sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,524
- 863
Dr. Slaa amesema sawia, serikali inakopa ili viongozi walipane mishahara na posho. bila kusahau sherehe na matamasha mbali mbali pale mnazi mmoja.
ANGALIA UKUMBI WA BUNGE LA KENYA (kama Karimjee hall) KISHA ANGALIA UKUMBI WETU WA BUNGE, utagundua viongozi wetu walivyo elemewa na anasa vichwani mwao hata kama deni la Taifa linazidi kuongezeka.