KY gel kwenye mkoba wa Mpenzi wangu

Hii mada iliishawahi kuwekwa humu lakini sijui ni jukwaa gani ila niliiona ni kawaida tu, sasa yamenikuta mimi ndio nimeshtuka na kuona sio ya kawaida. Nilikuwa natafuta kitu kwenye mkoba wa mpenzi wangu, hamadi KY Gel tena ipo nusu kwenye mkopa wa mpenzi wangu. Hajui kama nimeiona maana hayupo, ila mkoba wake upo nyumbani kwangu. Nipeni ushauri nianzie wapi kumuuliza ni ya nini hiyo KY Gel?

Mkuu vunja ukimya kwa mamaaa, muulize huwa anatumia nani hiyo KY Gel (kama haujawahi tumia naye)!
 
KY sikuhizi ndo imekuwa M'badala wa condom, hamna haja ya kutumia condom Kama utapaka KY coz inalainisha sana uke na hupati michubuko. Mi alinishauri jamaa yangu baada ya kumkuta nayo mfukoni! Duh! Ila bado sijajaribu.
 
mkono wa paka, unanifanya nibase kwenye mawazo yako zaidi kuliko ya wadau wengine wanaodai mtandao wa tigo unahusika. Maana hata nilipojaribu kusoma matumizi yake wameandika kabisa ni kwa ajili ya kulainisha uke, sasa sijui kama kuna matumizi mengine zaidi ya hayo. Ila mtaani watu wengi wanayahusisha na tigo, hapo ndo moyo unaponidunda.

mkuu ata kama ni ya kulainishia uke umeshawahi kutumia nae na mpaka yanafika nusu alikuwa anatumia na nani stuka
 
Mbona hujatueleza huyo GF wanajishughulisha na kazi gani?

Kama ni nurse midwife au gyn...basi hiyo ni mojawapo ya nyenzo za kazi!!
 
si muulize sasa ww waogopa nn sasa loh!
ngoja aendelee kuumizwa wakati ww unaendelea kuogopa kumuuliza na ukute hata hasuki wala vipele miuuni hana cjui atasema ameitumia wapi mpaka imefika nusu loh!
 
Nakumbuka babu yangu alishawahi kuniambia wakati unaondoka nyumbani ukishaaga usigeuke nyuma utakuja kuacha mke huku bado unampenda hii pekua pekua hii mbaya sana hebu niambie sasa ushakutana na ky mwenzio atakuelewesha vp mpaka umuelewe
 
Hivi kweli unataka kumuuliza matumizi ya
Ky jelly.. loohh
Si u google tu. .

AD,

Haya mambo siyo marahisi kiasi hicho...sidhani kwamba mleta mada hajui KY inatumika kufanya nini...

Shida ni kwamba mambo haya yanapokupata unaweza kupata tetenasi ya ubongo...Unakuwa kama vile unatafuta kitu kikubwa sana kama vile sufuria au ndoo mfukoni!!
 
Hii mada iliishawahi kuwekwa humu lakini sijui ni jukwaa gani ila niliiona ni kawaida tu, sasa yamenikuta mimi ndio nimeshtuka na kuona sio ya kawaida. Nilikuwa natafuta kitu kwenye mkoba wa mpenzi wangu, hamadi KY Gel tena ipo nusu kwenye mkopa wa mpenzi wangu. Hajui kama nimeiona maana hayupo, ila mkoba wake upo nyumbani kwangu. Nipeni ushauri nianzie wapi kumuuliza ni ya nini hiyo KY Gel?

swali lake..

AD,

Haya mambo siyo marahisi kiasi hicho...sidhani kwamba mleta mada hajui KY inatumika kufanya nini...

Shida ni kwamba mambo haya yanapokupata unaweza kupata tetenasi ya ubongo...Unakuwa kama vile unatafuta kitu kikubwa sana kama vile sufuria au ndoo mfukoni!!

Babu shkamoo..
mi nimemjibu swali lake tu..
abadilishe swali au aulize vizuri...
 
swali lake..

Babu shkamoo..
mi nimemjibu swali lake tu..
abadilishe swali au aulize vizuri...

Sijambo mjukuu wangu,

Ukisoma huo mstari wa mwisho basi unapoteza taarifa muhimu za kiintelijensia ambazo ni muhimu sana kukusaidia kuona kuwa huyu brother amezama kwenye matope!!

Keshaiona KY gel, hapa hajauliza hii KY gel ni kitu gani... Anaijua beyond doubt!

Halafu kaona kwamba imetumika nusu....Hapa pia hajauliza kwani anajua kuwa siyo jambo la kawaida!! Ila kwa sababu amekwama kwenye matope, hajui aanzie wapi kujitoa...

Mnaweza kumsaidia???

Au nimepeleka mambo kwa mwendo wa 1947???
 
okay sante babu..
Binafsi naona asingepekuwa begi la mkewe
bila hidhini yake. kwa vile imeshatokea basi
hawezi kurudi nyuma na kujifanya hajaona
alichoona..

ushauri wangu akaechini a mamitoo
aseme ukweli amepekua handbag yake
na amekutana na kitu kinachomtatiza.
na amuulize kabisa aondoe duku duku lake..

babu miaka ya 47 hii kitu labda haikuwepo
vyuma vinateleza bila oil..

babu ushauri wako kwa huyu mwanajamvi ni nini??
 
Siku zote sielewi hii mipaka mnayoongelea sijui kuhusu mikoba au simu...Kuna tatizo kwangu mimi kwenda kwenye mkoba wa Bibi DC na kuchukua kitu (siyo kupekua pekua which is a bad thing) au kugusa simu yake???? Kuendekeza hiyo mipaka ndiyo kutoa mianya kwa shetani na kuishi kwa mashaka!!

Ushauri...
1. Amwage mambo hadharani ili amsikilize bibie ana maelezo gani...Anaweza kujiua bure kwa pressure kumbe mdada wa watu ana maelezo mazuri sana kama hayo aliyotoa Preta...LOL!!
2. Kama hataridhika na maelezo ya bibie basi afanye maamuzi magumu.....Ila pia anaweza kuamua kuwa safe kwa kucheka cheka tu na kusubiri huruma ya raia wema!

Babu DC!
 
Hapo pa blue iwe kuchukua au kupekuwa... sijui ila mimi
nilivyofuzwa ni vema kuuliza. HAIJALISHI ni nani..
awe partner wangu, au mzazi wangu .

kitu ka si chako si vema kufungua .
Barua ikija kwenye lettle box hapa na ina jina langu
partner wangu hafugui mpaka nimpe ruhusa lakini
ikija imeadika To Mr. & Mrs Denzi then mtu yeyote kati yetu
ataifugua.. same principle applies for everything ..

Na hapo pa kijani maamuzi gani magumu babu
ningeomba utufafanulie kidoncho. Sante babu...
 
Kwani mikoba inafungwa kwa lock and key? Kama imefungwa kweli sitafungua, ila kama uko wazi na nadhani kitu kama camera iko huko, nitaichukua tu! Hapa naongelea mkoba wa Bibi DC na siyo dada yangu au mama mzazi!!

Maamuzi magumu, namaanisha kumesa au kutema!!
 
mmhhhh Haya babu..
Si lazima lock au Key...
ila inaleta picha fulani nzuri nikimuuliza au kumwambia/kumtaarifu
partner wangu ya kwamba naenda kuchukua camera kwenye mkoba
wake. unless otherwise kaniagiza nikachukue camera then sina haja ya kuuliza.

Anyway
Nadhani achukue wazo la kwanza ulilotoa kumuuliza tu mamito.
otherwise itamuumiza akili. Asiishi kwa amani..
uamuzi wake..
 
attachment.php
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom