KY gel kwenye mkoba wa Mpenzi wangu

lakini jamani mimi sioni kosa la huyu jamaa yetu,labda kulikuwa na kitu anatafuta ndo kakumbana na hayo masahibu,kilichobaki ni yeye kupiga moyo konde amuulize huwa anatumia kwa matumizi gani?maana ukikaa kimya itakutesa maisha yako yote,kwani utakuwa unamuwazia hata mabaya ambayo hafanyi na mwirhowe utaamua kumlipizia,mwisho inakuwa hasira hasara.
 
Hii mada iliishawahi kuwekwa humu lakini sijui ni jukwaa gani ila niliiona ni kawaida tu, sasa yamenikuta mimi ndio nimeshtuka na kuona sio ya kawaida. Nilikuwa natafuta kitu kwenye mkoba wa mpenzi wangu, hamadi KY Gel tena ipo nusu kwenye mkopa wa mpenzi wangu. Hajui kama nimeiona maana hayupo, ila mkoba wake upo nyumbani kwangu. Nipeni ushauri nianzie wapi kumuuliza ni ya nini hiyo KY Gel?

Mambo ya TIGO hayo mkubwa!
 
duh kashakatwa kiboga huyo mkuu,hakuna cha kufanya zaidi ya wewe kuunga tela.kabla ya kumuuliza akirudi kwanza nawewe jisevie mgongo mpaka basi kisha ndo uulize maswali vinginevyo utakua lofa wahedi
 
Mzee mwenzangu pole sana.

Hakuna uhakika zaidi hapo, amini mkeo wameshamtoa malinda ya kule mahali.

KY ni lubricant spesheli kwa kusaidia kuingiza kitu bila michubuko ( Hata mahospitalini inatumika na iliundwa kwa ajili hiyo) hayo ya kusema kuzuia nywele zisikatike si kweli, kuna dawa za kazi hizo.

Ongea na mama akwambie ukweli, wakati unaongea nae uwe na majibu kichwani, kama unaamua kumsamehe we msamehe tu mwambie asitumie tena mtandao wa bei nafuu maana hata wewe mwenyewe humtumii kwa mtandao huo, kama atasikia ataacha ila kama kazoea sijui kama ataweza kuacha. Kama una moyo mdogo kama wa sungusungu anza maisha mapya tu maana mwenzako si salama tena sehemu iendayo msalani.

Majibu ni dhahiri hapa wala hamna haja ya kujidanganya na kuzuia rasta sijui rashes wala nini
Dah!Nimecheka mpaka basi.
 

...huwezi jua bana, anaweza kukwambia "anapigia mswaki" ----joke!
labda alikuwa na appointment na gynecologist bana... hongera!

msipende kuhoji hoji sana mnavyovikuta kwenye mikoba ya wake
zenu

Mimi nakushauri uyafiche, akikuuliza ujue matumizi yake ni yakawaida tu, akipiga kimya hesabu umeumia, na atakuwa amenunua mengine.
 
mkuu chukua iyo KY Gel, weka sehemu ya wazi sana, kisha subiria reaction akirudi. Hakikisha anaiona wakati wewe haupo sehemu hiyo. Kuna option mbili, aidha atakaa kimya au atakwambia; majibu utakayopata rudisha hapa jf tukupatie mwarobaini.
 
huwa tunatumia KY jelly kutoa rashes kwenye miguu.....

Preta, acha ajibu mwenyewe bana! Shemeji yetu akirudi toka safari, Retreat atatufahamisha zaidi alivyoambiwa kuhusu KY Gelly.
 
Sasa unaiogopa KY jelly? Najua kuwa wameitafutia matumizi mbadala ili mtu asijenge hofu awaonapo nayo.
Lakini KY jelly ni cha mtoto kwa product ipatikanayo mdomoni na hasa product hiyo ichanganywapo na petroleum jelly. KY haisogei hapo, nakushauri anza kukosa raha uonapo hiyo kuliko KY.
Au mnaikasirikia kwakuwa ni product ya mzungu na mchina?
 
afu mtu aliyezoea kuliwa jicho ukiwa unakula njia ya kawaida anaona ka unamtingisha wakati anajifunza kuchora...
 
its good to be curious, muite sehemu ambayo imetulia hakuna watu wala kelele na pia usioneshe kisirani just be calm be gentleman muulize kwa lugha rahisi iliyonyoka na inayoeleweka "nimeona ky gel kwa bag yako, waweza niambia ni kwa nini?" then reaction ya kwanza kabisa itakupa majibu kama anatumia in a safe way or bad way. by the way kwani unaishi nae? I mean anamkia kwako na analala kwako? coz u just find it in a bag so probably kuna friends zake may b aliwapereka hospital,just mtazamo tuu, u know kuna homework u need to do before bringing out these accusations, usijepoteza mupenzi.
 
niliwahi kuja na hii mada...gafla uzi ukafutwa...pole bandugu...ukiona MANYOYA ujue keshaliwaa!...icho ni kilainishi...ishu alikua analainisha nini ya nani!...
 
We usiulize kanunue yako then wakati wa majambozi ipake nyingi hadi kwenye ua then ipeleke zakhar kunako tigo ukiona hajashtuka jua ndo mchezo wake,we endelea hadi mwisho then mshukuru sana kwa alichokupa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom