Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,353
- 95,728
Akili zako na yeye zinafanana tuPolepole ni kijana asiyeyumbishwa kwa kile anachokiamini
Akili zako na yeye zinafanana tuPolepole ni kijana asiyeyumbishwa kwa kile anachokiamini
Maendeleo hayaletwi na chama cha siasa Jambo la msingi na muhimu ni ushirikiano wa wananchi na serikali Yao China wangeangalia mambo ya vyama wasingefika hatua waliyopo leoPole Pole mpaka 2014 alikuwa ana msimamo kuwa, Katiba mpya ni jambo la lazima, CCM ni chama kilichopaswa kuondolewa madarakani siku nyingi sana.
Vipi bado ana msimamo huo?
Ukiambiwa utoe ushahidi kwa hilo ulilo lisema utakuwa tayari?Ukweli magufuri hakuwamaliza wahuni wengine na ndio waliomumaliza kwa ksuhirikiana na china na marekani
kuna siku na yeye watu watamwona mhuni na watatafuta kummaliza.Jana kwenye MAHOJIANO NA kipindi cha msumari wa Moto kinachorushwa na WASAFI TV mheshimiwa Humphrey Polepole kazungumza nje ndani Yani Kwa kizungu ndo kusema Black and White kuhusiana na Hali ya kisiasa nchini Kwa sasa ukilinganisha na awamu iliyopita.
MAHOJIANO hayo yamezua gumzo na mjadala miongoni mwa wananchi huku wengi wakijiuliza Kwa nn Polepole kabadilika ghafla na kuanza kutema cheche tena hata Kwa chama chake ambacho hapo awali alikua katibu mwenezi.
Baadhi ya aliyozungumza Polepole ni kuhusu kutokumalizwa Kwa wahuni wote wakati wa uongozi wa hayati Rais John Pombe Magufuli, kuhusiana na ilo mbunge wa mtama Nape Nnauye ameonekana kuguswa baada ya KUCHAPISHA kwenye ukurasa wake wa Twitter akimdai Polepole atoe orodha ya wahuni hao waliosalia huku akiambatanisha na emoji za kucheka Jambo ambalo wapwa kama wanavyojiita watu wa Twitter wamedai kuwa ni kebehi Tu ambazo Nape anamuonyesha mstaafu mwenzake kwnye cheo cha katibu uenezi CCM.
Polepole KAUPIGA mwingi Sana na waliotazama MAHOJIANO hayo watakubaliana na mm kwani alikuwa na majibu ya uhakika, yenye uwazi na aliyoyatoa Kwa kujiamini hasa alipozungumzia swala la Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mazungumzo na waziri mkuu wa zamani wa uingereza bwana Tony Blair ambaye Polepole amemtambulisha kama mtu hatari.
Aidha Polepole huko Instagram katuma video akieleza kwamba kuna baadhi ya watu wameanza kumtafuta na kuanza kumlaumu kutokana na aliyoyazungumza katika MAHOJIANO hayo.
Polepole amekua na msimamo kwnye kile anachokiamini na kufundisha kupitia kwnye mafunzo yake anayotoa mtandaoni ya shule ya uongozi.
Sasa ni wakati wa wanasiasa kuwa na msimamo kwenye falsafa zao na wasiyumbishwe na uchu wa madaraka na uwoga wa wenye mamlaka kwamba nikisema nitachukuliwaje. Na Kwa misimamo yake Polepole, naomba kusema kuwa anaupiga mwingi Sana apewe balon d'Or yake.View attachment 2025467View attachment 2025468View attachment 2025469
Ukabila ni hatari SanaHana mtu mwenye muda huo wa kuelimisha juu ya sukuma gang.
Ulizaneni maana mnajuana
Huyo ni mnyarwanda hivyo ni haki amtetee Polepole maana ndege wa rangi mojaItakuwa hukumbuki yule Pole pole wa rasimu ya Katiba na Polepole wa awamu ya Magufuli
InsaneWell said mkuu
Anawaumiza nyinyi wanyarwanda wenzakePolepole anawaumiza kichwa Sana wakina Nape
Sio CCM Bali nchi Kwa ujumla kuna wafanya biashara, waajiriwa, wanasiasa, na wengine wengi ni wahuni huu uhuni anaozungumzia Polepole ni broad term inabidi uwe top notch kumuelewaKwa hiyo CCM na serikali yake ni genge lililojaa wahuni?
Anakwenda na upepo wa kisurisuri ili ajaze tumbo lakePole Pole mpaka 2014 alikuwa ana msimamo kuwa, Katiba mpya ni jambo la lazima, CCM ni chama kilichopaswa kuondolewa madarakani siku nyingi sana.
Vipi bado ana msimamo huo?
WamezidiUkabila ni hatari Sana
Kama umepanick Kaka kwani unaumia ukiwa wapiAnawaumiza nyinyi wanyarwanda wenzake
Niko chato njia panda ya kwenda burigi karibu na intenashono eapoti ya chatouKama umepanick Kaka kwani unaumia ukiwa wapi
Mtu ukiwa na njaa akili yako humezeshwa chochoteWamezidi
Lazima itakua ni mvuvi wwNiko chato njia panda ya kwenda burigi karibu na intenashono eapoti ya chatou
Jamaa hataki kushiriki dhambi ya usaliti inayoendeleaPolepole anataka kuchuma janga na hakika atakula na wakwao,
Namshauri angetulia tu ccm haiaminiki hata kidogo,
Ni mfugaji aliosema mama Samia pale mwanza kuwa tunaharibu vyanzo vya majiLazima itakua ni mvuvi ww
Vingine vitawakwamaMtu ukiwa na njaa akili yako humezeshwa chochote
Shushia na majiVingine vitawakwama
Waambie chawa wenzako wa sukuma gangShushia na maji