LADIES AND GENTLEMEN:tujikumbushe kidogo siku 60 zilizopita.......

hongera mkuu...

Mbona hauko visible vizuri hapo?....
hapo naona mauzauza tu,sijui nani ni nani wala kipi ni kipi,lakini? Kama ni siku sitini.......... Bado miezi 7 tupokee katoto. Napendekeza kaitwe, tall
 
Congratulations... Geoff

Chripo uko sober leo?
xpin na timu nzima ya wapwaaz originale walikuwa hapa:
attachment.php
 
Attachments

  • 13022010668..jpg
    13022010668..jpg
    360.1 KB · Views: 77
Noname my dear. Nimekumiss vibaya. Hii JF mpya inanizengua hata kuPM nashindwa. Sasa sijajua ni hangover au ni ushamba wangu.

Hapo kwenye red naona leo nawe umeingia kwenye chama changu....:D
oow dear and you have been in my mind all the time... ulikua wapi nilikua nakusubiri unipitie twende tuition...

kweli humu ndani (JF) kumekuwa kutafutana...
 
oow dear and you have been in my mind all the time... ulikua wapi nilikua nakusubiri unipitie twende tuition...

kweli humu ndani (JF) kumekuwa kutafutana...
Kila nilipokuwa najaribu kufungua JF inanigomea basi avatar za watu zilikuwa zinanisumbua kichwani. Basi narudi zangu kaunta kuondoa hangover.
BTW Easter ilikwendaje na wote uwapendao hawajambo?
Tuition bana naona itanishinda. Umri huu, ma hangover haya kweli book litapanda kumkichwa?
Nenda kakamate matirio afu uje unitemee hapa kaunta.
 
Hahaha aha kumbe ndo walikuwa hapo... Chripo siulimuahidi mtu humu ndani utapona hangover...
Unaufahamu ule usemi: "Jasiri haachi asili?" Naona mi nautekeleza practically.

Noname samahani kama nitakukwaza: Avatar yako inaniharibia mzunguko wa damu moyoni.:D:eek::D
 
Unaufahamu ule usemi: "Jasiri haachi asili?" Naona mi nautekeleza practically.

Noname samahani kama nitakukwaza: Avatar yako inaniharibia mzunguko wa damu moyoni.:D:eek::D
haya sasa.....!
 
project iliambatana na ujasiliamali wa hali ya juu!kama hivi:

attachment.php
 
Attachments

  • 13022010666..jpg
    13022010666..jpg
    151.9 KB · Views: 56
Kila nilipokuwa najaribu kufungua JF inanigomea basi avatar za watu zilikuwa zinanisumbua kichwani. Basi narudi zangu kaunta kuondoa hangover.
BTW Easter ilikwendaje na wote uwapendao hawajambo?
Tuition bana naona itanishinda. Umri huu, ma hangover haya kweli book litapanda kumkichwa?
Nenda kakamate matirio afu uje unitemee hapa kaunta.
hhahhaaaaaaa sawa....
 
Unaufahamu ule usemi: "Jasiri haachi asili?" Naona mi nautekeleza practically.

Noname samahani kama nitakukwaza: Avatar yako inaniharibia mzunguko wa damu moyoni.:D:eek::D
oppps am sorry...really u want me to change it?
 
kisa kinaendelea........!
HEDEEEE HEDEEE HEDEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
attachment.php
 
Attachments

  • 13022010673..jpg
    13022010673..jpg
    523.4 KB · Views: 66
oppps am sorry...really u want me to change it?
No please!
Inanisaidia kurekebisha mapigo ya moyo. Mtu akiniboa nafungua JF fasta then naitafuta avatar yako.
Presha inapanda afu inashuka.... Mapigo ya moyo yanaenda sawa.\
I am in love with your avatar if I must be straight!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom