Kweli tunaelekea mbali...

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
24,891
11,288
...kwa wale wa milegezo, evolution inaelekeza huko (nimeikuta somewhere)...
image.jpg
 
Dah, siku nikiamka na kukuta makalio yangu yamefika huko nitawa hold responsible wavaa milegezo wote popote pale walipo, and I will never forgive them for that na watakwenda ndani ....lolz.
Hizi style zao za ajabu ajabu ni kama zinapalilia njia kuelekea kwenye maumbo katuni, utadhani Ma-John Bravo fulani.
 
mwili shurti ujisitiri, kwahiyo utashusha tu makalio hadi kutosha cover...
 
Kizazi kitakachokutana na hiyo evolution kitazoea tu japo kitakuwa kibaya mmono
 
Back
Top Bottom