Kwenye hii hali spika atachukua hatua gani?

LATTICE BOND

JF-Expert Member
May 30, 2011
219
48
hivi akitokea mbunge aliyeruhusiwa kuchangia hoja au kuuliza swali la nyongeza halafu akasimama na kusema sentensi ifuatayo bungeni kisha kukaa kitini au kutoka nje ya bunge baada ya kuisema itakuwaje ama spika atafanya nini? [TOA MAONI YAKO KAMA UNGEKUWA SPIKA]:-
"JAMANI WAHESHIMIWA WABUNGE, SINA IMANI NA MWENENDO WA SPIKA KATIKA KUISIMAMIA SERIKALI"
 
Nitaomba mwongozo wa Spika...:bange: Ila tuache uongo waungwana hili bunge limevamiwa na mdudu Ushabiki wa CCM I real hate this situation

UKWELI MIE MWELEKEO WA HILI BUNGE LA 10, CHINI YA MAKINDA UNANITIA SHAKA....
 
Spika atasimama kisha kwa sauti isiyo na mvuto wa kike, atasema "...Waheshimiwa Wabunge tusiwe kama watu wa Kariakoo....."
 
Anaitwa nani vile" Bi Kiroboto" anafanya maigizo kwenye chombo muhimu namna hii ! kazi kweli kweli
 
Huyu Speaker nadhani ana shida kubwa mno anaweza kuamua kuahirsha Bunge ili akapate maelekezo Ikulu aje kutoa mwelekeo.
 
Safi sana Makinda wape kibano na hawana pakushtakia, mtoto wa kambo lamwe hadeki kudadadeki..
 
Safi sana Makinda wape kibano na hawana pakushtakia, mtoto wa kambo lamwe hadeki kudadadeki..
Kweli kabisa acha awabane maana weye bili yako ya umeme unalipia Kenya, maji umeunganisha kutoka Rwanda na unapougua unatibiwa Zambia!!
then why should you care?!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Safi sana Makinda wape kibano na hawana pakushtakia, mtoto wa kambo lamwe hadeki kudadadeki..
Nduka, you're short sighted. The current parliament with the majoruty of CCM MPs will only boo hoja bungeni but will not woo out our our ego of CHANGE.CDM kama ilivyo kwa waasisis wake ni watu waliojiajiri (wajasiriamali) na ugumu katika sekta hii unajulikana na ndiyo maana those comrades wants eradication of unneccessary dublicated allowances from their salaries.Wacha Ana Makinda awabanie hoja itarudi kwa wananchi, na safari hii (2015) watajua nini nguvu ya umma.
 
Na bado! Magwanda mtakoma mlikua mnajua kutakua na mteremko eeh? Bwahahah imekula kwenu mazima Njuka nyie
 
Itabidi aahirishe bunge awatangazie wbunge wa ccm,kuna kikao awaambie wapige kura,
 
hivi akitokea mbunge aliyeruhusiwa kuchangia hoja au kuuliza swali la nyongeza halafu akasimama na kusema sentensi ifuatayo bungeni kisha kukaa kitini au kutoka nje ya bunge baada ya kuisema itakuwaje ama spika atafanya nini? [TOA MAONI YAKO KAMA UNGEKUWA SPIKA]:-
"JAMANI WAHESHIMIWA WABUNGE, SINA IMANI NA MWENENDO WA SPIKA KATIKA KUISIMAMIA SERIKALI"

ni mpango wa Mungu Tanzania kuongozwa na watu wenye akili tiamaji-tiamaji kama Ana Makinda. anachokifanya ataona gharama yake 2015. najua baadhi ya wanachama na wafuasi wapumbavu wa ccm hawaamini kilichotokea 2010. the worst is still to come.
 
History reapts itself,kawaulize nccr-m yaliyowakuta 2000 baada ya ushindi wao wa1995. Kwa mwenendo wa wabunge wa cdm,mwaka 2015 utakuwa mbaya sana kwenu. Watanzania wanataka maendeleo hawawezi kula maandamano. Ole wenu!
 
NCCR hawakupoteza kutokana na mwenendo wao bungeni Bali walifarakana wenyewe kwa wenyewe na hivyo Chama kikasambaratika kabla ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom