Mbona watu hawasifii wallet??
yaani mimi hata awe under 10 years....Hata nikiwaona sitawaelewa kabisa......
Labda hawa vijana vijana.....
Ila nikutane na mtu kama Kaizer yuko ndani ya skin jeans itakuwa issue (inshu)!!!
Babu DC!!
ndo ujue pesa sio kila kitu mkuu
yaani mimi hata awe under 10 years....
kuna siku wanangu walienda kulala kwa marafiki. mama wa watu akaenda kuwanunulia nguo, zilikuwa nzuri kwa kweli, sasa wamerudi ndo wamevalishwa, bado kidogo nidondoke.... wamevalishwa suruali zinawabanaaaa, eti ndo swaggs sijui... yaani alipoondoka tu nikamwambia dada akawaigeshe.... kimya kimya nikaiba zile suruali na kuzifungia mbali kabisa ambako hakuna anayeziona. kila wakiulizia mimi nakuwa mstari wa kwanza kusaidia kuzitafuta (sikutaka wajue nimezificha maana katika maongezi na mwenzao wangeweza kuwaambia) mpaka leo hawajui nguo zao zilipotelea wapi.
kama unakuta pia mtoto wa kiume mdogo kavalishwa chain, akikua si atakuwa alishazoea!
mkubwa mwenzangu, ubaya wangu nini hapo sasa?Kumbe wewe mbaya kiasi hicho??
Babu DC!!
mkubwa mwenzangu, ubaya wangu nini hapo sasa?
hahaha Belinda jacob hapo kwenye tisheti ya voda umeniacha hoi.
he he heee, in my house?Kuwafanyia watoto roho mbaya....
Hujui wenzio wako dunia tofauti na wewe??
Babu DC!!
ndo maana wasubiri mpaka wawe na yaoWhere is theirs??
Babu DC!!!
Mbona watu hawasifii wallet??
ndo maana wasubiri mpaka wawe na yao
wallet sio babu sema zinasaidia kuchagua kivalo...