Ladies only - Win a date with Ngabu

Duh! Mpaka GPA tena! Mbona balaa! Kwa hiyo mwanamke kilaza kwako hana nafasi, hata kama zile sifa zaingine hapo juu anazo?

Kilaza kabisa hapana aisee. Sasa mimi na kilaza tutakuwa na mazungumzo gani? Nataka mtu aliye versatile...ninayeweza kuongea naye kuhusu NBA playoffs, FA Premier league, stem cell research, world events, etc.
 
Jamani mwacheni bana Cuppy wangu yupo tu amejaa tele kaa maji ya mtungi. She's finer than ever with a killer body to die for. Atarudi tu ku claim mali zake. Just watch.....

kwa hiyo umemtega tu shostito wangu hapa eeh!!
wat if she doesnt!! will you go ahead and date huyo atakayefika kiwango?
 
Eventually, I know, deep down in my heart of hearts, no one will be able to meet the criteria I've put forward except her therefore she'll be the last one standing...and standing tall with her head held up high.
 
Duh! Mpaka GPA tena! Mbona balaa! Kwa hiyo mwanamke kilaza kwako hana nafasi, hata kama zile sifa zaingine hapo juu anazo?
Hapa kweli kazi ipo.Lakini hawa ''vilaza'' mara nyingi ndio huwa wana vigezo vyote vilivyobakia,afu sijui kwa nini?
 
Ngabu bado nafasi zipo??? I have all the qualities. Halafu is it a one day date ama???
 
happy belated Birthday!!!! (samahani shem NN huyu sina pa kumpata zaidi ya hapa)
 
Eventually, I know, deep down in my heart of hearts, no one will be able to meet the criteria I've put forward except her therefore she'll be the last one standing...and standing tall with her head held up high.
thats all I wanted to hear/read...........basi unaweza kuendelea!!!
 
Kilaza kabisa hapana aisee. Sasa mimi na kilaza tutakuwa na mazungumzo gani? Nataka mtu aliye versatile...ninayeweza kuongea naye kuhusu NBA playoffs, FA Premier league, stem cell research, world events, etc.

Labda hizo stem cell research. Lakini Formula One, NBA Playoff na FA Premier League hazihitaji mtu mwenye GPA ya 3.0 and above. Hata mdogo wangu wa darasa la 7 yuko informed kuhusu hizo kuliko hata mimi.
 
Ngabu bado nafasi zipo??? I have all the qualities. Halafu is it a one day date ama???

happy birthdaye (belated) (again) kule kwetu siku kama ya leo tunakunywa 'ngera'....si ndio eeh JS

halafu hivi umekosa nn
 
hahaaa nimesoma ulichoficha na ngoja nimwambie mzee wa Ikwiriri B............
 
Labda hizo stem cell research. Lakini Formula One, NBA Playoff na FA Premier League hazihitaji mtu mwenye GPA ya 3.0 and above. Hata mdogo wangu wa darasa la 7 yuko informed kuhusu hizo kuliko hata mimi.

Nimesema mtu aliye versatile bana...na ndio nikachomekea NBA na hayo mazagazaga mengine...Mtu unaweza ukawa ulihitimu hata na Summa Cum Laude ya 4.0 lakini hata usijue Bundesliga ni nini....umenipata? Versatility versatility versatility
 
happy belated Birthday!!!! (samahani shem NN huyu sina pa kumpata zaidi ya hapa)

Asante mwaya BHT. Sidhani kama Ngabu atamaindi tumemuingilia kwenye thread yake kidogo..........
 
huh! ndo ina maana nishachelewa? mie nna sifa zote hizo ............tatizo langu moja ambalo lilinipelekea kusua sua sifa za Ngabu sizijui. hebu tupe sifa zako kidogo
 
Uliza tu unachotaka kujua.....
 
huh! ndo ina maana nishachelewa? mie nna sifa zote hizo ............tatizo langu moja ambalo lilinipelekea kusua sua sifa za Ngabu sizijui. hebu tupe sifa zako kidogo

basi usi-apply G ni ushauri wangu tu

yaani huyu NN kila siku anajiwekea sifa zake humu wewe hujazishika tu??
 
Halafu sifa zake huyu ni kali sana.amejisemea hakuna anayeweza hapa ila anatutega tu.labda labda GENDER SENSITIVE anaweza.
 
bht kuuliza si ujinga wanasema ...acha niulize

how tall r u and do they consider you handsome, a hunk or plain!lol.............pia ningependa kujua elimu yako
 
Nimesema mtu aliye versatile bana...na ndio nikachomekea NBA na hayo mazagazaga mengine...Mtu unaweza ukawa ulihitimu hata na Summa Cum Laude ya 4.0 lakini hata usijue Bundesliga ni nini....umenipata? Versatility versatility versatility

OK! Kwa hiyo kinachotakiwa ni versatility hapa. Hata kama huyo mtu ana GPA ya 2.5 lakini yuko versatile basi anapitishwa moja kwa moja na GPA yake haitaangaliwa tena! Kama ni hivyo nimekuelewa!
 
Halafu sifa zake huyu ni kali sana.amejisemea hakuna anayeweza hapa ila anatutega tu.labda labda GENDER SENSITIVE anaweza.

GS haeleweki mpaka hapa sijui ni HE/SHE??

hapo umenena shemeji yangu na yeye bana mmh!!!

@G wewe jiulizie mwaya huwezi jua............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom