Kwenu kina dada: Mavazi yepi mwapenda wenzenu wavae

mwanaume sio kuvaa bwana,
Mwanaume suo pesa,
Mwanaume sio kula,

MWANAUME MASHINE!TUWE WAKWELI WAKINA DADA!MWANAUME MASHINE.i can prove my statement just in case you guys are interested
 
babalynn
Kacheni kamoja ka kawaida akikavaa kistaarabu sawa- sio yale makuuubwa ka mnyororo wa mbwa.


eeh hapo tupo wote MJ1, kumbe hujaziban 'completely'...:rolleyes:

mami umenifurahisha hapo....napenda aonekane smart! pete ni moja tu aliyoyonayo ya ndoa, cheni ya kawaida tu! jmoc na jpili baada ya kanisa anaweza kuvaa jeans,tshit, na viatu vya wazi, kaptula pia, yaani aonekane cmple but sure.

Nyamayao u sound kama mai wife wangu yupo hapa nini LOL!
 
Kaizer na nyamayao mmenichekesha- sasa sijui tutaita fumanizi au kitu gani!
Mkishatambuana mrudi mtupe feed back tuwajue!
 
Siungi mkono kaptula kwa mwanaume hata kama inampendeza kiasi gani unless mniambie PENSI!! mwanaume mwingine ana minywele kibao anavaa kaptula inakuwa sio ishu, mwingine mnene anavaa kaptula inapanda kwenye mapaja pia sio ishu,

au hapa mnawazungumzia wenye magari labda na sio sisi wabangaizaji kama mie hapa ambaye natoka kwangu sinza madukani nachukua hiace mpaka bamaga then coster mpaka posta
 
by the way mie nasubiri vazi la taifa
ndio nitakuwa nalichomekea daily, i.e. weekdays & weekend, litakuwa zuri sana la kubania matumizi, nadumisha mila ile wengine nashindwa dumisha.
 
mwanaume sio kuvaa bwana,
Mwanaume suo pesa,
Mwanaume sio kula,

MWANAUME MASHINE!TUWE WAKWELI WAKINA DADA!MWANAUME MASHINE.i can prove my statement just in case you guys are interested

Teamo........................................:welcome:
 
Last edited by a moderator:
mm napenda avae hivi kwani
akionesha body yake ndo vizuri

ona picha hiyo hapo chini:

smartboy.jpg
Wakuu,,

Tukiendelea na hili libeneke la mahusiano ma mapenzi, kuna kitu kimenijia akilini, nacho ni:

Linapokuja suala la mavazi na muonekano wa mpenzi/mume wako, ungependa avaeje/aonekaneje mtokapo au hata muwapo nyumbani?

Tukiacha suala la mazingira na hali ya hewa pembeni, kuna wengine kwa mfano wangependa mtu anayepigilia viwalo vya kisasa, wengine wangependa mitindo ya zamani kama nywele za afro, visuruali vya 'chinjio' au wengine 'mabagi',

ukija kwen viatu, labda wengine wanapenda vya kileo, vilivyopo kwenye fasheni na vyenye majina (mf. kama raba za puma, nike, adidas -original sio hizi za 'kwa mtogole)

Kuna wengine wanapenda wapenzi wao wawe na vidani..kama cheni, kidani cha mkononi, au hata hereni kabisa,,

Sasa sijui kwa ujumla mnapenda mmwenzi wako aonekaneje..ukitilia maanani jamii na pia your own satisfaction.

hata sijui kama nimeeleweka lakini hivyo hivyo.
 
Mh! Hapo sasa! Miye akiwa na kacheni kadogo shingoni kanakong'aa afu kaonekane hivi + shati zuuuuri la vibox vibox na suruali yake ya kitambaa mkanda nje! Loh hapo mbona sibanduki!! Au avae tshirt/shirt + jeans miye hoooii!! Hatoki mtu nyumbani !!
 
1. Awe smart asizidishe sana.
2. Sipendi anayevaa macheni cheni au wenyewe mwaita mabling bling!
3. Awe na nywele fupi za wastani- sipendi kama ananywele anyoe kipara kile kinachong'aa hapana.
4. Avae mavazi yanayoendana na umri wake si ukuta mbaba wa miaka 45 anavaa masuruali yenye mamifuko makubwa au t-shirts zenye macharter makubwa.
5. Kifupi avae kulingana na umri wake.
6. Hata gari asiwe anafungulia mziki mkubwa hadi wa nje wanasikia mh!
MwanajamiiOne
Hahaha no2 mbili umenikumbusha mbali sana kuna jamaa alikuwa ana vaa cheni kama minyororo ya mbwa na zingine anazo hadi kwenye majinzi yake, kwakweli jamaa alikuwa ana niacha hoi sana. lakini nahisi hili limepitwa na wakati.
 
Last edited by a moderator:
tukiwa home sihitaji avae, nguo za nini?

Tukitoka napenda apige jeans nk

Ofisini avae smart

Avae kutokana na occasion

Ila hubby wangu ni marufuku kuvaa cheni, bracelet, wala hereni
 
Back
Top Bottom