyu akiingia bungeni ataweza kung'uta hata microphone as long as iko mbele yake kwa hasira tu.
Mkuu huyu mgombea inawezekana ana damu ya Tyson yule wa chama cha magamba ambaye unatumia picha yake kwenye avatar yako.
 
Atakuwa ameshauriwa na mbumbumbu mwinzie Mtatiro...! vilaza wote
 
Leo katika mkutano wa kampeni za lala salama za CUF mgombea ubunge wa chama hicho Lepold Mahona alizipiga kavukavu kavu kavu dhidi ya polisi na baadhi ya wanavijiji na ailzuiwa kuendelea na askari wa FFU waliokuwapo.


Kisa ni kwamba CUF waliingilia eneo la shule ya Msingi Nandekwa kutaka kufanya mkutano, huku eneo hilo lilikuwa limepangiwa CDM kufuatana na ratiba. Katika mabishano makali polisi iwalisisitiza CUF waliachilie eneo, ndipo Mahona akaja juu akidai alitukanwa vibaya na wafuasi wa CDM.

Alianza kurusha makonde kwa kila mtu aliyekuwa mbele yake lakini baadaye alidhibitiwa na FFU kama saba wenye virungu pamoja na viongozi wa chama hicho hadi ndani ya helikopta iliyokuwa ikiwasubiri.

attachment.php




View attachment 38183

Nikiwa mzaliwa wa Igunga napenda kusahihisha kuwa hakuna kijiji au shule ya msingi Nandekwa wilayani humu ila kuna kijiji na shule ya msingi Nyandekwa.
 
Jamani na yule jamaa pale nyuma na tshit nyekundu si mtatiro? mbona hamzuii mgombea asivunje sheria za jamuhuri??
 
Funga kazi bwana, kha bosi ni mbabe. Anatwanga wapiga kura wake!!
 
Mahona kawachapa viongozi wa cdm na mkutano ukaendelea kama kawa, mkutano wa cdm ndio uliovunjika.
Muhammed Saeed al-Sahaf quotes,
"Our great leader Saddam stands strong and proudly defiant"
"Americans are surrounded are going to surrender or be burned in their tanks"
 
yaani hata yale matamko ya mashehe yameshindwa kuki boost hiki chama! Picha inanikumbushia enzi zile Tyson alipomng'ata Evander baada ya kuona ameshagaragazwa!
 
Halafu Jussa Ismail mwenye kofia kwa hapo nyuma naye anaangalia tu...kweli CUF mnatia aibu
 
Mkigoma, CUF ngangari mko wapiiiiii?

Hivi mtu akileta fujo akakamatwa na askari anapelekwa kwenye helkopta au kwenye defender ya polisi?
 
Mahona kawachapa viongozi wa cdm na mkutano ukaendelea kama kawa, mkutano wa cdm ndio uliovunjika.

hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa................
tehe teheteheeteheeeeeeeeeee..................

aibuuuuuuuuuuuuuuu............

bora tu upotee huku jamvini

tehe tehe tehe...

nakuona hapo kwenye picha unafuata kwa nyuma huku unamwangalia mpiga picha aliyeko pembeni kwa uchungu kweli...

mmelisanua, mtalinywa....
 
Kuna jamaa yangu ananiambia LEPOLD MAHONA alisoma naye pale UMOJA SEC PALE NSIMBO(IGUNGA) INASEMEKANA JAMAA ALIKUWA MTU WA NGUMI MKONONI!!!!
 
...wazee wa "matamko" mpoo?...angalieni vizuri hizo picha za huo ugomvi,hakuna aliyevuliwa hijabu au kofia kweli?,ebu waiteni waandishi wa habari mtoe tanko lolote coz mi nimeya-miss sana mtamko yenu ktk hizi siku mbili tatu!...
 
Haki ya kweli CUF kindege kimewanyea dakika za majeruhi hivi bila hata kuwepo na nafasi nyingine ya kusawazisha makosa!

Bora tumemtambua mapema alivyo hovyo huyu kijana mgombea wa CUF - kwishni kabisa kazi; kipande cha wembe kajinywesha mwenyewe kwa hasira za kishamba.

Sipati picha jinsi atakavyoadbishwa na wapiga kura Igunga hapo kesho.[


...wazee wa "matamko" mpoo?...angalieni vizuri hizo picha za huo ugomvi,hakuna aliyevuliwa hijabu au kofia kweli?,ebu waiteni waandishi wa habari mtoe tanko lolote coz mi nimeya-miss sana mtamko yenu ktk hizi siku mbili tatu!...
 
Back
Top Bottom