Ladies: To me huyu ndio mwanaume wa ukweli

itahwa

Member
Mar 23, 2011
97
142
From me to you....
Mwanaume waukweli hanaga MANENO MENGI,ANAONGEA MANENO MACHACHE,NA ANATENDA MAKUBWA KULIKO ALIYOSEMA...HAPROMISE SANA,ILA ANADELIVER MORE THAN HIS PROMISES..

Mwanaume waukweli hana MIKOGO,HANA MBWEMBWE,HANA SWAGGER KWAMBA YEYE NI FULANI NA ANA NINI,AU ANA HELA FULANI,KAMA AMEKUPENDA ATAKUWA STRAIGHT KWAKO KWAMBA ANAKUPENDA,KISHA ATAKUSIKILIZA....UKIONA MBWEMBWE NA MDUNDIKO,MANENO LEPELEPE TANI 8 ZA MCHANGA,NA ADVERTISE NYINGI JIULIZE,KULIKONI KWANI TUNATENGENEZA MOVIE? TAKE IT FROM ME LADIES
 
mi wangu awe na mbesaaaaaaaaaaaa ya kufa mtu hata asisimamishe poa tu
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
hahaaaa we mkali
 
Me Love this!
 
Kama hujui wenzio ndo wanamaindigi swaga hizo, tena ziwe za uwongo ndo wanakolea.
 
Hili neno 'wa ukweli'
sasa hadi inaboa kulisikia
kila takataka sasa ni 'wa ukweli' au 'ya ukweli'
way overused words now
 
From me to you....

Mwanaume waukweli ....UKIONA MBWEMBWE NA MDUNDIKO,MANENO LEPELEPE TANI 8 ZA MCHANGA,NA ADVERTISE NYINGI JIULIZE,KULIKONI KWANI TUNATENGENEZA MOVIE? TAKE IT FROM ME LADIES

Mwanaume huyo hajui kutongoza ndio sababu anategemea zaidi matendo hasa yanayoendana na kuonesha kuwa ana fedha.

Bazazi ni msanii, msanii wa futuhi (comedian) hivyo hapa ni FULL MICHEJO, FULL MAIGIZO.

Bazazi ni Bazazi
 
yaani wanaume wengine wana swaga, swaga zinaboa sana kwa sababu vitu vyenyewe havipo, kama umempenda mtu mwambie kistaaabu akirespond sawa asiporespond sepa zako kwani swaga nyingi sio poa, mwanaume mpenda swaga na mwanamke mpenda swagger wote waongo. omba usikutane na swaga kama sina mtu wa kutumia hela yangu saa hizo hata nyumba hana na amepanga chumba kimoja lakini fedha imekosa matumizi.
 
mi wangu awe na mbesaaaaaaaaaaaa ya kufa mtu hata asisimamishe poa tu
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
kiu utakataje sasa!!au nitakuwa namsaidia mimi!
 
From me to you....
Mwanaume waukweli hanaga MANENO MENGI,ANAONGEA MANENO MACHACHE,NA ANATENDA MAKUBWA KULIKO ALIYOSEMA...HAPROMISE SANA,ILA ANADELIVER MORE THAN HIS PROMISES..

Mwanaume waukweli hana MIKOGO,HANA MBWEMBWE,HANA SWAGGER KWAMBA YEYE NI FULANI NA ANA NINI,AU ANA HELA FULANI,KAMA AMEKUPENDA ATAKUWA STRAIGHT KWAKO KWAMBA ANAKUPENDA,KISHA ATAKUSIKILIZA....UKIONA MBWEMBWE NA MDUNDIKO,MANENO LEPELEPE TANI 8 ZA MCHANGA,NA ADVERTISE NYINGI JIULIZE,KULIKONI KWANI TUNATENGENEZA MOVIE? TAKE IT FROM ME LADIES

nina sifa zote hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom