Ladies only - Win a date with Ngabu

Anyways, nitaitafuta taratibu and nitaiweka hapa. Ila ulisema. But sasa kama hata hupendi kulala na mtu inakuwaje ukiwa na huyo date? Manake nakumbuka vizuri ulisema unapenda kujinafasi kitandani. Huoni kama utakuwa humtendei haki date wako?

kumbe lazim aukim-date mtu mlale pamoja eeh??
 
Anyways, nitaitafuta taratibu and nitaiweka hapa. Ila ulisema. But sasa kama hata hupendi kulala na mtu inakuwaje ukiwa na huyo date? Manake nakumbuka vizuri ulisema unapenda kujinafasi kitandani. Huoni kama utakuwa humtendei haki date wako?

Alisema katu hataoa bana..............Ingawa anamega sana kisela
 
Lkn Nyani Ngabu inabidi na weye uweke angalau sifa zako kadhaa for those ladies...au?

U don't want to go to Tropez with a date that there is zero chemistry...

All the best ladies....
 
Lkn Nyani Ngabu inabidi na weye uweke angalau sifa zako kadhaa for those ladies...au?

U don't want to go to Tropez with a date that there is zero chemistry...

All the best ladies....

Hey what about you, are you a she? You sound like it....
 
kwa vile tu sina vigezo unavyovitaka,ningekuwa navyo ningeenda all the way....namaanisha ningehakikisha tunakuwa na one night stand!!...na hizo nyodo zake wala nisingejali mie!!!!!!:target::target:
 
kwa vile tu sina vigezo unavyovitaka,ningekuwa navyo ningeenda all the way....namaanisha ningehakikisha tunakuwa na one night stand!!...na hizo nyodo zake wala nisingejali mie!!!!!!:target::target:

Oo girl look at you, bet you ain't know that I be checking you out when you be putting your heels on

So what's really good?
 
kwa vile tu sina vigezo unavyovitaka,ningekuwa navyo ningeenda all the way....namaanisha ningehakikisha tunakuwa na one night stand!!...na hizo nyodo zake wala nisingejali mie!!!!!!:target::target:

Trend ya mitundiko humu ndani hivi sasa inaonekana kuna maboflo kibwena.lol. Ati unasema ungeenda, ungeenda wapi?

Sasa umekuwa mwanamke? We si kidume? (chokomchongoma).. Ni hii vipi?

BOFabLO said:
anyeweweseka hapa anaonekana!,nikufunze kuhusu research???wee kwa malipo gani?kufundisha zuzu kama wewe si bora nikajifungie na demu wangu tucheze kidali po..(hapa nacheka kwa nguvu sana..BWA HA HAAAAAAAA)

Makubwa haya!!
 
Good Luck Braza.... lakini siunajua online dating haina mafanikio mengi...

Na kwa ushauri wangu labda you need to spend less time hapa JF na utoke nje kidogo utapata unacho kitafuta...
 
duh.. NN.. I like ur still.. sasa.. hujasema kama watu wenye watu wao wasije maana unaweza kutuibia hivi hivi!
 
Pimpin' ain't easy, but somebody's gotta do it

pimp-c.jpg
 
duh.. NN.. I like ur still.. sasa.. hujasema kama watu wenye watu wao wasije maana unaweza kutuibia hivi hivi!

If you handle ur bizness at home they way it's supposed to be handled you ain't got to worry about me...but if you don't then....maybe be you need to step your game up...

Lakini wewe mzee wa mistari nakuaminia.....huwezi hata siku moja ukajisahau na ikitokea ukajisahau unachohitaji kufanya ni ku-freestyle beti mbili tatu na bibi mwenyewe atarudi kwenye mstari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom