Kyela: Dr. Mwakyembe amtolea Uvivu Rostam

Mmmhh!!! siasa za Kyela nazo kichwa cha mwenda wazimu. Wacha wengine tunyamaze, tusije tukaambiwa tunaandaliwa kwi kwi kwi!!!!.

Hivi hakuna mwenye audio clip!
 
Hizi siasa zetu bwana sasa mtu hawataki atumie haki yake,akitaka kuitumia basi eti ameandaliwa.

Leo hapa mkongo fulani amejitokeza kugombea ubunge kwa ticketi ya PiS ingekuwa bongo sijui angekuwa ameandaliwa na kagame ama mseveni .kazi kweli kweli
 
Mwakyembe ni mtu makini sidhani kama alivurumisha matusi ya nguoni maana anajua athari yake, tusubiri habari zaidi.

I strongly disagree na hii point ya Mwakyembe kuwa makini.
Mwakyembe amekuwa anaishi katika utopia fulani kwamba kazi ile ya uchunguzi wa Richmond imempa udemigod fulani. Kazi yenyewe kwa asilimia kubwa ilifanywa na shirika fulani la nje ya nchi na yeye kusukumiwa points.

Ukiangalia kutoka kwenye mkutano wake wa waandishi wa habari na huu na wananchi wa Kyela utagundua kwamba hayuko makini. Amekimbilia kumtukana Rostam bila kujua athari za kudaiwa fidia kutokana na matamshi yake.

Huyu ni mwanasiasa mchanga na hana future. Malecela alijaribu waziwazi kumpendelea kwa kuwakaripia wote, Rostam na yeye, wakati ilikuwa wazi ni Mwakyembe ndie aliyekuwa amemtukana na kumvaa mwenzake.

Mtaniambia...
 
Hawa wanaofikiri vingunge wa siasa lazima safari hii tuhakikishe tunawamaliza bungeni .Siasa gani hizo za kupandilia mabega? tupe sera zako ,mambo ya ufisadi kila mmoja anaweza kuyaongelea na kuyakabidhi kwenye vyombo vya dola na kinachobaki ni mwanasiasa kutupiga sera zake na mikakati.
 
Nionavyo mimi humu JF kuna mapandikizi ya mafisadi, kazi yao kubwa ni kuchomekea posts za kutetea au kuvuruga mada iluiyopo dhidi ya mafisadi. Bila shaka wanafanya hivyo kwa malipo maana bila ya fedha hawa hawawezi kutetea chchote, achilia mbali mafisadi -- ni mamluki. Lakini napata faraja kubwa kuona kwamba hawa ni wachache mno, tena mno, idadi kubwa sana ya wanaochangia mada ni wapiganaji wa dhati wa ufisadi, HONGERA SANA!!!!
 
Last edited:
Insurgent,
I strongly disagree na hii point ya Mwakyembe kuwa makini.
Mwakyembe amekuwa anaishi katika utopia fulani kwamba kazi ile ya uchunguzi wa Richmond imempa udemigod fulani. Kazi yenyewe kwa asilimia kubwa ilifanywa na shirika fulani la nje ya nchi na yeye kusukumiwa points
...
Jamani hakuna sehemu hata moja Mwakyembe ameanza kudai credits kutokana na Richmond, kazi kaifanya na aliiwakilisha Bungeni hata kama kuna mtu aliyemsaidia hili sio swala kabisa..Hilo file limeisha fungwa kwake..
Mwakyembe amekuja chafuliwa na kamati ya kutundika kwa posho na lunch hotelini iliyokubali kununua mitambo ya Dowans, hapo ndipo utata ulipoanza na mara zote yeye amekuwa ktk kujitetea..Kaitwa majina yote lakini leo hii kasimama yeye na kuanza kukibadilisha kibao mnaanza kumlaumu tena.. Na ajabu ni kwamba sijaona wala kusikia mtu toka kundi lenu akizungumzia Rostam na jinsi anavyotafuta umaarufu...
Inanipa hofu kwamba yawezekana kweli Rostam kapandikiza watu humu ndani, iweje watu kila siku mnamsakama Mwakyembe lakini hamzungumzi lolote baya kuhusu Rostam hata ile acknowledgement tu ya machafu yake . Picha nzima ni Mwakyembe na Rostam sasa jaribuni kutuambia makosa ya kila mmoja wao inapotokea na sio kudandia Mwakyembe tu inapofikia Rostam kuwa kichwa cha hoja mnaingia mitini..
 
Anayesimama na kutetea maslahi ya nchi kaishiwa kisiasa, na yule anayesimama na kuweka maslahi ya CCM mbele badala ya yale ya nchi kama akina Chiligati na Malecela ndiyo wanaonekana wanasiasa wanaokubalika!!! Kazi kweli kweli!!!!

Kupanda jukwaani na kumshabulia mtu ndio kutetea maslahi ya Taifa?

Amwage sera. Hii ni mara ya pili anafanya hivyo, ni wazi kabisa kuwa hana sera na hii inaonyesha kuwa kuna maslahi fulani anayagombea na RA. RA kimyaa kama kawaida yake, master mind, hapo ndipo unanimaliza.

Ushauri kwa RA, baki hivyo hivyo, wewe fanya action tu, kama kawaida yako, usijibishane na mtu ambae inaonekana wazi kuwa kashaanza kuingia uoga wa uchaguzi ujao na anaanza kampeni mapeeeema.
 
"Habari za kutoka hapa Kyela ni kwamba dr. Mwakyembe leo kamvaa Rostam kweli kweli. Kamwita fisadi namba moja, kaiba mali ya Tanzania na ni mbumbumbu, hajui kitu, hata bungeni haongei. Anasema Rostam katumia ufisadi kuiba viwanda viwili alivyoanzisha Nyerere na sasa kafanya godowns zake."

Umeshamsikia Rostam akifungua kinywa chake Bungeni? Je, wananchi wa jimbo lake walmchagua ili akawe bubu katika vikao vya bunge? Hapo juu Mwakyembe kasema ufisadi mwingine wa Rostam ambao wengi tulikuwa hatuujui wa kuiba viwanda viwili vilivyoanzishwa na Mwalimu (RIP) na inaonyesha alivipata kwa njia za kifisadi. Sasa kama kuyasema hayo si kutetea maslahi ya Taifa sijui wewe unaziweka katika category ipi.

Inaelekea unafaidika kwa namna moja au nyingine na ufisadi wa fisadi Rostam mpaka kufikia kumpa ushauri. Kila la heri katika utetezi wako wa mafisadi.
 
Insurgent,
...
Jamani hakuna sehemu hata moja Mwakyembe ameanza kudai credits kutokana na Richmond, kazi kaifanya na aliiwakilisha Bungeni hata kama kuna mtu aliyemsaidia hili sio swala kabisa..Hilo file limeisha fungwa kwake..
Mwakyembe amekuja chafuliwa na kamati ya kutundika kwa posho na lunch hotelini iliyokubali kununua mitambo ya Dowans, hapo ndipo utata ulipoanza na mara zote yeye amekuwa ktk kujitetea..Kaitwa majina yote lakini leo hii kasimama yeye na kuanza kukibadilisha kibao mnaanza kumlaumu tena.. Na ajabu ni kwamba sijaona wala kusikia mtu toka kundi lenu akizungumzia Rostam na jinsi anavyotafuta umaarufu...
Inanipa hofu kwamba yawezekana kweli Rostam kapandikiza watu humu ndani, iweje watu kila siku mnamsakama Mwakyembe lakini hamzungumzi lolote baya kuhusu Rostam hata ile acknowledgement tu ya machafu yake . Picha nzima ni Mwakyembe na Rostam sasa jaribuni kutuambia makosa ya kila mmoja wao inapotokea na sio kudandia Mwakyembe tu inapofikia Rostam kuwa kichwa cha hoja mnaingia mitini..

Mkandara
mbona nawewe waanza vitisho vya Chilingati
 
"Kupanda jukwaani na kumshabulia mtu ndio kutetea maslahi ya Taifa?

Amwage sera. Hii ni mara ya pili anafanya hivyo, ni wazi kabisa kuwa hana sera na hii inaonyesha kuwa kuna maslahi fulani anayagombea na RA. RA kimyaa kama kawaida yake, master mind, hapo ndipo unanimaliza.

Ushauri kwa RA, baki hivyo hivyo, wewe fanya action tu, kama kawaida yako, usijibishane na mtu ambae inaonekana wazi kuwa kashaanza kuingia uoga wa uchaguzi ujao na anaanza kampeni mapeeeema.'

******************************

Dar es Salaam: Kumwaga sera ndiyo nini katika mada iliyopo? Kwani mada hii ni wakati wa kampeni ya uchaguzi? Hivui Rostam wako -- unaemtetea kwa nguvu na hasira -- kwa kukaa kwake kimya baada ya kuwaibia wananchi ndiyo anatetea masilahi ya taifa?

Au una upofu kwamba kupiga kelele dhidi ya ufisadi siyo kutetea masilahi ya taifa? Ni kutetea nini?

Wewe vipi? Mbona unatuvuruga hapa? Hivi mafisadi huwa wanamwaga sera za namna gani? Labda za kupumbaza wananchi na halafu kuwaibia
 
"Habari za kutoka hapa Kyela ni kwamba dr. Mwakyembe leo kamvaa Rostam kweli kweli. Kamwita fisadi namba moja, kaiba mali ya Tanzania na ni mbumbumbu, hajui kitu, hata bungeni haongei. Anasema Rostam katumia ufisadi kuiba viwanda viwili alivyoanzisha Nyerere na sasa kafanya godowns zake."

Umeshamsikia Rostam akifungua kinywa chake Bungeni? Je, wananchi wa jimbo lake walmchagua ili akawe bubu katika vikao vya bunge? Hapo juu Mwakyembe kasema ufisadi mwingine wa Rostam ambao wengi tulikuwa hatuujui wa kuiba viwanda viwili vilivyoanzishwa na Mwalimu (RIP) na inaonyesha alivipata kwa njia za kifisadi. Sasa kama kuyasema hayo si kutetea maslahi ya Taifa sijui wewe unaziweka katika category ipi.

Inaelekea unafaidika kwa namna moja au nyingine na ufisadi wa fisadi Rostam mpaka kufikia kumpa ushauri. Kila la heri katika utetezi wako wa mafisadi.

Mtu hachaguliwi kwa kupayuka, huchaguliwa kwa maendeleo ayaletayo. Usifikiri kupiga kelele sana pale bungeni ndio kufanya kazi sana. Kuna wengi hata kwa maandishi hawachangii kwani wanaona mada zenyewe hazina mpango, wao ni action tu. Kawaulize jimboni kwake wakwambie, hata alipotaka kukataa kugombea wakamsihi aendelee, kwani wao walikuwa hawaoni kuwa bungeni haongei? wanaona sana lakini wanajua alichokifanya katika jimbo lake ndio maana wakataka aendelee.

Kuhusu hilo la viwanda alivyoanzisha Nyerere, hilo lina utata, kwanza alivyoanzisha Nyerere au alivyodhulumu? (Taifisha) Pili, hukuwepo mzee Ruksa alipotangaza kuwa shirika la uma lolote lisiloweza kujiendesha lenyewe halitopewa tena ruzuku na serikali? kama ulikuwepo naona jibu unalo. Kama ni viwanda na mashirika ya uma ni mengi tu yaliyofisadiwa mpaka yakawa hoi na wenye misingi yao (akina RA na wengine wengi tu) wakayanunuwa kwa ubwete na sasa yanafanya kazi kama hayajafa. Yaliushinda nini uma kuyaendesha? jibu ni ufisadi!

RA unamwita fisadi na wengine wote wanaomwita fisadi mpaka sasa nawaona kuwa ni watu wa chuki binafsi, kama kweli na kama mna ushahidi wa ufisadi wake, si mum-shitaki tu, mnangoja nini?
 
Kupayuka kama ni katika kutetea maslahi ya Taifa basi Watanzania wengi watakuunga mkono. Si umesikia Singida wamemsharibisha kwa zulia jekundu ili
wakampe ubunge kule!!! Ina maana wanaunga mkono anayoyasema ambayo wewe unaita kupayuka.

Kuhusu hilo la viwanda alivyoanzisha Nyerere, hilo lina utata, kwanza alivyoanzisha Nyerere au alivyodhulumu? (Taifisha) Pili, hukuwepo mzee Ruksa alipotangaza kuwa shirika la uma lolote lisiloweza kujiendesha lenyewe halitopewa tena ruzuku na serikali? kama ulikuwepo naona jibu unalo. Kama ni viwanda na mashirika ya uma ni mengi tu yaliyofisadiwa mpaka yakawa hoi na wenye misingi yao (akina RA na wengine wengi tu) wakayanunuwa kwa ubwete na sasa yanafanya kazi kama hayajafa. Yaliushinda nini uma kuyaendesha? jibu ni ufisadi!

Sasa unamshambulia Mwalimu na kumtetea Rostam ama kweli wewe ni mtetezi wa mafisadi!!! Unaweza kumuweka fisadi Rostam na Mwalimu katika ngazi moja!!!? Hivi huyajui mazuru mengi aliyoyafanya Mwalimu kwa nchi yetu!!? Mwalimu kama binadamu wengine wowote hakuwa perfect, lakni kuna mengi mazuri aliyoyafanya ndiyo maana hadi hii leo Watanzania wengi bado tuna muenzi. Je, fisadi Rostam kafanya zuri lipi katika Tanzania!?

RA unamwita fisadi na wengine wote wanaomwita fisadi mpaka sasa nawaona kuwa ni watu wa chuki binafsi, kama kweli na kama mna ushahidi wa ufisadi wake, si mum-shitaki tu, mnangoja nini?

Ukipenda, chongo utaita kengeza!!! Pamoja na ushahidi chungu nzima wa mambo ya kifisadi yaliyofanywa na fisadi Rostam lakini yote unaona kasingiziwa tu!!! Endelea kufaidika na michuzi toka kwa fisadi Rostam. By the way nani mwenzetu? isije ikawa wewe ndiye fisadi mwenyewe Rostam uko hapa ili kujitetea dhidi ya dhambi zako unazozifanya dhidi ya Watanzania. Maana unajipigia debe na pia pia kumkashifu Mwakyembe. Au una undugu na fisadi nambari one wa Tanzania au ndiye fisadi mwenyewe?
 
mwakyembe ananifurahisha sana. Maana tatizo la nchi yetu ni unafiki mkubwa wa kuwasikiliza watu kama akina malecela na chiligati ambao siku zote huweka mbele maslahi ya ccm kwanza badala ya yale ya nchi.

I hope ataendelea kuongea maana tutayajua mengi ambayo tulikuwa hatuyajui. Hongera mwakyembe watanzania wengi tuko nyuma yako. Hata hapa jimbo la jf tunaweza kabisa kukupa ubunge maana tumechoshwa na unafiki na ufisadi uliojaa ndani ya nchi yetu.

hapana watanzania wengi hatupo nyuma yake, isipokuwa tupo bega kwa bega nae kulijenga taifa kama alivyokuwa akitueleza mwalimu julias kambarage tuwe bega kwa bega kulijenga laifa hili changa.
 
Mwakyembe hata akigombea Dar popote atapata Ubunge tu!

Mtu fisadi kama Rostam pesa alizoiba ndo anahonga Igunga watu wanamchagua..haina maana watu wanampenda! Ni pesa tu!

Ni watu wa Tabora, Moro zaidi naona wanapapatikia uwezo wa pesa kuliko uadilifu na uwezo wa Uongozi ktk kuwachagua wabunge. Mtu hata kama haujui kuongea, hatoi mchango wowote bungeni..kama una pesa na kuweza kuhonga basi unapata kura!

Yaani hebu Azizi aende Mbeya, Moshi au Bukoba aone kama watu hawatamchagua!
 
kwani malecela na chilagati ni nani?

hiyo ndio maana yake? mwanaume mwakiyembe kaongea malecela jibu na siasa zako za zamani
 
Habari za kutoka hapa Kyela ni kwamba dr. Mwakyembe leo kamvaa Rostam kweli kweli. Kamwita fisadi namba moja, kaiba mali ya Tanzania na ni mbumbumbu, hajui kitu, hata bungeni haongei. Anasema Rostam katumia ufisadi kuiba viwanda viwili alivyoanzisha Nyerere na sasa kafanya godowns zake.

Katika mkutano wake alikuwa ameongozana na waandishi habari kutoka Mbeya baada ya wale wa Kyela kupigwa marufuku kuhudhuria mkutano huo kwa madai kwamba huwa wanamwandika vibaya.

Alitumia muda mwingi kumtukana Rostam.
...

..."ngoma ivumayo haidumu", nyie wabunge msituchezeshe shere watanzania!
 
Naongeza ukubwa wa screen ya computer yangu, najua picha inaanza sasa hivi. Haya kanyaga twende. Hiyo ndio demokrasia
 
Hawa wanaofikiri vingunge wa siasa lazima safari hii tuhakikishe tunawamaliza bungeni .Siasa gani hizo za kupandilia mabega? tupe sera zako ,mambo ya ufisadi kila mmoja anaweza kuyaongelea na kuyakabidhi kwenye vyombo vya dola na kinachobaki ni mwanasiasa kutupiga sera zake na mikakati.

mikakati kwenye ufisadi ni kama kujaza maji kwenye gunia
ukikosanya kodi wakina rostam wanachukua

utakuwa mjinga ukiamini kwamba mikakati itatupeleka mbele wakati wapo watu kama wakina rostam wanachota

unajua hasara ya kutokua na umeme wa uwakika kweli na hiyo ni mbinu za rashid ili kununua mitambo ya dowans

rushwa ndio tatizo namba moja TZ, tunanyenyekea $20m za china na wakati rostam na wenzake wanachota zaidi ya hizo
U have got my backing mwakyembe
 
Kupiga kelele na kupandiliana mabega hakusaidii,Dawa ni mikakati anayekunyonya dawa yake ni kumpoteza tu .

Kama ulishawahi kufuga mnyama aina ya mbwa utakubaliana na mimi ya kwamba mbwa mwoga huwa na mkwara sana anabweka kupitiliza ukiwa mbali ukimsogolea ukainama tu antoka baruti hata huwa anapitiliza nyumbani. Lakini mbwa mkali huwa habweki na ukizubaa unakuta mmeshavaana naye.Sasa kwanini mbwa mwoga huwa anamkwara wa kubweka ? si ili amfurahishe bwana wake yeye yuko fiti bali ni njia ya kujihami.

Pia kama ulishawahi kuishi kijijini unaporudi nyumbani ile usiku kutoka mawindo kwako na ukapita ktk kakijimsitu fulani basi mara nyingi mtu mwoga huanza kuimba kwa nguvu kweli,kwanini anaimba kwa nguvu tena usiku si kwasababu ile nyimbo imemfurahisha bali anajihami ili kama kuna adui kule aona duu hii ngoma inayokuja ni hatari kumbe wapi bwana
 
Last edited:
Back
Top Bottom