kwa waliosoma Kwiro Sekondari, kuanzia miaka ya mwishoni mwa 1980 bila shaka mnamkumbuka mwalimu Manda, alikua mwalimu wa Mathematics KIDATO CHA TATU, hatunaye tena , amefariki dunia juzi tarehe 08/01/2009 kwa ugonjwa wa Tumbo , mpaka kufariki kwake alikua mwalimushuleni pale, na ndio aliekua amebaki baada ya kuondoka kwa mwalimu Mwanamilembe Uamisho, kufariki kwa mwalimu huyo kunafanya idadi ya walimu waliokufa tangu mwaka 2000 kufikia watatu baada ya kufariki kwa mwalimu Kapangua,Senyagwa...alifia jela Ukonga...
Mungu ailaza mahala pema peponi roho ya marehemu Manda na hao wengine.
Mungu ailaza mahala pema peponi roho ya marehemu Manda na hao wengine.