Labels: Is it out of ignorance?

LOL;

WoS naona umekomaa na mada, asante sana tumejifunza mengi. It is also interesting to note that kuna list ya Feminist (Ideological) :)

Asante Mkuu.
Inatia moyo kuona kuwa kuna wenzetu kama wewe wanaojishughulisha kuelewa issues kama hizi.
Natumaini hii list itawawezesha wenye kupenda kujua zaidi kupata materials za kujifunza.
Tuwekee pia wale wa Kiafrika ili kuonyesha kuwa siyo dhana tu za wazungu.
 
Wabunge wengine viti maalumu walipewa through sex favour..je WoS hii ni aina gani ya affirmative action?

Sasa hapo anayeharibu affirmative action ni nani? feminists au MALEnists ? Wanaume tunapanga sheria kuwa hili kuongeza uwakilishi wa kina mama inabidi tuweke viti maalumu. Na ni wanaume wenzetu wanaotumia sex favor kuchagua wabunge wa viti maalumu kwa favor kama vile hakuna wanawake wenye qualification hawapo. Na kwanini lawama wapewe feminists?
 
Asante Za10
Nimejiskia uvivu hata kujibu kwa maana msimamo wangu toka mwanzo nimeuweka wazi - nimetofautisha baina ya feminists wa kawaida na wale radical feminists.Sasa unapoona mtu hataki kuona - inabidi umwache alivyo.

WoS:

Usikate tamaa. Hapa ndani tunatoka katika jamii na imani mbalimbali. Na tumekulia katika familia au kaya zenye values tofauti.

Kwa maoni yangu huwezi kumkomboa mwanamke au kumpa mwanamke haki zake kwa kumsahau mwanaume.
 
WoS:

Usikate tamaa. Hapa ndani tunatoka katika jamii na imani mbalimbali. Na tumekulia katika familia au kaya zenye values tofauti.

Kwa maoni yangu huwezi kumkomboa mwanamke au kumpa mwanamke haki zake kwa kumsahau mwanaume.
Hewaaaaaaa!
Mkuu Zakumi Respect kwa mara nyingine tena.
Nakubaliana na wewe 101% kuwa kuboresha hali za wanawake ( sipendi sana hili neno la kumkomboa mwanamke) inabidi kuwa sambamba na wanaume kwa maana kama wanaume ndio wako juu huwezi kutegemea matokeo mazuri kwa kuwabagua .Commonsense tu inatuambia aliye na nafasi nzuri atakazana kubakia hapohapo alipo na ukitaka mgawane basi inabidi kuwa na mbinu nzuri zitakazomfanya aridhike kuwa hatapoteza kile kizuri alicho nacho bali atafanikiwa zaidi. Vinginevyo mipango hiyo haitafanikiwa.Na ndio hapo dhana ya jinsia inapoingia - jinsia simply put is all about mahusiano baina ya wanawake na wanaume - kwanye mipango, mgawanyo wa rasilimali na fursa, utoaji maamuzi na kadhalika.Tukisema kuwaacha wanaume itakuwa ni kosa kubwa.Afterall, wanaume kama wanaume hawana kosa kujikuta wako juu katika kila kitu kwa maana mfumo na malezi umemwezesha, tena kupitia malezi ya hao hao wanawake kuwa vile.
 
Fikiria hivi:
Kama wewe ni mzazi wa kiume na una watoto wa kike na wa kiume.Je utaona hao wa kike ni lesser beings? Je utapenda binti yako adhalilishwe kwa sababu ni binti?

Je wewe mkaka, utafurahia mama yako akidharauliwa kwa vile ni mwanamke?

Ukweli i ni kwamba nampenda mno binti yangu naye ananipenda sana. Sijaweza kufeel kuwa huyo wa kiume simpendi ila yeye hanichangamkii kama binti. Sijawahi kufikiria kuwagrade wala sidhani kama itatokea.

Inawezekana kukawa na watu wanowagrade watoto wao kijinsia lakini deep in their hearts wako kama mimi. Wanawapenda hao wa kike zaidi .

Nahisi kama wanaume wanawapenda wanawake kama ilivyo naturally. Ukiona mahali ambapo wameonyesha dharau pana sababu iliyosababishwa na huyo wa kike au mazingira ya aina hiyo. Of course ukiacha yule aliyemlazimisha mkewe anyonyeshe viumbwa vyake.
 
Many a times we hear people say " she is a feminist".... "that feminist is on it again!"
Do we understand what Feminism is?
It is not just women who support this movement, men do support it too. Therefore it is not a sin to support this discourse and thinking.

My question is "Is it helpful to label anyone a "feminist"?

Lets discuss ladies and gents.

na kingereza chako
nyie ndo mnaosababisha population crisis maana hamzai mnatoa mimba hampiki
 
Back
Top Bottom