Lakini nimegundua......

hahaa not exactly...hata kwenye kazi ujue ukiona kama shortlisting tu inachukua mwaka, si unatafuta kazi nyengine la sivyo, utakufa kwa njaa...worst still, ujuzi wako ambao ungewafaidi hao jamaa unakuwa 'umepotea'....in short wanakuwa wamekukosa

Ndo maana kwa mashirika serious, ukiapply kazi within two weeks kimeeleweka interview, two weeks nyengine uko kazini

wengine wiki moja mchakato umeisha hasa kama una 'rare profession'

habari yake GY bana...TGIF

tatizo mashirika mengine yanapendwa na watu, soo maombi yanakuwa mengi sana....sasa hebu fikiria mfano TRA wanatangaza nafasi moja tuu, halafu maombi yanakuja elfu moja na wote mna sifa, si inabidi mchakato uwe mrefu....halafu kumbuka wakati wewe ukiwa unasubiri, kawaida hua wanakuwa wanapitia maombi ya wengine pia, ni ngumu kwakweli kupata mfanyakazi bora kuliko kutafuta kazi
 
I seeee

haya bana lakini mimi sioni sababu ya wababa kulalamika wanasubirishwa. Hapo juu umesema nanukuu (hivi lengo la mwanaume yeyote si linafahamikaga?) sasa kwa lengo lako hilo voda fasta si wapo wamejaa tele jamani unaenda unachukua mmoja unamaliza shida yako then maisha yanaendelea kwa nini uende kwa anaekuzungusha wakati shida yako inaeleweka. Mtu anakufuata lengo lake ni kumega alafu asepe sa tutawamegesha wangapi? jaribuni kutuelewa kaka zangu wenzenu maumbile yanapoteza ladha tukimegeshamegesha hovyo punguzeni tamaa (samahani kama nitakua nimemkwaza mtu)

this is quite new...LOL

Maty.....lengo sio kumega fasta fasta always...
 
Now Smiles I understand why you were so quiet this afternoon................Very well said mydia.

However hapo kwenye msisitizo.......I just wish ladies tungekuwa na uwezo wa kupafanyia kazi............coz most of us we tend to ignore this very important chance..so unaezakuta mtu anamsubirisha mwanaume (nikitumia kiswahili cha Kaizer) for ages ..........na bado hamchunguzi wala hajitahidi kumfahamu bali anakuwa anaona tu raha ya kufuatwa fuatwa .

Lakini hebu Kaizer tweleze 'kusubirisha' ana maanisha nini?? Ile ya baada ya kutamka matakwa anaambiwa tuwe marafiki wa kawaida kwanza au ile ya kuambiwa 'nipe muda wa kufikiria kwanza' and no more meetings?? Kwa sababu zote zina impact tofauti kwa kuwa kama umeambiwa lets be friends kwanza nadhani kwa binti serious anaweza akawa anamaanisha naye anakufeel na anataka kuitumia chance ya kuwa friends kwanza kama njia ya kukufahamu vizuri..... tofauti na yule anayeomba umpe muda wa kutafakari na kufikiria kisha msionane sasa sijui huyo kinachomfikirisha ni nini au anakwenda kuconsult watu??

My dear....
hapo kwenye bold-mtu wa namna hiyo probably hajazoea kufatwa fatwa....so the only chance they get wanahakikisha anakupeleka hadi mwenye kufata nae anakereka! but katika mazingira yale - ukigeuka huku kakusemesha huyu - hajamaliza mwingine ameshakufata nyuma....hivi kweli mtu utataka msururu wa watu kupotezeana muda kila siku.....mmh! am just thinking......

Good......:coffee::coffee: nothing personal luv

Goood.....:becky::becky:
 
I seeee

haya bana lakini mimi sioni sababu ya wababa kulalamika wanasubirishwa. Hapo juu umesema nanukuu (hivi lengo la mwanaume yeyote si linafahamikaga?) sasa kwa lengo lako hilo voda fasta si wapo wamejaa tele jamani unaenda unachukua mmoja unamaliza shida yako then maisha yanaendelea kwa nini uende kwa anaekuzungusha wakati shida yako inaeleweka. Mtu anakufuata lengo lake ni kumega alafu asepe sa tutawamegesha wangapi? jaribuni kutuelewa kaka zangu wenzenu maumbile yanapoteza ladha tukimegeshamegesha hovyo punguzeni tamaa (samahani kama nitakua nimemkwaza mtu)

Kweli mjukuu wangu Maty,

Kitu chako cha thamani kubwa lazima ukilinde kwa gharama yoyote. Huwezi kukiweka rehani kimzaha mzaha.

.....Ila nimekumiss wewe...hata sijielewi!
 
this is quite new...LOL

Maty.....lengo sio kumega fasta fasta always...

Umeongoka lini Kaizer?

Kama ni hivyo mitaa ya Ohio na Clubs mashuhuri kama Joly zingeshafungwa siku nyingi!!

A real and wild man has got no more than 5 minutes to waste. Labda kama wewe ni masalia!
 
Kweli mjukuu wangu Maty,

Kitu chako cha thamani kubwa lazima ukilinde kwa gharama yoyote. Huwezi kukiweka rehani kimzaha mzaha.

.....Ila nimekumiss wewe...hata sijielewi!

umeona eee babu, nipo mpenzi tunasukumana sukumana na maisha mzima lakini? mic u too
 
:A S 13::A S 109::A S-omg:

Mpendwa Kaizer.... kanisa linasimamisha huduma yako ya kupiga kinanda mpaka utakapojibu hizo tuhuma....:angry:

Askofu...........
U have been missed mno!!
Where have u been hidding....unaona ulivyowapoteza kondoo??:A S 20:
 
Hahaha tatizo hommie kazoea "one night stand" sasa kakutana na"six months stand" kakosa mbinu! Uzee nao tabu!

Kimey umenichekesha sana. afadhali lakini, sasa ana experience ya upande wa pili wa shilingi
 
hawa namba 2 ndo wazuri maana wanakufanya ujue tamu na chungu ya kupenda...ujue kitu kitamu ni kile ulichokihangaikia kwani utakipa thamani ya juu ukikumbuka jinsi ulivyopata shida kukipata.
 
hawa namba 2 ndo wazuri maana wanakufanya ujue tamu na chungu ya kupenda...ujue kitu kitamu ni kile ulichokihangaikia kwani utakipa thamani ya juu ukikumbuka jinsi ulivyopata shida kukipata.

mkuu seto, kweli lakini si unaweza ukawa unadhani kuwa utakipata baada ya muda kumbe ikawa biashara ya fisi kumfata binadamu akiamini mkono utadondoka?
lakini hata ukija kukipata, kuna guarantee pia hutakipa thamani ki vile kwa sababu 'kilikusumbua sana' au unaonaje..
 
Tunawapa makondishen mazito kama hatuwataki. Lol!
Nikijua huna hata baiskeli nakwambia uninunulie range ili mradi tu uchape lapa usinisumbue sumbue. Lol!
 
Tunawapa makondishen mazito kama hatuwataki. Lol!
Nikijua huna hata baiskeli nakwambia uninunulie range ili mradi tu uchape lapa usinisumbue sumbue. Lol!

hahahahaah hebu nisivunjike mbavu miye....na yule unayetaka akusumbue unampa makondisheni gani LOL
 
Back
Top Bottom