Lakini nimegundua......

Very good Marytina,

Exactly kwamba wanachelewa kupata wenza...mi ninawezaje basi kumjua kwamba huyu ni mhafidhina au liberal kwa mara ya kwanza tu? Na ukumbuke huenda nia yangu ni long term tufunge ndoa tupate watoto sasa akizungusha zungusha ndo bahati inapotea ivo!
anza kwa gia ya kuwa mtani mtani kisha mgeuze rafiki wa kawaida hapo ndipo utapomsoma kuwa ni liberal au mhafidhina, then from there najua utasonga tuu tena kwa urahisi as far as ulishamjua.
 
Hahaha tatizo hommie kazoea "one night stand" sasa kakutana na"six months stand" kakosa mbinu! Uzee nao tabu!

Kuna jamaa mbishi sana (wakati uleeeeee tukiwa matinija wa vyuoni).....'alicheleweshewa' wiki moja, basi akaapa kwamba ashapotezewa wiki nzima, kwa hiyo lazima apate....ikaenda hadi mwezi, jamaa kaapa mwezi wake haukupotea bure.....kaendelea ikawa mwaka, sasa yule mtongozwa akawa na uhakika kwamba amepata mme bora.....kamtunuku....jamaa kasepa.....so was 1 year stand...
 
hahahah....hii naichululia kama mbinu thanks Marytina for sharing this......tatizo siye tulishamalizaga kazi kwa wanaoanza.....
 
Kuna jamaa mbishi sana (wakati uleeeeee tukiwa matinija wa vyuoni).....'alicheleweshewa' wiki moja, basi akaapa kwamba ashapotezewa wiki nzima, kwa hiyo lazima apate....ikaenda hadi mwezi, jamaa kaapa mwezi wake haukupotea bure.....kaendelea ikawa mwaka, sasa yule mtongozwa akawa na uhakika kwamba amepata mme bora.....kamtunuku....jamaa kasepa.....so was 1 year stand...

see what am talking about hommie

yaani kwa upande wa wanaume, wakati mwingine unapoact kwamba 'ngoja nimsubirishe' ndo na yeye anajiapiza siku 'akikumata' anasepa mazima.....

labda niulize kama kuna reasonable time ya 'kumsubirisha' mtu? LOL
 
Simjibii mjukuu hommie lakini hapo kwenye bold:

Kuna tofauti kubwa sana ya kumtongoza na kukubaliwa na mwanamke wa miaka 35 ukilinganisha na wa miaka 18...
Kwangu mie wa miaka 35 hana longolongo nyiiingi kama wa miaka 18.
Yes... kuna uhusiano mkubwa sana wa mtongozo na umri.
Sijafanya research thou! Kwahiyo sitegemei maswali.

unadhani kwa nini kwenye 35 hakuna longo longo hommie? (sio swali hili nadhani)
 
hahahahahah....... dah!!:msela::msela:
*He He He* :dance::dance::dance:
Hahaha tatizo hommie kazoea "one night stand" sasa kakutana na"six months stand" kakosa mbinu! Uzee nao tabu!

---Kaizer kwa kweli I would love to know kile kilichokuwa akilini kwako while u were posting this.......but I wont ask!!
--Guyz u are being soo unfair to women, coz no matter what they try to do and please u bado mtatafuta sababu na majina mengine kibao,

--Hilo suala la kwamba ukichelewa kukubali sijui ndio unachelewa kupata mwenza and blah blah blah....mimi sikubaliani nalo hata kidogo, kwa maana kabla hujamkubali mtu ni lazima ujue unamkubali mtu wa aina gani, and the level of understanding and sharpness vinatofautiana kwa kila mtu.

kama mtu imemchukua miezi sita basi that was what it took for her to know/understand that person better, na kwanza mkumbuke hapo kuwa mkiwa katika mikakati ya kutongoza huwa mnaenda mkiwa tofauti kabisa - pretense inazidi, but at the same time hakuna mtu anayeweza kujificha from their true personalities-so its like u are fighting against two personalities at the same time-and u would still complain mtu akichukua miezi sita??

--Give the ladies a break please....mnataka fasta basi na nyie hakikisheni u make the job easier!! go there ukiwa yourself ili mtu hata akifanya decision over night ajue what she is going to face, sio unaenda na sura mbili.....hadi aanze kui-uncover hiyo nyingine saa ngapi....?

Am just saying.......:msela:
 
Kaizer,

Kwa umri huu na mengi niliyoyaona, nimeshindwa kujua kilichokusibu hadi ukaleta hili shauri barazani.

Ngoja kwanza nitafute ugoro kidogo labda nitawaelewa wachangiaji wengine?

Hivi tangu lini zimetungwa sheria na kanuni za kutongozana, kukubaliana, kupeana na hata kunyimana?

Babu DC!
 
Smiles..... make the job easier...
No way......:nono::nono::lalala::lalala:

Kaizer,

Kwa umri huu na mengi niliyoyaona, nimeshindwa kujua kilichokusibu hadi ukaleta hili shauri barazani.

Ngoja kwanza nitafute ugoro kidogo labda nitawaelewa wachangiaji wengine?

Hivi tangu lini zimetungwa sheria na kanuni za kutongozana, kukubaliana, kupeana na hata kunyimana?

Babu DC!

Babu in bold hapo hata mimi hapana elewa kwa kweli......
 
No way......:nono::nono::lalala::lalala:

Babu in bold hapo hata mimi hapana elewa kwa kweli.....
.

Ndo maana mimi ni mpenzi wa organic products, ambazo hazichakachuliwa kwa mbolea wala viuatilifu!! Niko tayari kulipa kiasi chochote hata ikinichukua miaka 10 kukitafuta, ...endapo sitamaliza life span yangu kabla ya kukipata.

Kwa nini watu wanapenda voda fasta na fasta fasta nyingine?
 
hahahahahah....... dah!!:msela::msela:
*He He He* :dance::dance::dance:

---Kaizer kwa kweli I would love to know kile kilichokuwa akilini kwako while u were posting this.......but I wont ask!!
--Guyz u are being soo unfair to women, coz no matter what they try to do and please u bado mtatafuta sababu na majina mengine kibao,

--Hilo suala la kwamba ukichelewa kukubali sijui ndio unachelewa kupata mwenza and blah blah blah....mimi sikubaliani nalo hata kidogo, kwa maana kabla hujamkubali mtu ni lazima ujue unamkubali mtu wa aina gani, and the level of understanding and sharpness vinatofautiana kwa kila mtu.

kama mtu imemchukua miezi sita basi that was what it took for her to know/understand that person better, na kwanza mkumbuke hapo kuwa mkiwa katika mikakati ya kutongoza huwa mnaenda mkiwa tofauti kabisa - pretense inazidi, but at the same time hakuna mtu anayeweza kujificha from their true personalities-so its like u are fighting against two personalities at the same time-and u would still complain mtu akichukua miezi sita??

--Give the ladies a break please....mnataka fasta basi na nyie hakikisheni u make the job easier!! go there ukiwa yourself ili mtu hata akifanya decision over night ajue what she is going to face, sio unaenda na sura mbili.....hadi aanze kui-uncover hiyo nyingine saa ngapi....?

Am just saying.......:msela:
Now Smiles I understand why you were so quiet this afternoon................Very well said mydia.

However hapo kwenye msisitizo.......I just wish ladies tungekuwa na uwezo wa kupafanyia kazi............coz most of us we tend to ignore this very important chance..so unaezakuta mtu anamsubirisha mwanaume (nikitumia kiswahili cha Kaizer) for ages ..........na bado hamchunguzi wala hajitahidi kumfahamu bali anakuwa anaona tu raha ya kufuatwa fuatwa .

Lakini hebu Kaizer tweleze 'kusubirisha' ana maanisha nini?? Ile ya baada ya kutamka matakwa anaambiwa tuwe marafiki wa kawaida kwanza au ile ya kuambiwa 'nipe muda wa kufikiria kwanza' and no more meetings?? Kwa sababu zote zina impact tofauti kwa kuwa kama umeambiwa lets be friends kwanza nadhani kwa binti serious anaweza akawa anamaanisha naye anakufeel na anataka kuitumia chance ya kuwa friends kwanza kama njia ya kukufahamu vizuri..... tofauti na yule anayeomba umpe muda wa kutafakari na kufikiria kisha msionane sasa sijui huyo kinachomfikirisha ni nini au anakwenda kuconsult watu??
 
Mpwa unajua kutongoza ni sanaa?
Huyo anae zungusha kwa miezi 6 kwa jamaa anaweza kubali kwa siki tu
 
I seeee

haya bana lakini mimi sioni sababu ya wababa kulalamika wanasubirishwa. Hapo juu umesema nanukuu (hivi lengo la mwanaume yeyote si linafahamikaga?) sasa kwa lengo lako hilo voda fasta si wapo wamejaa tele jamani unaenda unachukua mmoja unamaliza shida yako then maisha yanaendelea kwa nini uende kwa anaekuzungusha wakati shida yako inaeleweka. Mtu anakufuata lengo lake ni kumega alafu asepe sa tutawamegesha wangapi? jaribuni kutuelewa kaka zangu wenzenu maumbile yanapoteza ladha tukimegeshamegesha hovyo punguzeni tamaa (samahani kama nitakua nimemkwaza mtu)
 
Now Smiles I understand why you were so quiet this afternoon................Very well said mydia.

However hapo kwenye msisitizo.......I just wish ladies tungekuwa na uwezo wa kupafanyia kazi............coz most of us we tend to ignore this very important chance..so unaezakuta mtu anamsubirisha mwanaume (nikitumia kiswahili cha Kaizer) for ages ..........na bado hamchunguzi wala hajitahidi kumfahamu bali anakuwa anaona tu raha ya kufuatwa fuatwa .

MJ1..you have said it all...thats exactly my point hahahahah...yaani, mtu ana take it for granted...

Mi nimeyaona haya sana

Kuna jamaa mmoja, ninaishi karibu naye, yuko vizuri kabisa, kuna kabinti kakazimikia kiukweli ukweli...binti anadai naye huyo ni 'mpenzi' wake BUT at the end of the day, wanaishia kukwaruzana...my analysis ni kwamba binti anapenda zaidi ile 'kumsubirisha' na huku anapenda kuhang naye out as if ni wapenzi, sasa hili linamletea jamaa matatizo at the same time hawezi kujinasua, yaani wakigombana usiku asubuhi utawakuta kwenye chai pamoja (sijui limbwata?)

Lakini hebu Kaizer tweleze 'kusubirisha' ana maanisha nini?? Ile ya baada ya kutamka matakwa anaambiwa tuwe marafiki wa kawaida kwanza au ile ya kuambiwa 'nipe muda wa kufikiria kwanza' and no more meetings?? Kwa sababu zote zina impact tofauti kwa kuwa kama umeambiwa lets be friends kwanza nadhani kwa binti serious anaweza akawa anamaanisha naye anakufeel na anataka kuitumia chance ya kuwa friends kwanza kama njia ya kukufahamu vizuri..... tofauti na yule anayeomba umpe muda wa kutafakari na kufikiria kisha msionane sasa sijui huyo kinachomfikirisha ni nini au anakwenda kuconsult watu??

MJ1, asante pia kwa kunielewa context hapo...maana yangu ni kwamba, hata kama umeshamwambia matakwa yako, anaweza kukusubirisha ile ya kuwa 'tuwe marafiki'...but for how long...na kumbuka wakati mdada anadhani ni 'urafiki', jamaa anafikiria kwamba ni 'mpenzi' wake...so conflicting personalities hapo according to baby Smiles....

Hapo kwenye bold...mnakuwa mnaonana sana tu ile ndo ivo anajifanya kwamba 'bado ninaconsult'... na huku mnameet, mnachat and the like.....LOL

Ndo maana nikasema labda huenda kunakuwa na barrier ya culture na malezi kwenye kufanya uamuzi?
 
Kaizer,

Kwa umri huu na mengi niliyoyaona, nimeshindwa kujua kilichokusibu hadi ukaleta hili shauri barazani.

Ngoja kwanza nitafute ugoro kidogo labda nitawaelewa wachangiaji wengine?

Hivi tangu lini zimetungwa sheria na kanuni za kutongozana, kukubaliana, kupeana na hata kunyimana?

Babu DC!

haha Kiongozi....habari yake Babu DC bana

This is just my observations, also kwa umri wangu huu ulivoenda japo sikufikii hahaha..nothing personal ila nimeyaona sana tu kwa marafiki zangu na yanatokea sana

In fact hakuna sheria ama kanuni per se....lakini experiences zinaonionyesha hivyo, kuna hayo makundi makuu mawili na nadhani yote yanakuwa na matokeo tofauti at the end of the day
 
hahahahahah....... dah!!:msela::msela:
*He He He* :dance::dance::dance:

---Kaizer kwa kweli I would love to know kile kilichokuwa akilini kwako while u were posting this.......but I wont ask!!

Good......:coffee::coffee: nothing personal luv

--Hilo suala la kwamba ukichelewa kukubali sijui ndio unachelewa kupata mwenza and blah blah blah....mimi sikubaliani nalo hata kidogo, kwa maana kabla hujamkubali mtu ni lazima ujue unamkubali mtu wa aina gani, and the level of understanding and sharpness vinatofautiana kwa kila mtu.

hahahah...u see......scrutiny....ila hapo kwenye uelewa wa tofauti, nakubaliana na wewe...which means kwamba wengine wanakuwaga hawaelewi mapema, ila kuna wengina wanaelewa ila wanajifanya kwamba hawajaelewa.....

kama mtu imemchukua miezi sita basi that was what it took for her to know/understand that person better, na kwanza mkumbuke hapo kuwa mkiwa katika mikakati ya kutongoza huwa mnaenda mkiwa tofauti kabisa - pretense inazidi, but at the same time hakuna mtu anayeweza kujificha from their true personalities-so its like u are fighting against two personalities at the same time-and u would still complain mtu akichukua miezi sita??

Exactly, and thats my observation..not that the 'personality' will change...no..am just saying that in the course of establishing a relationship, these two personalities emerge...from different persons..and I just baptized them liberals and conservatives....so issue ya miezi sita ama mwaka....hapo inakuwa haina uzito...

--Give the ladies a break please....mnataka fasta basi na nyie hakikisheni u make the job easier!! go there ukiwa yourself ili mtu hata akifanya decision over night ajue what she is going to face, sio unaenda na sura mbili.....hadi aanze kui-uncover hiyo nyingine saa ngapi....?

LOL.......Smiles....hold on....we make the job easier...just for you to make it even more difficult...but it depends....

Am just saying.......:msela:

say it again please, you are welcome:hug:
 
Kwahiyo Bob Kaizer wewe unataka ukiomba tu upewe hapo hapo, aisee hata kazi kuna kushoti listi, interview, probesheni and the like
 
Mpwa unajua kutongoza ni sanaa?
Huyo anae zungusha kwa miezi 6 kwa jamaa anaweza kubali kwa siki tu

Kweli mpwa....ila malengo si yanakuwa tofauti hapo ama inakuwaje....dah
 
Kwahiyo Bob Kaizer wewe unataka ukiomba tu upewe hapo hapo, aisee hata kazi kuna kushoti listi, interview, probesheni and the like

hahaa not exactly...hata kwenye kazi ujue ukiona kama shortlisting tu inachukua mwaka, si unatafuta kazi nyengine la sivyo, utakufa kwa njaa...worst still, ujuzi wako ambao ungewafaidi hao jamaa unakuwa 'umepotea'....in short wanakuwa wamekukosa

Ndo maana kwa mashirika serious, ukiapply kazi within two weeks kimeeleweka interview, two weeks nyengine uko kazini

wengine wiki moja mchakato umeisha hasa kama una 'rare profession'

habari yake GY bana...TGIF
 
Back
Top Bottom