Kweli upinzani ni soo: IGP Said Mwema ndani ya Arusha na escot ya gari moja tu!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Nimemwona kwa macho yangu bila ya chenga IGP Said Mwema akiwa ktk Jiji la Arusha akielekea Sakina majira ya 6:20pm ndani ya Landcruiser V8 nyeupe mbele ikiwepo landcruiser moja boxboard nyeupe ya king'ora na kutosha kabisa msafara ya IGP wa Tanzania ye2 na ndipo nikakumbuka juzi Bungeni vyama vya upinzani ikilaani wingi wa magari ktk misafara isiyo ya lazima. Nimewakilisha tu!

Anahubiri polisi jamii kila kukicha lakini anajitenga na jamii yenyewe!

duh @ liverpoolfc ndio wajue kwamba 2015 mambo yatakuwa mwake.......ukiangalia na mwendeno mzima wa bunge la leo angalau inatoa faraja laiti wangekuwa hivi kipindi chote

By the way mkuu liverpoolfc vipi huko Arusha machalii hawajamrushia japo kajiwe?

Hakika ametaim muda wa kupita maana ingekuwa ni ile majira yenyewe amin nakwambia leo angejua kilichonyoa kanga ndege manyoa ya shingo.

Huyu si shemeji yake JK, uongozi wa undugu ndio maana hawanyoosheani mkono wanapokosea.Ingalao aanza kusikia vema, sasa asitishe mauaji ya watanzania.

BILA SHAKA BWANA SHEMEJI (JK) AME2A ARUSHA KITAMBO NA WANAENDELEA KUPUNGA HALI YA HEWA TU SEHEMU WANAKOTAKA,NA BILA SHAKA S. MWEMA JANA ALITANGULIA KUJA KUFANYA MAANDALIZI TU. Mmmmmmhh!!

Nimemwona kwa macho yangu bila ya chenga IGP Said Mwema akiwa ktk Jiji la Arusha akielekea Sakina majira ya 6:20pm ndani ya Landcruiser V8 nyeupe mbele ikiwepo landcruiser moja boxboard nyeupe ya king'ora na kutosha kabisa msafara ya IGP wa Tanzania ye2 na ndipo nikakumbuka juzi Bungeni vyama vya upinzani ikilaani wingi wa magari ktk misafara isiyo ya lazima. Nimewakilisha tu!

wekeni cv yake humu tumjadili, limeaibishwa sana na Mh. Lema kule mjengoni

bila shaka bwana shemeji (jk) ame2a arusha kitambo na wanaendelea kupunga hali ya hewa tu sehemu wanakotaka,na bila shaka s. Mwema jana alitangulia kuja kufanya maandalizi tu. Mmmmmmhh!!

hapana mkuu ameenda kufwatilia mauwaji ya mwanasheria mmoja maarufu alietuliza moja ya wizara yetu nyeti iko wapi sijui zaidi ya billion 6..na ninavyoongea huyu bwana kachanganyikiwa tangu dar amekuwa na interpol wakaenda kumhoji bwa mjeshi kuhusu trilly zake akasema apewe muda soon ataweka wazi na kwa taarifa isiyo rasmi maajabu ya dunia utayaona atakachosema
jion njema

Alikuwa na msafara wa gari isiyopungua 15 labda 5 ya usalama wa Taifa na nyingine yote ikiwa ya police.

Mkuu acha kupotosha wa2,ni lini IGP aliongozana na magari 15? Wakati mwngine uwe unataja v2 kwa uhakika..maana JF kuna wa2 wanaotambua na kuchanganua v2 kwa uhalisia.

ngwini! Yaelekea una dalili ya kuwa mzee wa makamo,Hapa nimeangusha maneno yenye misemo sawia kwani kabla ya huu mlipuko wa upinzani IGP aki2a airport ya Kisongo ni lazima msafara wa magari isipungua 15 ipite,we unashangaa wakati ilikuwa ki2 cha kawaida kwao. Ngwini 2shukuru upinzani umekuja.

hapana mkuu ameenda kufwatilia mauwaji ya mwanasheria mmoja maarufu alietuliza moja ya wizara yetu nyeti iko wapi sijui zaidi ya billion 6..na ninavyoongea huyu bwana kachanganyikiwa tangu dar amekuwa na interpol wakaenda kumhoji bwa mjeshi kuhusu trilly zake akasema apewe muda soon ataweka wazi na kwa taarifa isiyo rasmi maajabu ya dunia utayaona atakachosema

jion njema

Pdidy!! Hebu fuatilia hizo News utujuze iwavyo!

Similar Discussions

Back
Top Bottom