hapo naona mauzauza tu,sijui nani ni nani wala kipi ni kipi,lakini? Kama ni siku sitini.......... Bado miezi 7 tupokee katoto. Napendekeza kaitwe, tallhongera mkuu...
Mbona hauko visible vizuri hapo?....
hapo naona mauzauza tu,sijui nani ni nani wala kipi ni kipi,lakini? Kama ni siku sitini.......... Bado miezi 7 tupokee katoto. Napendekeza kaitwe, tallhongera mkuu...
Mbona hauko visible vizuri hapo?....
On test....
eeeeewaaaa sasa inakuja lakini bado chenga kidogo endelea kuzungusha zungusha antena.hapo vipi?
Hapo ndipo IWA aliponibinafsishia konyagi yangu!xpin na timu nzima ya wapwaaz originale walikuwa hapa:
oow dear and you have been in my mind all the time... ulikua wapi nilikua nakusubiri unipitie twende tuition...Noname my dear. Nimekumiss vibaya. Hii JF mpya inanizengua hata kuPM nashindwa. Sasa sijajua ni hangover au ni ushamba wangu.
Hapo kwenye red naona leo nawe umeingia kwenye chama changu....
xpin na timu nzima ya wapwaaz originale walikuwa hapa:
Kila nilipokuwa najaribu kufungua JF inanigomea basi avatar za watu zilikuwa zinanisumbua kichwani. Basi narudi zangu kaunta kuondoa hangover.oow dear and you have been in my mind all the time... ulikua wapi nilikua nakusubiri unipitie twende tuition...
kweli humu ndani (JF) kumekuwa kutafutana...
Unaufahamu ule usemi: "Jasiri haachi asili?" Naona mi nautekeleza practically.Hahaha aha kumbe ndo walikuwa hapo... Chripo siulimuahidi mtu humu ndani utapona hangover...
Chrispin (Hommie) and Noname on the 'go'...
hhahhaaaaaaa sawa....Kila nilipokuwa najaribu kufungua JF inanigomea basi avatar za watu zilikuwa zinanisumbua kichwani. Basi narudi zangu kaunta kuondoa hangover.
BTW Easter ilikwendaje na wote uwapendao hawajambo?
Tuition bana naona itanishinda. Umri huu, ma hangover haya kweli book litapanda kumkichwa?
Nenda kakamate matirio afu uje unitemee hapa kaunta.
oppps am sorry...really u want me to change it?Unaufahamu ule usemi: "Jasiri haachi asili?" Naona mi nautekeleza practically.
Noname samahani kama nitakukwaza: Avatar yako inaniharibia mzunguko wa damu moyoni.
No please!oppps am sorry...really u want me to change it?
.....kutoka makambako,naileta kwenu hii kitu: